NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

28Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakutana kanisani na kutetea mazito, Mkapa, Askofu Pengo washuhudia
Wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza jana kwenye misa ya ibada ya kumbukumbu ya miaka 50 ya ndoa ya Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na mkewe, Anna. Lowassa na Magufuli walikutana katika...

Makamu Mwenyekiti wa PAC, Aeshi Hilary.

28Aug 2016
Fredy Azzah
Nipashe Jumapili
Harufu ya ufisadi kwenye hesabu za wizara hiyo kwa mwaka 2014, iliibuliwa na Mbunge wa Magomeni Zanzibar, Jamal Kassim, ambaye alisema kwenye bajeti ya wizara hiyo inaonyesha kwamba ilipewa Sh....

Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Moshi Kakoso.

28Aug 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Kadhalika, TBA imesitisha ujenzi wa nyumba 10 kila mkoa badala yake zitajengwa nyumba 100 katika mkoa wa Dodoma. Hayo yalisemwa jana na Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga, alipokuwa akitoa...
28Aug 2016
George Tarimo
Nipashe Jumapili
Wananchi wa kijiji cha Migori, Kata ya Izazi wilaya ya Iringa, waliangua vilio hivyo juzi kwenye mazishi ya mmoja wa askari polisi aliyeuawa na majambazi mapema wiki hii jijini Dar es Salaam....

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.

28Aug 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Wafanyakazi hao walioagwa jana katika tafrija fupi iliyoandaliwa na kampuni kituo hicho ni watangazaji Godwin Gondwe, aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Emmanuel Buhohela na John Chacha...

Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dk. Hassan Mshinda.

28Aug 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dk. Hassan Mshinda, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga kongamano la tano la wanasayansi, lililowakutanisha wataalamu mbalimbali. Alisema...
28Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imetokana na Simbachawene kumwagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuwaondoa mara moja wamachinga kwenye Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart). Simbachawene alisema hayo...
28Aug 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Mbowe amebainisha kuwa lengo la operesheni hiyo ni kuzuia kile alichokiita utawala wa kidikteta dhidi ya vyama vya upinzani. Haijafahamika rasmi iwapo vyama vyote vinavyounda ukawa navyo...
28Aug 2016
Steven William
Nipashe Jumapili
Akikabidhi hundi kwa vikundi hivyo juzi, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Jumanne Shauri, alisema fedha hizo zinalenga kuwasaidia wanawake na vijana kujiwezesha kiuchumi. Alisema katika bajeti ya...
28Aug 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kadhalika, watoto hawaruhusiwi kuwekwa kwenye viti vya mbele, lakini hapa nchini watoto wamekuwa wakikalishwa viti vya mbele bila kufungwa mikanda na wazazi wengine huwaweka watoto hao kwenye kiti cha dereva tena chini ya usukani.
Umuhimu wa kumlinda mtoto ulitakiwa kuwa kipaumbele, ndiyo maana katika nchi zilizoendelea watoto wamepewa umuhimu mkubwa na pale wanapokuwa kwenye magari wanawekewa viti vyenye mikanda ya...

NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro',.

28Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Akizungumza baada ya mazoezi ya jana,Cannavaro, alisema kutolewa kwao kwenye mashindano ya kimataifa sio kielelezo cha kuidharau timu hiyo. Alisema kuwa wanarejea kwenye ligi na hasira zao za...
28Aug 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Diaspora wapatao 300 wakati wa mkutano mkubwa mjini Zanzibar wiki hii, walijadili pamoja na mambo mengine, fursa zilizo wazi kwa upande wao katika kukuza uchumi wa Tanzania. Dk. Maiga...

KOCHA Mkuu wa Toto African, Rogasian Kaijage.

28Aug 2016
Lasteck Alfred
Nipashe Jumapili
Kaijage ambaye amekabidhiwa kijiti cha kuifundisha timu hiyo kutoka kwa kocha John Tegete ambaye amekaa kando. Kocha huyo alisema kuwa, “ Tumeanza Ligi Kuu msimu huu vizuri, hivyo tunapaswa kuendelea...
28Aug 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Uporaji silaha umeshuhudiwa kwa kuvamiwa kituo cha Polisi cha Stakishari, Dar es Salaam, lakini pia Juni mwaka jana kituo cha Kimanzichana mkoani Pwani kilivamiwa na polisi waliuliwa na kuporwa silaha.
Wajibu wa msingi wa taasisi hiyo ni kulinda raia na mali zao, hivyo ili wafanikiwe katika utekelezaji wa majukumu hayo ni lazima jamii ambayo inabeba makundi yote ya jamii ishiriki.Matukio ya uhalifu...
28Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Aidha, kwa kuanzia, kikosi hicho cha askari walioiva kwa mafunzo na kusheheni silaha mbalimbali kitakwenda katika maeneo yote yanayodhaniwa kuwa maficho ya majambazi na kuwashughulikia ipasavyo ili...
28Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Fedha hizo zinadaiwa kutafunwa kutokana na upotevu wa korosho zilizokusanywa kwa wakulima hadi kufikishwa katika maghala ya vyama vikuu na mapunjo yatokanayo na malipo waliyopokea baada ya makato ya...

beki Joseph Owino.

28Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
beki huyo amerejea nyumbani kwao nchini Uganda kusaka hati hiyo na kusema kuwa, “Nitarudi vizuri. Sioni mchezaji wa kunitisha msimu huu kwa kuwa wengi ni wale wale. Owino ambaye alikuwa akiichezea...
28Aug 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
MWAKA 1994 nilikuwa mmoja wa waendesha mashtaka Public Prosecutor (PP) wa Polisi, kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga. Ninaikumbuka kesi moja kubwa ya mwaka huo aliyoikuwa akiiendesha na...

Kipa wa JKT Ruvu , Said Kipao akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo.PICHA: MICHAEL MATEMANGA

28Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
**Wachezaji wa Simba waliahidiwa kupewa pesa hizo kama wangewafunga maafande hao kwenye mchezo wa jana ambao ulimalizika bila kufungana.
Golikipa Said Kipao aliibuka shujaa wa timu yake baada ya kuzuia michomo mingi ya hatari iliyokuwa ikielekezwa golini kwake na washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Laudit Mavugo. Mbali na...
21Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Baada ya muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, kufikishwa bungeni Septemba, mwaka huu na kufanyiwa marekebisho. Aliyasema hayo jana katika uzinduzi wa mradi wa kukusanya nguvu za...

Pages