NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

07Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mchezo huo utakuwa kama alama ya kisasi cha mchezo wa kwanza mjini Shinyanga, Septemba 20 mwaka jana, ambapo Azam ilishinda bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji John Bocco. Julio alisema...
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
*Ni mamilioni yanayotumika kuwalisha wali nyama, samaki, chapati, juisi, maji
Vyanzo vya uhakika vimeiambia Nipashe kuwa kuanzia sasa, Bunge litakuwa likiwapatia wabunge vitafunwa rahisi kama biskuti, sambusa na chai ambavyo kwa ujumla vitaigharimu ofisi ya Bunge si zaidi ya...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
Kocha wa Simba, Jackson Mayanja alisema anaamini wapinzani wao wanafungika kama ilivyo kwa timu nyingine wanazokutana nazo katika michuano hiyo. "Ushindi dhidi ya Yanga utategemeana na michezo...
07Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Utafiti cha Kilimo cha Uyoga kinachomilikiwa na taasisi ya Shirika la Afya na Elimu la Kairuki (KHEN). Dk. Salim alisema kama...
07Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
APPT kinakuwa chama cha pili kutangaza kutoshiriki uchaguzi huo wa Machi 20 baada ya Chama kikuu cha upinzani Zanzibar, CUF kutoa tamko lake kama hilo mwezi uliopita. Msimamo wa APPT ulitolewa jana...
07Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kila palipo na madiwani wengi wa vyama vya upinzani uchaguzi wa Meya au Mwenyekiti wa Halmashauri umeingia dosari kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia nguvu na wakati mwingine kutumia vyombo vya...
07Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Awali, watumishi 15 wa TPA wakiwamo waliokuwa wakishika nafasi mbalimbali za juu ndani ya mamlaka hiyo, walitajwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, kuwa...
07Feb 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Tunatambua kuwa Serikali imeruhusu wawekezaji wa ndani na nje katika sekta za viwanda, kilimo, madini na maeneo mengine ambayo yanaweza kulinufaisha taifa kutokana na uzalishaji wenye tija...
07Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
***Vigogo hao wa soka katika nafasi ya kwanza na pili kwenye msimamo wanawinda ushindi nyumbani na ugenini, huku Azam nao wakirejea uwanjani...
Wapinzani wao Simba wenye manukato ya ushindi katika mechi nne mfululizo chini Kocha Jackson Mayanja, wako Shinyanga kwenye Uwanja wa Kambarage kusaka ushindi mwingine dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC...
07Feb 2016
Idda Mushi
Nipashe Jumapili
Kabla ya mazishi hayo, palitangulia ibada ambayo ilifanyika nyumbani kwa wazazi wa 'marehemu', mtaa wa Nyamvisi kata ya Ruaha. Kivuko cha MV II Kilombero kilizama katika Mto Kilombero Januari...
07Feb 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, ndiye aliyetoa kauli hiyo mjini Dodoma jana wakati akifungua mkutano wa tathmini wa asasi za kiraia kuhusu elimu ya mpiga...
07Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Akitoa tamko katika kikao cha madiwani kilichofanyika wilayani humo, Meya wa Manispaa hiyo, Abdallah Chaurembo, alisema mradio huo wa kuboresha makazi jijini Dar es Salaam (DMDP) una thamani ya Sh....
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Jumla ya fedha hizo kwa Wabunge wote zitaigharimu serikali Sh. bilioni 34.38. Hata hivyo, Nipashe imebaini kuwa hadi kufikia jana mchana, wabunge waliokuwa tayari wameshaingiziwa fedha hizo kwenye...
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Jumla ya fedha hizo kwa Wabunge wote zitaigharimu serikali Sh. bilioni 34.38. Hata hivyo, Nipashe imebaini kuwa hadi kufikia jana mchana, wabunge waliokuwa tayari wameshaingiziwa fedha hizo kwenye...
07Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kifungu cha 13(1) na (3) cha katiba ya Zanzibar kimesema ‘Ni marufuku kwa mtu kuteswa, kuadhibiwa kinyama au kupewa adhabu zinazomtesa. Bahati mbaya matukio ya watu kuvamiwa na kupigwa wakiwa katika...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
*Shule yenye wanafunzi 650 imejengwa kwa miti na nyasi
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa kuhusisha ziara kwenye Shule ya Msingi Lupemba iliyopo katika Kijiji cha Bubinza, Kata ya Lubugu, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, umebaini kuwa hali ni mbaya katika...
07Feb 2016
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwa niaba ya wafanyabiashara hao katika ukumbi wa mikutano wa Liboli Center mjini Sumbawanga, mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara, wakulima na wamiliki wa viwanda (TCCIA) mkoani humo,...
07Feb 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Tulijifunza kuwa kuna bakteria wa aina tatu, kuanzia wale ambao ni wadhaifu katika kupambana na dawa husika mpaka walio na uwezo mkubwa wa kustahimili nguvu ya dawa. Hivyo kitendo chochote cha...

ROBART MBOMA (KULIA) AKISALIMIANA NA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DK. GHARIB BILAL

31Jan 2016
Nipashe Jumapili
Watu hao ambao bado hawajafahamika waliingia barua pepe ya Mboma Alhamisi na kutuma ujumbe kwa watu 1001, wakiwamo watu mashuhuri, wakiomba msaada huo. Akizungumza na Nipashe Jumapili, Jenerali...

Edward Lowassa

31Jan 2016
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa matangazo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lowassa aliyekuwa akichuana kwa karibu na Magufuli katika muda wote wa kampeni za miezi miwili zilizoanza Agosti 21, 2015, alishika nafasi...

Pages