NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

07Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Katika uchunguzi uliofanywa na Nipashe, imebaini wizi huo unafanyika na watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Tamesa) kwa kuacha kwa makusudi kuzitambua baadhi ya tiketi za elekroniki na kuonekana...
07Feb 2016
Emmanuel Matinde
Nipashe Jumapili
Kiasi hicho kimefikisha Sh. Milioni 108, ambazo zimechangwa kupitia harambee mbalimbali inayosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali (mstaafu), Issa Machibya, viongozi wa halmashauri zote...
07Feb 2016
Furaha Eliab
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa na kaimu katibu tawara wa mkoa wa Njombe Joseph Makinga wakati akifunga mkutano wa baraza za madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Njombe. Alisema kuwa haiwezikani halmashauri...

Picha ya Maktaba.

07Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Vijana hao katika nyakati tofauti walisema hawaoni sababu ya serikali kushindwa kuweka sheria itakayowadhibiti watu wanaofanya vitendo hivyo katika jamii, hasa kwa kukatisha ndoto za watoto wa kike...
07Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Kutozingatia ama kutokuwa na elimu ya uzalendo kumekuwa kukisababisha baadhi ya watu kutenda mambo yanayoshangaza wengine na kuwaacha katika mfadhaiko wa kujiuliza kama huyu mtu anaipenda nchi yake...
07Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Bandie aliliambia gazeti hili kuwa TBF ilikuwa na fedha kwenye akaunti yao kiasi cha Sh. milioni 38, lakini Kamati ya Utendaji imeshangazwa baada ya kukuta Sh. milioni 12 pekee. "Zonga ndiye Katibu...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk. Ezra Ngereza, aliliambia Nipashe uzinduzi wa vituo hivyo utafanyika kesho. Alisema wameamua kuwa na vituo katika hospitali hizo ili kukabiliana na...
07Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mchezo huo utakuwa kama alama ya kisasi cha mchezo wa kwanza mjini Shinyanga, Septemba 20 mwaka jana, ambapo Azam ilishinda bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji John Bocco. Julio alisema...
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
*Ni mamilioni yanayotumika kuwalisha wali nyama, samaki, chapati, juisi, maji
Vyanzo vya uhakika vimeiambia Nipashe kuwa kuanzia sasa, Bunge litakuwa likiwapatia wabunge vitafunwa rahisi kama biskuti, sambusa na chai ambavyo kwa ujumla vitaigharimu ofisi ya Bunge si zaidi ya...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
Kocha wa Simba, Jackson Mayanja alisema anaamini wapinzani wao wanafungika kama ilivyo kwa timu nyingine wanazokutana nazo katika michuano hiyo. "Ushindi dhidi ya Yanga utategemeana na michezo...
07Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Utafiti cha Kilimo cha Uyoga kinachomilikiwa na taasisi ya Shirika la Afya na Elimu la Kairuki (KHEN). Dk. Salim alisema kama...
07Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
APPT kinakuwa chama cha pili kutangaza kutoshiriki uchaguzi huo wa Machi 20 baada ya Chama kikuu cha upinzani Zanzibar, CUF kutoa tamko lake kama hilo mwezi uliopita. Msimamo wa APPT ulitolewa jana...
07Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kila palipo na madiwani wengi wa vyama vya upinzani uchaguzi wa Meya au Mwenyekiti wa Halmashauri umeingia dosari kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia nguvu na wakati mwingine kutumia vyombo vya...
07Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Awali, watumishi 15 wa TPA wakiwamo waliokuwa wakishika nafasi mbalimbali za juu ndani ya mamlaka hiyo, walitajwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, kuwa...
07Feb 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Tunatambua kuwa Serikali imeruhusu wawekezaji wa ndani na nje katika sekta za viwanda, kilimo, madini na maeneo mengine ambayo yanaweza kulinufaisha taifa kutokana na uzalishaji wenye tija...
07Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
***Vigogo hao wa soka katika nafasi ya kwanza na pili kwenye msimamo wanawinda ushindi nyumbani na ugenini, huku Azam nao wakirejea uwanjani...
Wapinzani wao Simba wenye manukato ya ushindi katika mechi nne mfululizo chini Kocha Jackson Mayanja, wako Shinyanga kwenye Uwanja wa Kambarage kusaka ushindi mwingine dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC...
07Feb 2016
Idda Mushi
Nipashe Jumapili
Kabla ya mazishi hayo, palitangulia ibada ambayo ilifanyika nyumbani kwa wazazi wa 'marehemu', mtaa wa Nyamvisi kata ya Ruaha. Kivuko cha MV II Kilombero kilizama katika Mto Kilombero Januari...
07Feb 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, ndiye aliyetoa kauli hiyo mjini Dodoma jana wakati akifungua mkutano wa tathmini wa asasi za kiraia kuhusu elimu ya mpiga...
07Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Akitoa tamko katika kikao cha madiwani kilichofanyika wilayani humo, Meya wa Manispaa hiyo, Abdallah Chaurembo, alisema mradio huo wa kuboresha makazi jijini Dar es Salaam (DMDP) una thamani ya Sh....
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Jumla ya fedha hizo kwa Wabunge wote zitaigharimu serikali Sh. bilioni 34.38. Hata hivyo, Nipashe imebaini kuwa hadi kufikia jana mchana, wabunge waliokuwa tayari wameshaingiziwa fedha hizo kwenye...

Pages