NDANI YA NIPASHE LEO

24Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Morrison yuko nchini kwao Ghana kwa mapumziko maalumu, mkataba wake na Simba utamalizika ifikapo Agosti 14, mwaka huu. Barbara alisema kilichomwondoa nyota huyo ndani ya kikosi cha Simba ni...
24Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Chiko aliyesaini mkataba wa miezi sita na mwisho wa msimu huu unafikia tamati kuhusiana na hatima yake, amekuwa kwenye sintofahamu kwa sababu hajafanya vyema kwa kipindi hicho cha mkataba wake....
24Jun 2022
Nebart Msokwa
Nipashe
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini hapa jana, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, alisema dhumuni la kongamano hilo ni kuwakutanisha wadau mbalimbali wa nishati na madini ili...
24Jun 2022
Nebart Msokwa
Nipashe
Timu ya watafiti wa taasisi hiyo kutoka Makao Makuu imeungana na wenzao wa Kituo cha Uyole kilichoko jijini Mbeya kuandaa teknolojia hizo katika viwanja vya John Mwakangale yatakakofanyikia maonyesho...
24Jun 2022
Augusta Njoji
Nipashe
Akijibu swali hilo jana bungeni jijini hapa, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, alisema serikali inaendelea kuboresha na kujenga masoko ya mazao ya uvuvi katika maeneo mbalimbali nchini...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (kulia), akiongea katika kikao kazi cha kupata taarifa ya utekelezaji wa mradi wa kunenepesha mbuzi unaotekelezwa na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo (TALIRI) na taasisi inayojishughulisha na masuala ya kilimo biashara(PASS). Kushoto ni Mkurugenzi, Idara ya Utafiti, Mafunzo na Ugani (Sekta ya Mifugo), Dk. Angelo Mwilawa. PICHA: MPIGAPICHA WETU

24Jun 2022
Mbaraka Kambona
Nipashe
uchumi wao. Ulega alitoa maelekezo hayo katika kikao kazi cha kupata taarifa ya utekelezaji wa mradi wa kunenepesha mbuzi unaotekelezwa kwa ushirikiano na taasisi hizo mbili kilichofanyika jijini...
24Jun 2022
Romana Mallya
Nipashe
Juzi, Katibu wa Halmashauri Kuu wa CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, alitangaza CCM kinasisitiza umuhimu huo kwa kuzingatia mazingira ya sasa na kuangalia namna bora ya kufufua na...
23Jun 2022
Neema Hussein
Nipashe
Maombi hayo yametokana na wananchi hao kuguswa na utendaji mzuri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kutokana na mambo makubwa ambayo Rais ameyafanya katika kipindi cha...
23Jun 2022
Neema Hussein
Nipashe
Mrindoko ameyasema hayo alipotembelea mradi huo wa maji Kibaoni kwenda vitongoji vya Ndemanilwa,Kakuni,Ushirika na Isamvu unaotekelezwa kwa fedha za UVIKO-19 ambapo amesema mkandarasi huyo ahakikishe...

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (TAALUMA), Prof John Safari (wa kwanza kushoto), alikabidhi sehemu ya vifaa vya kufanyia usafi wa mazingira kwa Mwenyekiti wa Soko la Manyema, Manispaa ya Moshi leo, kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma.

23Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jana na wananchi, wafanyabiashara na wachuuzi katika Soko la Manyema, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), Prof. Alfred Sife,...

Mkuu wa Biashara ya kadi NMB, Philbert Casmir akiongea kwenye mkutano huo kwenye hoteli ya Serena Inn mjini Zanzibar leo.

23Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mradi huo wa utunzaji wa bustani ya Forodhani unalenga kuboresha mazingira ya kitalii na kuakisi vyema sifa maarufu ya eneo hilo, na utawezesha bustani hiyo kuvutia wageni wengi zaidi kila mwaka huku...
23Jun 2022
Mary Mosha
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu, Prof. Ndakidemi alisema yako mambo ambayo wabunge walikuwa wakiyapigia kelele bungeni na bajeti iliyopitishwa hivi karibuni imetoa majibu ya moja kwa moja kwa...
23Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mwandamizi Emmy Msangalufu, amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia ya kutenda kosa hilo Novemba 19, 2020 nyumbani kwake alipokuwa akiishi na mke wake ambaye alikuwa...
23Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo aliitoa jana wakati akizungumza na walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wa Kanda ya Kati Jijini  Dodoma katika Siku ya Mwalimu iliyoandaliwa na benki hiyo ikienda sambasamba na...

Mkoa wa Singida, Dk. Bilinith Mahenge.

23Jun 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Madai hayo yalitolewa jana na mkazi wa mkoani hapo, Omari Rashid mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Bilinith Mahenge, kwenye mkutano wa kusikiliza kero za wananchi uliofanyika katika viwanja vya...
23Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
TEF imesema matukio hayo ya uonevu dhidi ya wauzaji magazeti, yamethibitishwa kufanywa na mgambo wa jiji dhidi ya wauzaji magazeti bila kuwapo sababu zilizoainishwa kufanya hivyo. Taarifa...
23Jun 2022
Beatrice Shayo
Nipashe
Mufti Zubeir aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo kwa viongozi wa dini ya Kiislamu kuhusu ugonjwa huo, ili nao wakawaelimishe waumini wao umuhimu wa kuchanja. Alisema mafunzo...

Mhusika wa mradi wa uongezaji virutubishi kutoka asasi ya Gain, Edwin Josiah, akiweka virutubishi katika mashine kwa ajili ya kuchanganya unga wa mahindi. PICHA: SABATO KASIKA.

23Jun 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Yabuniwa mashine mpya ya kuandaa virutubishi lishe, ishara ya mapinduzi
Shaka iliyoko, isipoangaliwa, hali itafikia pabaya. Serikali inaendelea kuchukua hatua, ikishirikiana na wadau wengine wanaotoa michango, nyenzo zinazoendana na miongozo ya kiserikali katika eneo...

Mandhari ya mazingira ya Ziwa Rukwa.

23Jun 2022
Ibrahim Yassin
Nipashe
Hapo athari inajitokeza katika uharibifu na kuzorotesha mazingira kwa njia ya kupunguza rasilimali kama vile hewa, maji na udongo na kupotea wanyamapori, uharibifu wa mazingira kwa hasa makazi ya...

Yalivyo meno ya binadamu yenye kasoro katika sura tofauti. PICHA ZOTE: MAKTABA.

23Jun 2022
Mary Geofrey
Nipashe
Kazi ya meno ndiyo inayomuwezesha kusaidia kupitisha na kuchakata chakula kitakachoenda tumboni, kukamilisha uyeyushaji wake na kufyonzwa kwenye damu, hata kurutubisha mwili.  Anafafanua mate...

Pages