NDANI YA NIPASHE LEO

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka mahakamani.(Picha ya Maktaba).

12Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) na mwenzake wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) walishafikishwa mahakamani hapo wili iliyopita kwa kosa hilo. Kubenea alikamatwa juzi katika viunga vya...

Waziri wa Habari, Nape Nnauye akijaribisha kuvaa mkanda wa ubingwa wa Bondia Francis Cheka.

12Mar 2016
Nipashe
Cheka anayeshikilia mkanda wa ubingwa wa mabara, anatarajia kuzichapa na bondia huyo Juni mwaka huu katika pambano la raundi 12 uzito wa Kati. Akizungumza na gazeti hili jana, Cheka alisema...

kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Ruvuma, Revocatus Malimi, anaezungumza.

12Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Ruvuma, Revocatus Malimi alisema Kilapule aliliwa na fisi huyo Machi 9 saa 3 usiku katika kijiji cha Jiungeni kilicho jirani na Pori la...

Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo.

12Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam jana ambapo jaji mmoja, Valerie Msoka, hakuwapo na kutarajiwa kuapishwa mapema wiki ijayo. Jopo la majaji liloapishwa ni Dk. Joyce Bazira, Godfrey...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, akiwa katika wodi ya mama wajawazito katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

12Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
* Muhimbili safi, kwingineko maumivu
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa siku kadhaa Muhimbili, hospitali tatu za manispaa ya Dar es Salaam za Mwananyamala (Kinondoni), Amana (Ilala), Temeke na nyingine za mikoani, umebaini kuwa bado...
12Mar 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Japo nataka hii uifanye siri ushauri wangu ni kumtaka asimpe ulaji–kiherehere mmoja aitwaye Po Makondakta–anayejipendekeza hata kwa kutaka kudhalilisha wapiga chaki eti wasafiri bure na kuinuliwa...
12Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Mabingwa wa Bara, Yanga watakuwa mjini Kigali, Rwanda kucheza na APR katika mchezo wa kwanza hatua ya awali, Ligi ya Mabingwa Afrika. Azam FC, wako nchini Afrika Kusini kucheza na wenyeji wao...

Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako.

12Mar 2016
Adam Mwambapa
Nipashe
Hivyo basi anayecheza na uhai au maisha ya binadamu mwenzake, haijui thamani na kwa kufanya hivyo anaweza akawa anamkejeli au kumsahihisha Mwenyezi Mungu, aliyemuumba. Hali hiyo haitofautiani na...

Mkuu wa Polisi wa Kimataifa Interpol Tawi la Tanzania, Gustavus Balile.

11Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Yapeleka kwenye bunge lake taarifa za Mtanzania anayetuhumiwa kusambaza 'unga' dunia nzima, washikilia mali zake zilizo katika nchi mbalimbali.Umoja wa Mataifa waitaja Tanzania kuwa njia ya kusambaza dawa hizo, huchanganywa kwenye mafuta ya dizeli.
Wakati Marekani ambayo pia tangu juzi imepeleka suala hilo katika Bunge la Congress, ikitoa ripoti hiyo jana, Bodi ya Kimataifa ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (International Narcotic Control Board-ICBC...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

11Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Afrika imetajwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa kisukari wasiojifahamu na wasiotibiwa ambao wako kwenye hatari zaidi. Kwa kuliona hilo, asasi inayojihusisha na Kisukari ya Afrika...

Kamanda wa Polisi Dodoma, Lazaro Mambosasa.

11Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Elias Anangisye, karani wa mahakama hiyo, Stanley Konyanza, alidai kuwa washtakiwa hao walitenda kosa hilo Januari 20, mwaka huu. Aliwataja washtakiwa...

Mkuu wa Wilaya hiyo, Daudi Yassin.

11Mar 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, Mkuu wa Wilaya hiyo, Daudi Yassin, amewaagiza viongozi wa kata, vijiji na vitongoji kushirikiana na maofisa ugani katika maeneo yao kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi...

Mwanamke akiwa mashamba visiwani Zanzibar. PICHA NA MTANDAO

11Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Visiwani hapa, masharti ya kumiliki wa ardhi haumkwazi mwanamke kumiliki ardhi. Hata hivyo, pamoja na uhuru huo, idadi ya wanawake wanaomiliki ardhi ni ndogo ikilinganishwa na wanaume. Ikumbukwe...
11Mar 2016
Halima Ikunji
Nipashe
Hakimu mkazi wa mahakama ya mkoa wa Tabora, Jackton Rushwela, alitoa adhabu hiyo juzi baada ya kuridhia na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka. Katika shauri hilo, Hakimu Rushwela, pia...

Dk. Amani Msami.

11Mar 2016
Fatma Amir
Nipashe
Msimamizi wa elimu habari na takwimu wa Tume ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya, Dk. Amani Msami, alisema idadi hii ni kubwa. Alisema idadi ya watumiaji wa bangi wanaofika katika vituo...

Saed Kubenea akiwa ameongozana na Wakili wake Peter Kibatala.

11Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Tukio hilo lilitokea wakati alipofika mahakamani hapo kusikiliza kesi inayomkabili ya kudaiwa kutoa lugha ya matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Katika tukio hilo lilitokea...

Daktari dhamana Kanda ya Unguja kutoka Wizara ya Afya, Dk Fadhil Mohammed.

11Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Daktari dhamana Kanda ya Unguja kutoka Wizara ya Afya, Dk Fadhil Mohammed, alisema wamepokea wagonjwa wapya wa kipindupindu 33. Alisema kuwa wagonjwa hao 31 wamelazwa katika kambi maalum ya...

Wachezaji wa kikapu wakifanya mazoezi.

11Mar 2016
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Kamishna wa Ufundi na Uendeshaji wa Mashindano wa TBF, Manase Zablon alisema fedha hizo ni kwa ajili ya kulipa ada ya kuwa mwenyeji wa michuano hiyo ambayo ni dola...
11Mar 2016
Lulu George
Nipashe
Utekelezaji wa hatua hiyo unadhaniwa kuwa utaviwezesha vikundi hivyo vinavyojiusisha na utunzaji wa mikoko, usafi wa fukwe na doria, kuongeza kasi ya kutekeleza mipango endelevu ya usimamizi wa...
11Mar 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Tukasema, hiyo ina maana kuwa mfanyabiashara ambaye ana kiwango cha chini kinachoruhusiwa kushiriki kwenye uwekezaji wa dhamana za muda mfupi, yaani Shilingi 500,000, atapata kiasi cha hati fungani 5...

Pages