NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori akizungumza na makandarasi waliokuwa kwenye mafunzo ya siku mbili ya kazi za ubia (JVs) yaliyoandaliwa na bodi hiyo jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.

29Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Onyo hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki  jijini Dodoma na Msajili wa bodi hiyo, Mhandisi Rhoben Nkori, wakati akizungumza na makandarasi kwenye mafunzo ya siku mbili kuhusu kazi za ubia (JVs)....

Wafanyakazi wa Huawei Tanzania.

29Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hii ni kwa mujibu ya Taasisi ya Waajiri Bora ambayo imeiorodhesha kampuni hiyo ya teknolojia ya kimataifa kutoka China kama mojawapo ya waajiri wa bora katika viwango vya kimataifa.Mpango wa taasisi...
29Jan 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana na wananchi, wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Singida katika mfululizo wa ziara yake mkoani humo, Kalima alisema Jumuiya ya Wazazi ambayo ina jukumu la kulinda maadili, kamwe...
29Jan 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Utafiti huo unaonyesha binadamu huambukizwa anapokula nyama ya nguruwe wanaofugwa nyumbani bila kufuata kanuni za ufugaji au wale wanaojitafutia chakula mtaani na madhara yake ni kupata ugonjwa wa...
29Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Serikali yabaini wengi wanakufa mapema baada ya kupata mafao...
Angalizo hilo limetolewa wakati wa mafunzo kwa watumishi 14 kutoka ofisi hiyo, Bodi ya Makandarasi Tanzania, Bodi ya Watalii na EWURA CCC ili kujiandaa na maisha baada ya kustaafu.Akifungua jana...

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila.

22Jan 2023
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Chalamila amesema kuwa kwa Mkoa wa Kagera wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza ni 59,324 lakini walioripoti shuleni hadi Januari 20...
15Jan 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Ufafanuzi huo unatokana na taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa ndege zinazoruka na kutua katika maeneo ya hifadhi zinasafirisha wanyamapori na rasilimali nyingine zinazolindwa na...
15Jan 2023
Shaban Njia
Nipashe Jumapili
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 11 (jina linahifadhiwa) anadaiwa kufanyiwa ukatili huo Oktoba, mwaka jana, na baada ya kubainika kwa jambo hilo, wazazi wake na mwalimu wake wanadaiwa walilipwa...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame.

15Jan 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame, alisema kukamatwa kwa watuhumiwa hao kumetokana na msako na doria za jeshi hilo kuzuia uhalifu ndani ya mkoa....

Mwenyekiti wa Tume hiyo, Prof. Willy Komba,

15Jan 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Akizungumza baada ya kumalizika kwa kikao cha kupitia ufafanuzi wa kanuni za maadili na utendaji kazi katika utumishi wa walimu, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Prof. Willy Komba, alisema makosa mengi...

Rais Dk. Samia Samia Suluhu Hassan.

15Jan 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Mabadiliko hayo yalitangazwa jana baada ya  kumalizika kwa kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa Taifa, Rais Dk. Samia Samia Suluhu Hassan. Katika mabadiliko...

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo, akiwa amelazwa katika Kituo cha Afya St. Joseph Dumila, jana. PICHA: IDDA MUSHI

15Jan 2023
Idda Mushi
Nipashe Jumapili
Ajali hiyo iliyotokea jana ilisababisha foleni ya magari kuanzia majira ya saa tatu asubuhi.Ajali hiyo ilihusisha lori lenye namba za usajili T 418 DDP lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Mwanza...
15Jan 2023
Abdallah Khamis
Nipashe Jumapili
Mbali na kuahidi serikali kuwapa kipaumbele wanafunzi wenye mahitaji maalum Waziri Prof Mkenda pia ametoa wito kwa wazazi na wadau wa maendeleo kuendelea kuona umuhimu wa kuchangia juhudi za...
15Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwenye droo hiyo iliyofanyika katika Tawi la NMB Mtwara, wateja 76 wa benki hiyo kiongozi na kinara wa fedha kidijitali nchini walishinda pesa taslimu na pikipiki moja zinazotolewa kila wiki. ...

WAZIRI wa Madini Dk. Doto Biteko.

08Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamebainishwa jana katika kikao cha pili cha wadau wanaojihusisha na uingizaji na usambazaji wa kemikali hizo nchini inayotumika katika shughuli za kuchenjua madini ya dhahabu iliyofanyika...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu George Simbachawene akizungumza katika mkesha wa kitaifa wa dua maalum kwa taifa la Tanzania.

01Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ameitoa kwenye mkesha wa kitaifa wa dua maalum kwa taifa la Tanzania ambao umetumika kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023 uliofanyika katika Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam Jana...
11Dec 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Maadhimisho haya yanafanyika wakati matukio ya ulawiti na ubakaji wa watoto yanaongezeka kila uchao, kesi nyingi zinaelezwa kuishia polisi au mtuhumiwa anapopewa dhamana, familia zinakaa kuzungumza...

Doroth Gwajima.

11Dec 2022
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Ustawi wa Jamii, wanasheria watoa tahadhari.
HATUA SERIKALINIKinachoshuhudiwa na gazeti hili wilayani Kinondoni, ni sura nyingine ya ukatili wa jinsia na madhila yanayowakabili watoto, Ofisa Ustawi wa Jamii Kata ya Mwananyamala, Edith Mligo...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, SACP Wilbroad Mutafungwa (wa pili kushoto), akionyesha kwa waandishi wa habari jana, vifaa vya ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi maalufu Daraja la JPM, vilivyokamatwa baada ya kuibwa na baadhi ya wafanyakazi wa ujenzi wa daraja hilo, kwa kushirikiana na watu wengine. PICHA: VITUS AUDAX

11Dec 2022
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Vilevile, jeshi hilo linamshikilia mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Cops Security Tanzania, Bwire Manyama kwa tuhuma za kushirikiana na wezi hao kuiba vifaa hivyo kwa kutumia mitumbwi ya wavuvi.Kamanda...

Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA, Athumani Amasi.

11Dec 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Ni kwa waliofutiwa matokeo kwa udanganyifu 
Katika mtihani huo uliofanyika kwa siku mbili kuanzia Oktoba 5 mwaka huu na matokeo yake kutangazwa Desemba Mosi, watahiniwa hao sawa na asilimia 0.16 ya watahiniwa 1,350,881 walibainika kufanya...

Pages