NDANI YA NIPASHE LEO

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa uchumi wa bluu unaoendelea jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Chuo cha Bahari (DMI).

21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ahadi hiyo ilitolewa leo Jumanne jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, wakati akifungua kongamano la kwanza la uchumi wa bluu.Kongamano hilo lililoandaliwa na...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Henry Mwaibambe.

21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani humo Henry Mwaibambe, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo  amesema watu hao watatu walimvamia binti huyo aliyekuwa akichunga mbuzi na mwenzie na wakaondoka nae...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe.

21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Prof.Mdoe  ameyasema hayo leo kwenye kikao cha wadau wa mapitio ya rasimu ya mwongozo huo kutambua na kuendeleza ubunifu na maarifa asilia wa Mwaka 2018 ili ukidhi mahitaji ya sasa.Amesema...
21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamesemwa mkoani Morogoro na Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Francis Michael katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

Kamanda wa Polisi mkoani humo, Ramadhani Ng’anzi.

21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waaandishi wa habari leo Juni 21, 20221 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Ramadhani Ng’anzi, amesema gari hilo ni mali ya Malema Maswi lilikamatwa Juni 8, 2022 majira ya Saa 5: 20...

Rais wa Rotary Club Oysterbay, Aisha Sykes (kulia), akikabidhi taulo za kike katoni 10,000 kwa Mwenyekiti wa IPP, Abdiel Mengi, zilizotolewa na klabu hiyo kwa ajili ya wasichana wanaosoma kupitia kampeni ya Namthamini inayoendeshwa na East Africa Radio na EATV katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Wapili kulia ni Rais wa Rotary International, Shekhar Mehta, Mkurugenzi Mtendaji wa East Africa Television Ltd, Regina Mengi (wapili kushoto) na mama Rashi Mehte. PICHA: MIRAJI MSALA

21Jun 2022
Jenifer Gilla
Nipashe
Akiongea katika hafla ya kukabidhi taulo hizo, Rais wa klabu hiyo, Aisha Sykes, alisema wameguswa kushiriki kampeni hiyo ili kumaliza tatizo la watoto wa kike kutohudhuria masomo kwa sababu ya kupata...
21Jun 2022
Mhariri
Nipashe
Mojawapo ni wizi wa mali za maiti wa ajali za barabarani na hata kuwaua majeruhi ili kuwapora mali zikiwamo fedha, vitu vya thamani na mizigo yao. Uovu huo umekuwa na athari kama majeruhi ambao...

Dereva Edmund Kinubi akiwa kazini. PICHA: MARCO MADUHU

21Jun 2022
Marco Maduhu
Nipashe
M-Mama unaotumiwa kuwawahisha wajawazito kwenye huduma za kiafya ili kujifungua salama, unaelezwa kuwa umeokoa maisha ya mama na watoto wengi hapa Shinyanga, anasema dereva Edmundi Kinubi.Ni dereva...
21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ukilimalizika Rwanda mwishoni mwa wiki iliyopita mkutano huo unaoandaliwa na Shirika la Mawasiliano la Umoja wa Mataifa (ITU), umejadili na kuweka mipango ya kuendeleza sekta ya mawasiliano duniani...

Kutumia mkaa na kuni ni kitisho kinachoelekea kuigeuza Tanzania jangwa. Iwapo gesi na umeme pamoja na vifaa vya kupikia vitapata ruzuku kama dizeli na petroli Watanzania wengi wanaweza kupunguza utegemezi wa mkaa na kuni jikoni. PICHA: ZOTE MTANDAO.

21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Ni zamu ya nishati za kupikia, gesi
Ni ukweli kuwa baada ya mafuta hasa petroli na dizeli kupanda bei wengi walipaza sauti wakilalamika kuwa maisha ni shida kwa mantiki kuwa bei za bidhaa zitaongezeka kutokana na gharama za...
21Jun 2022
Saada Akida
Nipashe
Katika mechi hiyo, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-1, huo ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo kwa Matola, tangu aanze kuiongoza timu hiyo baada ya kuondoka Kocha Mkuu, Mhispania Pablo Franco....
21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Huo ni ujumbe kutoka kwa mkuu wa Inter, Giuseppe Marotta, ambaye jana, Jumatatu alizungumza na Radio Anch'Io ili kutoa taarifa kuhusu biashara yao ya uhamisho. Inasemekana Lukaku atarejea Inter...
21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Donnarumma alisajiliwa na PSG kabla ya msimu wa 2021-22, huku Achraf Hakimi, Sergio Ramos, Georginio Wijnaldum na Lionel Messi pia wakiwasili katika mji huo mkuu wa Ufaransa. Messi aliungana na...
21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Mashine nyingine kuendelea kushushwa, yawatoa hofu mashabiki kuondoka Bwalya...
kimataifa. Simba ilikaribisha msimu huu wa 2021/22 kwa kuanza kupoteza Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga na sasa imeupoteza ubingwa wa Ligi Kuu pamoja na Kombe la FA. Lakini...
21Jun 2022
Augusta Njoji
Nipashe
Akiuliza maswali bungeni jana, mbunge huyo alihoji kutokana na hali hiyo serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi kudai stakabadhi. “Wafanyabiashara wengi hawana...
21Jun 2022
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde alitoa kauli hiyo jana bungeni alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Msalala (CCM), Iddi Kassim Iddi. Katika swali lake, mbunge huyo alisema...
21Jun 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Ushauri huo umetolewa na Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), katika mkutano wake na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mwenyekiti wa taasisi hiyo,...
21Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Kilimo wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Natalia Mosha, alisema hayo wakati akizungumzia umwagiaji dawa ya kuua ndege hao waharibifu wa mazao, mchakato unaoendelea sehemu mbalimbali nchini...
21Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, amepinga Waziri wa Fedha na Mipango, kupewa mamlaka ya kusamehe kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na mapato kwa wawekezaji mahiri, huku akitaka usawa kwa wote. Akichangia mjadala wa bajeti...

Waziri wa afya Ummy Mwalimu.

20Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa afya Ummy Mwalimu wakati wa kikao cha kujadili uboreshaji wa mfuko huo kupitia ushirikiano wa pamoja  kati ya Serikali na wadau Jijini Dar es Salaam.“Kwa...

Pages