NDANI YA NIPASHE LEO

20Jun 2022
Joctan Ngelly
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji wa mahakama hiyo, Lilian Itemba, baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha kosa hilo pasipo shaka.Jaji Itemba alisema mahakama hiyo inatoa adhabu kali dhidi ya mshtakiwa...
20Jun 2022
Beatrice Shayo
Nipashe
Wanafunzi waliofariki wametajwa kuwa ni Arnold Boniface na Samrati Masoud, wanasoma kidato cha tatu Shule ya Sekondari Mapinga.Wengine ni Rahma Kitindi anayesoma kidato cha pili katika Shule ya...

Rais Samia Suluhu Hassan (katikati), akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative (MIF) Zanzibar jana, hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa Bara na Visiwani. Wengine ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla (wapili kushoto), Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohamad Mussa (kushoto), Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative (MIF), Wanu Hafidh Ameir, pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo, Fatma Mwassa. PICHA: MPIGAPICHA WETU

20Jun 2022
Rahma Suleiman
Nipashe
Alisema ni aibu mkoa anaotoka Rais (Mkoa wa Kusini Unguja) kufanya vibaya katika mitihani ya taifa ikilinganishwa na mikoa mengine.Aliyasema hayo jana wakati akizindua Taasisi ya Mwanamke Initiatives...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Selemani Jafo.

18Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amechukua hatua wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kwa ajili ya kutembelea na kukagua Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) unaotekelezwa na...
18Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokwenda sokoni huko na kufanya kikao na wafanyabiashara wa soko hilo. "Nimeambiwa serikali inataka kuvunja soko hili na...
18Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
*Waliobambwa wasimulia cha moto
Hata wapenzi wa sasa wanatumia ili kurahisisha mawasiliano tofauti na zamani ambapo ilikuwa ni ngumu sana. Wakati huo watu walikuwa wakikutana wanaahidiana tu kuwa watakutana sehemu fulani, siku...
18Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Akizungumza mara baada ya mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya timu hiyo dhidi ya Mbeya City, ikiondoka na ushindi wa mabao 3-0 juzi usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Matola alisema ni kweli...
18Jun 2022
Saada Akida
Nipashe
Asema ni suala la muda tu itajulikana kama atacheza Msimbazi au Jangwani msimu ujao, huku Azam FC nao wakitajwa
Mpole anatajwa kuwa katika rada za kutakiwa na timu tatu kubwa hapa nchini kati ya Simba, Yanga na Azam FC ambapo inadawa kuwa ameshawekewa ofa mezani ya mkataba wa miaka miwili na mojawapo ya timu...
18Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uchezaji wa Wan-Bissaka pale Manchester United ulikwama msimu uliopita, huku majeraha na uchezaji mbaya ukimfanya achezee mechi 26 pekee kwenye mashindano yote. Bahati yake ilishuka baada ya Ralf...
18Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Miji 16 imechaguliwa kutoka 22 katika mataifa hayo matatu ambayo kwa pamoja yanaandaa michuano hiyo. Kwa Canada, hii ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kuandaa Kombe la Dunia la Wanaume, huku...
18Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
haziwezi kufikiwa na timu yoyote ile. Wanachama na mashabiki wa Yanga waliusubiri ubingwa huo kwa misimu minne ambapo ni kama ulikuwa umehamia kwa watani zao wa jadi, Simba. Baada ya dhiki...
18Jun 2022
Mary Geofrey
Nipashe
Ofisa wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsia Kituo cha Polisi Tabata, Rajabu Ally, alibainisha hayo juzi mkoani Dar es Salaam katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyoandaliwa na...
18Jun 2022
Mary Geofrey
Nipashe
Malipo hayo yanategemewa kukamilika Juni 17 wateja wote watakuwa wameshapokea mgao wao na kufanya idadi itakayotolewa kwa ujumla kufikia Sh. bilioni 174 tangu kampuni hiyo ianze kugawa faida kwa...
18Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe
Akichangia bungeni jana mjadala wa mapendekezo ya bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha, mbunge huyo alisema ni wakati wa tozo hiyo kurudi halmashauri ili ikusanywe kwa ufanisi kama awali. “...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla (aliyeshika kipaza sauti), akizungumza na Viongozi mbalimbali katika eneo linalojengwa maduka Darajani Mjini Unguja, wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya ujenzi wa masoko mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana. PICHA: RAHMA SULEIMAN

18Jun 2022
Rahma Suleiman
Nipashe
Aidha, ameiagiza wizara hiyo kukaa na mwekezaji anayejenga masoko hayo na kufuata taratibu za kisheria ili kuendelea na ujenzi wa masoko hayo. Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa...
18Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe
Akichangia mjadala wa mapendekeo ya bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha bungeni jana, Gambo alisema ni lazima serikali inapobana matumizi, kuangalia fedha za matumizi kwa baadhi ya halmashauri...
18Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jijini Dar es Salaam jana, Rais wa IIA, Zelia Njeza, alisema hatua hiyo ni kubwa kwa serikali na inakwenda kuongeza ufanisi zaidi kwenye sekta ya ukaguzi wa ndani. "Kwanza; tunaipongeza serikali...
18Jun 2022
Steven William
Nipashe
Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper, alitangaza neema hiyo juzi katika hafla fupi ya kukabidhi mabati 200 yenye thamani ya Sh. milioni nane katika shule nne za msingi zilizopo wilayani...
18Jun 2022
Vitus Audax
Nipashe
Akihitimisha mahojiano na shahidi katika kesi hiyo namba 12 ya mwaka 2022 inayomkabili mchungaji huyo na wenzake 84 jana, Wakili wa Utetezi, Steven Kitale, alidai mteja wake akiwa gerezani amekuwa...
18Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ushauri huo, ulitolewa jana Wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Ushirika huo, Nancy Manase, wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa stahili vya kuhifadhia maziwa, kabla ya kupeleka sokoni. “Tuna...

Pages