NDANI YA NIPASHE LEO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga.

09Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Inadaiwa kuwa baada ya kumchinja, mtuhumiwa aliukata mwili huo vipande vipande na kisha kutupa baadhi ya viungo kwenye mto, huku vingine akivitupa jirani na nyumba yake eneo la Kabinda lililopo...

Mbunge wa Viti Maalum wa Vyuo Vikuu, Dk. Pauline Nahato (kulia), akimtibu mmoja wa wagonjwa waliokumbwa na maafa ya maporomoko ya matope Mlima Hanang' kwenye Hospitali ya Wilaya ya Hanang' (Tumaini) hivi karibuni. PICHA: GIFT THADEY

09Jan 2024
Allan Isack
Nipashe
Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, katika maafa hayo yaliyotokana na maporomoko ya tope, mawe na magogo kutoka katika mlima Hanang  watu 89 walipoteza maisha na wengine 139...
09Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni baada ya kufanikiwa kuzalisha na kuuza jumla ya tani 26,066 zenye thamani ya Sh. bilioni 45.531. Hilo ni ongezeko la tani 1,000 kulinganisha na msimu uliopita ambao walizalisha tani 25,000.Kaimu...

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme.

09Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Desemba 28 mwaka Jana, Mkoa wa Shinyanga katika Kata ya Kagongwa wilayani Kahama, kulitokea vifo vya watu watano ambao walikabiliwa na ugonjwa wa kuhara na kutapika, na kusababisha Mkoa kuunda timu...
09Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hukumu hiyo imetolewa jana Januari 8, 2024 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha, Fahamu Kibona, baada ya mahakama hiyo kujiridhisha na ushahidi uliotolewa wakati wa usikilizwaji wa kesi...

Askofu Dk. Fredrick Shoo.

09Jan 2024
Jenifer Gilla
Nipashe
Pia amesisitiza wabunge kuyafanyia kazi mambo ambayo yamekuwa yanalalamikiwa mara kwa mara na wadau wa siasa ikiwamo kuundwa Tume Huru ya Uchaguzi.Dk. Shoo alitoa wito huo wakati akiongoza ibada...
09Jan 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Rubani ataja kinachompa kesi ya kujibu mahakamani, wajawazito kuzuiwa...
Licha ya wazazi wake kutamani awe daktari wa binadamu kutokana na matokeo mazuri ya kidato cha nne, alibaki na ndoto ya kuwa rubani.Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti...
09Jan 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo inakuja wakati shule nchini zikianza kufunguliwa huku baadhi ya walezi na wazazi wakilalamikia kupaa kwa bei za bidhaa za shule hali inayowafanya washindwe kuzimudu.Kaimu Mkurugenzi wa...
09Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa za awali zimeeleza kuwa alifika hotelini hapo na mwanaume ambaye jina lake halijafahamika na kuchukua chumba na asubuhi ilipofika muda wa usafi waligonga bila mafanikio na mlango ulikuwa...
08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Awapongeza Rais Dk. Samia na Dk. Mwinyi kwa maono na miongozo yao kutekeleza Miradi ya kimkakati
Dk. Biteko amesema, kuelekea Kilele cha Mapinduzi ya Zanzibar, watu waliopewa dhamana ya kusimamia miradi hiyo ambayo Serikali imepeleka fedha nyingi, wafanye kazi kwa uaminifu kwani watatatoa hesabu...
08Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Akiwa katika ziara hiyo Kunenge amewasisitiza watoto wa kike kuzingatia maadili wawapo shuleni ili waweze kufanya vizuri sawa na wanafunzi wa kiume na kuepuka kupata mimba wakiwa na umri mdogo....

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,John Mongela,akizungumza Leo Januari 8,2024 na kundi la wazazi na walezi waliokwenda kuwaandikisha wanafunzi wa darasa la awali na la kwanza katika shule ya Msingi Murieti Darajani iliyoko Halmashauri ya Jiji la Arusha.PICHA:ALLAN ISACK.

08Jan 2024
Allan Isack
Nipashe
“Rai yangu hapa Jiji la Arusha umakini uongezeke kwa kuwa hatuwezi kuvumilia hii hasara na sijui kama mnanielewa na huo ndio ujumbe wangu,”amesema RC Mongela.Mkuu huyo wa Mkoa ameotoa...
08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Saruji hiyo itatumika kasaidia ujenzi wa nyumba zaidi ya 101 ambazo serikali imepanga kuwajengea waathirika wa maafa hayo.Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amesema..."Maafa ya hivi karibuni...

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga.

08Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 08, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme, wakati wa ziara yake ya kukagua mahudhurio ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza...
08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-hawajathiriwa na tukio la maporomoko ya Hanang.RC Sendiga ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kugonga kengele leo saa 12 asubuhi katika Shule ya Msingi Kateshi “A” kama ishara ya...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama akipokea kwa niaba zawadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Mhashamu Baba Askofu Dk. Fredrick Shoo, mara baada ya ibada ya Kuwekwa Wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mufindi.

08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu)  Jenista Mhagama wakati akimuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Ibada Maalum ya kuwekwa Wakfu Askofu wa...

Waziri wa Afya wa Kenya, Wafula Nakhumicha.

08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri huyo amesema nchi imekumbwa na uhaba wa dawa hizo tangu Oktoba mwaka jana na imechukua hatua za kuhakikisha usambazaji endelevu kwa hospitali za serikali ikiwa ni pamoja na mabadiliko kutoka...

Wataalamu wakimwandaa mgonjwa kuingiza kwenye mtambo mpya na wa kisasa ambao umenunuliwa na Hospitali ya Kairuki unaoitwa High Intensity Focused Ultrasound (HIFU), ambao unatibu uvimbe bila upasuaji kwa kutumia mwangwi wa sauti.

08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...kuanza kutoa matibabu ya kuondoa vimbe mbalimbali bila upasuaji kwa  kutumia mtambo tiba unotumia mwangwi wa sauti (Ultrasound).Rais Samia amekuwa akifanya jitihada kubwa kuzipa vifaa...
08Jan 2024
Nipashe
Mfaransa huyo amesema kucheza na messi anakuwa na uhakika wa…
Mshindi mara nane wa tuzo ya Ballon d'Or Messi alicheza misimu miwili na Mbappe katika klabu ya PSG kabla ya kujiunga na Inter Miami kama mchezaji huru Julai 2023.Wakati wakiwa pamoja, Mbappe na...
08Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Halmashauri hiyo, Dk. Shani Josephat, amesema kuwa wawili waliogundulika na ugonjwa huo wanaendelea na matibabu katika Kituo cha Afya Mwendakulima.Dk. Josephat alisema...

Pages