NDANI YA NIPASHE LEO

04Jul 2022
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini na Ofisa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maaalum, Baraka Lucas katika maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa Dar es...
04Jul 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Ilimaliza ligi ikiwa na pointi 74 baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.Kwenye ligi hiyo imeshuhudia timu za Mbeya Kwanza ikiwa ya kwanza kushuka...

Neymar.

04Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais wa klabu hiyo, Nasser Al-Khelaifi amezungumza kwa uwazi kuhusu kutaka kuondoka katika enzi za wachezaji ‘mabishoo’ kwenye mji mkuu wa Ufaransa - ambapo bila shaka unahusishwa...

Jesse Lingard

04Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Watano kati ya hao sasa ni wachezaji huru bila klabu, na watatu tayari wamesaini mikataba ya kujiunga na klabu nyingine na wengine wawili kustaafu kabisa soka.Paul Pogba alikuwa jina kubwa zaidi kati...
04Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wakati wa tamasha la Elite Mjue Mtunzi lililofanyika mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Salaam ambapo amesema lengo la kuwa na...

Kamisaa wa Sensa ya watu na Makazi Anne Makinda akizungumza na wadau mbalimbali mkoani Shinyanga kuzungumza nao juu ya kuhamasisha wananchi washiriki kikamilifu kwenye zoezi la kuhesabiwa Sensa Agost 23 mwaka huu.

04Jul 2022
Marco Maduhu
Nipashe
Kamisaa wa Sensa ya watu na Makazi Taifa Anne Makinda, amebainisha hayo leo Julai 5, 2022 mkoani Shinyanga wakati akizungumza na viongozi wa dini, Serikali, Wakurugenzi, Watendaji wa Kata, Maafisa...
04Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Miili hiyo itaagwa kwenye ibada ya mazishi kuanzia saa 8 mchana katika Kanisa la Mtakatifu Marco wilayani humo.Akizungumza na Chombo kimoja cha habari leo Julai 4, 2022 Mwenyekiti wa Kijiji cha...

MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Binilith Mahenge.

04Jul 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Amesema wafanyakazi hao wanaingia ofisini kwa kuchelewa, badala ya kuanza kufanyakazi, wanakimbilia kunywa chai na kuchezea simu huku wananchi wakisubiri kuhudumiwa.Alitoa onyo hilo jana wakati...
04Jul 2022
Maulid Mmbaga
Nipashe
Taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar, mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu, na kiongozi huyo wa Madhehebu ya Bohora akiwa na ujumbe wake walionyesha azma ya...
04Jul 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Kitu pekee walichopokonywa ni Kombe la Mapinduzi, ambalo lilichukuliwa na watani zao wa jadi Simba. Nao wamewanyang'anya mataji matatu, hayo niliyoyaweka mwanzo.Kitu ambacho kilichowasaidia zaidi...
04Jul 2022
Mhariri
Nipashe
Yanga walitawazwa kuwa mabingwa wa FA baada ya kuifunga Coastal kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 4-1, huku pia wao ndio wakiwa mabingwa wa Ligi Kuu.Kwa msimu huu kila timu ikivuna kile...

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi.

04Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi, mara baada ya kuwajulia hali watoto mapacha (Rehema na Neema) waliokuwa wameungana na kufanikiwa kutengenishwa katika Hospitali...

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro.

04Jul 2022
Beatrice Shayo
Nipashe
Mwanafunzi aliyefanyiwa kitendo hicho (jina linahifadhiwa), alidai kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa na kupandishwa kwenye usafiri wa bajaji kuelekea kituo cha polisi.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya...

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana.

04Jul 2022
Friday Simbaya
Nipashe
..iliyofanyika mkoani hapo ambao ni kitovu cha utalii kwa ukanda wa kusini mwa Tanzania.Alisema mwishoni mwa wiki kuwa mfumo wa GRM utasaidia kushughulikia kwa ufanisi malalamiko kutoka kwa watu...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno.

04Jul 2022
Augusta Njoji
Nipashe
Ajali hiyo imetokea kwenye Kijiji cha Lugala, Wilaya ya Chamwino, mkoani hapo.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana na chanzo cha ajali hiyo ni...

Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya.

04Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki jijini Dodoma, wakati wa semina ya wabunge kuhusu uelewa wa kanuni mpya ya mafao iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
04Jul 2022
Elizaberth Zaya
Nipashe
Imesema imeamua kuondoa kiwango hicho kwa kuwa kimekuwa ni changamoto kubwa kwa watoa huduma hao.Akizungumza na Nipashe, katika maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF), Meneja...

WAZIRI wa Afya Zanzibar, Nassor Mohammed Mazrui.

04Jul 2022
Elizaberth Zaya
Nipashe
Aliyasema hayo katika maonyesho ya 46 ya Biashara Kimataifa Dar es Salaam (DITF) ikiwa ni siku maalum ya utamaduni wa Zanzibar iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TANTRADE).Alisema ni...
04Jul 2022
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Latifa Khamis wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 40 ya ushirikiano wa Tanzania na...

BEKI wa Yanga, Paul Geofrey.

04Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya klabu hiyo jana imesema kuwa imemsajili mchezaji huyo kutoka kwenye klabu ya Yanga, huku ikiweka picha ya mchezaji huyo kwenye mtandao rasmi wa klabu yao, akiwa pamoja na Ofisa Mtendaji...

Pages