NDANI YA NIPASHE LEO

25Jan 2023
Frank Monyo
Nipashe
Ombi hilo lilitolewa na wazalishaji hao baada ya kukutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira katika kikao kilichofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Kikao hicho...
25Jan 2023
Sabato Kasika
Nipashe
Katika uwanja huo, kutafanyika mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Lissu, ambaye anatarajiwa kurejea nchini saa 7:35 mchana wa leo.Lissu ambaye ni mwanasheria,...
25Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kampuni ya udalali wa Mahakama, FreedomPath Tanzania Limited ilipiga mnada mali hizo kwa idhini ya Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam katika shauri la madai namba 93/2022.Akizungumza...

Waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wakishiriki kumzika marehemu Henry Massawe nyumbani kwake Kiaraka Magengeni, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani jana. PICHA: ELIZABETH ZAYA

25Jan 2023
Elizaberth Zaya
Nipashe
Polisi ililazimika kusimamia mazishi hayo baada ya Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kuamuru mwili huo kuzikwa katika nyumba yake aliyokuwa akiishi.Mwili huo umezikwa bila mke wa marehemu, Janeth...

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Rashid Mchatta akisalimiana na Mratibu wa Mradi wa Shule Bora Mkoa wa Rukwa kutoka Cambridge Education Tanzania (CETL) John Shindika baada ya kumaliza mafunzo yaliyoandaliwa na CETL kwa waandishi wa Habari, maafisa habari na wakuu wa Radio za jamii mkoani humo kwa lengo la kuwapa uelewa kuhusu Mradi wa Shule Bora, yaliyofanyika mjini Namanyere Nkasi Mkoani Rukwa Jana.

25Jan 2023
Devota Mwachang'a
Nipashe
Ofisa Elimu Mkoa wa Rukwa, Samson Hango, alisema hayo wakati wa kikao kilichoandaliwa na Cambridge Education Tanzania kwa waandishi wa habari, maofisa habari wa halmashauri na viongozi wa radio za...

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.

25Jan 2023
Restuta James
Nipashe
Lissu ambaye aligombea urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2020, anawasili nchini akitokea nchini Ubelgiji ambako ameishi kwa takribani miaka minne akifanyiwa matibabu baada ya watu wasiojulikana...
25Jan 2023
Jenifer Gilla
Nipashe
Hayo yameelezwa hivi karibuni wilayani Bagamoyo mkoani Pwani na Meneja Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) katika mradi wa Tuhifadhi Maliasili, John...

Kamishna wa Elimu, Dk. Lyabwene Mtahabwa.

25Jan 2023
Mary Mosha
Nipashe
Shule hizo ambazo hazitajajwa majina, zimedaiwa kuizuia timu hiyo kufanya kazi yake kwa madai kuwa sera za shule hizo haziruhusu watu wa nje kuingia shuleni hapo. Timu hiyo imeanzia Mkoa wa...

Ramadhan Misego (41).

24Jan 2023
Romana Mallya
Nipashe
Kijana huyo amefika leo ofisi za Nipashe, Mikocheni mkoani Dar es Salaam, amewaomba wasamaria kumchangia Sh. 300,000 za mtaji wa kuuza nguo za wanawake aina ya vijora.Amesema alipata ajali eneo...

Meya wa Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko akiongoza kikao maalum cha baraza la madiwani.

24Jan 2023
Marco Maduhu
Nipashe
Wamepitisha mapendekezo ya bajeti hiyo leo Januari 24, 2023 kwenye kikao maalumu cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo, huku wakisisitiza kasi ya...

Nemes Tarimo.

24Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri amesema taarifa walizozipokea ni kwamba mwezi Machi 2022 Mtanzania huyo alikuhumiwa kifungo cha miaka saba gerezani kwa mujibu wa sheria za Urusi kwa vitendo vya uhalifu Na kwamba akiwa...
24Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwendesha mashtaka Angelo Marco mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Ludewa Isaac Ayengo, amesema Mshtakiwa Simon Njavike ambaye ni Mwalimu wa Watoto wa kipaimara akiwemo binti huyo...
24Jan 2023
Elizaberth Zaya
Nipashe
Naibu Mkurugeni Mkuu wa Women in News kwa upande wa Afrika, Jane Godia, amesema katika utafiti walioufanya kwa nchi 17 duniani mwaka 2022 wamebaini kuna ombwe kubwa la viongozi wanawake katika vyombo...
24Jan 2023
Faustine Feliciane
Nipashe
Kauli hiyo ameitoa juzi wakati akizindua kampeni ya upandaji miti milioni moja katika Wilaya ya Ikungi mkoani humo.Serukamba akiwa ameambatana na sekretarieti ya mkoa ikiongozwa na katibu Tawala wa...
24Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mke wa marehemu, Janeth Ikuyumba anataka mwili wa mumewe ukazikwe Moshi mkoani Kilimanjaro alikozaliwa wakati ndugu wa marehemu wanataka uzikwe nyumbani kwake Kiharaka, Bagamoyo mkoani Pwani.Licha ya...
24Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Asifia kiwango chake, asema hakufikiria kama angeweza kuwa bora…
Nketiah sasa ndiye mfungaji bora wa Arsenal msimu huu akiwa amefunga mabao tisa katika michuano yote na alifunga mara mbili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester United, Jumapili.Ana mabao manne...
24Jan 2023
Saada Akida
Nipashe
 Kidunda atapanda ulingoni dhidi ya Patrick Mukala kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), na litasindikiwa na pambano la kisasi kati ya Oscar Richard dhidi ya Adam Mbega, litafanyika...
24Jan 2023
Hawa Abdallah
Nipashe
 KVZ juzi ilivuna pointi tatu na kuwa vinara wa Ligi kuu ya Zanzibar kwa kufikisha alama 37 baada ya kuwafunga Malindi FC waliokuwa wamefungana pointi.Akizungumza na gazeti hili Kocha msaidizi...
24Jan 2023
Hadija Mngwai
Nipashe
 Dodoma juzi ilifungwa bao 1-0 na Simba katika Uwanja wa nyumbani kwenye mchezo wa raundi ya 20 hivyo kujikuta ikiwa nafasi ya 13 ya msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 21.Akizungumza na...
24Jan 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Ubakaji wafikisha 12 hospitalini kila mwezi
 Vitendo hivyo mbali na kuacha ulemavu wa kudumu kwa watoto na kuwaathiri kimwili, kisaikolojia, huwaachia majeraha hata ujauzito, maradhi, baadhi yao hupoteza maisha na kukosa haki ya msingi ya...

Pages