NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

06Dec 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
… Sasa kukutana na Platinum ya Zimbabwe
Mechi hiyo kali na ya kusisimua iliyochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam......kwa habari zaidi fuatili https://epaper.ippmedia.com 
06Dec 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Nasema hivi kutokana na wahusika kutotoa ushahidi wowote unaoingia akilini kutokana na tuhuma zinazoendeshwa na baadhi ya Watanzania. Mfano hivi karibuni, nilihudhuria mjadala kupitia zoom juu ya...
06Dec 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Ibara hii kwa sasa ndiyo gumzo kwa Watanzania walio wengi wanaojishughulisha na ufuatiliaji wa siasa nchini, zikihusisha uchaguzi wa wabunge wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA...
06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kutokana na umuhimu wa tasnia hiyo, Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo kuanzisha Mamlaka ya Kilimo cha Mazao ya Bustani na Kituo cha Utafiti kwa ajili ya kusimamia na kuratibu mazao ya matunda,...
06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
 Na Steven William, MUHEZA WATU watatu wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa Muheza mkoani Tanga, katika ajali ya pikipiki. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa...
06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema kwa zaidi ya miaka mitano tangu kuingia madarakani kwa Rais John Magufuli, hakuna mwanafunzi wa chuo kikuu aliyeandamana kudai chochote, hali inayodhihirisha kuwa serikali imefanya mambo...
06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana katika kikao na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART0, Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Johann Rieger, alisema kampuni yake ina uzoefu wa kutosha wa kutengeneza...
06Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akihojiwa katika kipindi cha MamaMia kinachoruka kila siku Jumatatu hadi Ijumaa na East Africa Radio, Lyimo alisema kuwa baada ya kujigundua ana maambukizi alilazwa wodi ya vichaa kwa miezi mitatu...
06Dec 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katika baraza hilo lililotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, Rais pia ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Taknolojia ya Habari, huku Dk. Faustine...
29Nov 2020
Richard Makore
Nipashe Jumapili
Mongela alisema hayo jana wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa jinsia, yaliyofanyika jijini hapa na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.Alisema mikoa ya Kanda ya Ziwa ina takwimu za juu...
29Nov 2020
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Amesema kitendo hicho kinasababisha kuzima ndoto za wanafunzi, kwa kuwapatia ujauzito na kuacha masomo, pamoja na kuwaweka katika hatari zaidi ya kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU).Mboneko...
29Nov 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati akikagua makazi ya wananchi yaliyoathirika na tope la volcano eneo la Kunduchi Mtongani.Akiwa eneo hilo, Gwanjima aliwataka wananchi hao kutoa...
29Nov 2020
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Emmanuel Lukula, alisema jana kuwa watu hao walikamatwa kutokana na taarifa za siri zilizotolewa na wananchi katika Kijiji cha Kikelelwa, Tarakea wilayani Rombo. "...
29Nov 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Dk Abbasi ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, alizungumzia umuhimu wa wafanyakazi katika vyombo vya habari nchini, kuwa na mikataba ya kazi, ili kuleta mazingira ya usalama na haki kazini....
29Nov 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Kimsingi, nchi hizi zilirithi mfumo wa kikoloni na kuendelea hata kuung’ang’ania kwa manufaa ya watu wachache wenye nguvu katika jamii. Kutokana na mfumo huu wa kikoloni na kinyonyaji,...
23Nov 2020
Samson Chacha
Nipashe Jumapili
Mokera alihukumiwa juzi katika Mahakama ya Wilaya ya Tarime baada ya kukutwa na hatia ya kufanya kosa hilo na kuiba magodoro, viti na taa za umeme, mali za Shule ya Sekondari Tarime zenye thamani ya...
23Nov 2020
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Katika hafla ya kuwaapisha iliyofanyika Ikulu, Zanzibar, Dk Mwinyi aliwataka mawaziri 13 kutekeleza maagizo 13 ambayo kwa kiasi kikubwa yanaonekana ni mzigo mkubwa kwao maana amesema atakayeshindwa...
23Nov 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema Tanzania iko tayari kuwasilikiza, kujadiliana na taifa lolote ambalo linadhani kuna upungufu umejitokeza. Alitoa kauli hiyo jana mjini Dodoma, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Wizara...
23Nov 2020
Francis Godwin
Nipashe Jumapili
Wafungwa hao wanadaiwa kumpora  bunduki aina ya Uzi-gun yenye namba TZPS 5570-062974 Sajeni Feedolin  Madembwe  (53)  wa gereza la Iringa, mkazi wa Kibwabwa . Kamanda  wa Polisi Mkoa wa Iringa,...
23Nov 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Mwaka jana ufaulu wa somo hilo ulikuwa asilimia 76.63 lakini kwa mwaka huu umefikia asimilia 57.24. Akitangaza matokeo ya mtihani huo jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa...

Pages