NDANI YA NIPASHE LEO

28Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, aliliambia gazeti hili jana ofa kutoka Al Hilal ya Sudan ilikuwa nzuri, lakini muda walioiwasilisha wakati huo haukuwa rafiki kumuuza mchezaji huyo...
27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sheria yaja kudhibiti salio kwenye simu, benki...
Akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2022 bungeni leo, Dk Mwigulu amesema serikali imelifanyia kazi suala hilo na inakamilisha mapendekezo yatakayowawezesha kutunga Sheria ya Usimamizi wa...

Rais Samia Suluhu Hassan.

27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Samia amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 27 jijini Dar es Salaam wakati akihitimisha kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF) ulioanzishwa Juni...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla akizindua huduma ya ‘Go na NMB’ visiwani Zanzibar. Wakishuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna (wa tatu kutoka kulia), Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi, Filbert Mponzi (wa pili kutoka kulia) Meneja wa Biashara wa Benki ya NMB Zanzibar, Naima Shaame na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja - Rashid Simai Msaraka.

27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna, alisema benki hiyo imejipanga kikamilifu kuwafanya vijana wa Zanzibar kuwa na nidhamu ya kutumia pesa ili wawe raia wanaowajibika vyema kifedha.Aliyasema...
27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mtatiro ametoa maelekezo hayo jana Juni 26 alipomtembelea Mwalimu huyo katika kijiji cha Mkapunda kilicho umbali wa kilomita 100 kutoka Tunduru Mjini ambako anafundisha.Mtatiro ameeleza ni wajibu wa...
27Jun 2022
Grace Gurisha
Nipashe
Uamuzi huo ulimetolewa na Jaji Juliana Masabo wa mahakama hiyo.Alisema mrufani (Zarina) alikuwa na hoja saba za kupinga hukumu hiyo iliyomtia hatiani ikiwa ya Mahakama ya Ilala kukosea kumtia hatiani...

Wafanyakazi na wateja wa benki ya DTB wakitoa damu ili kuboresha benki ya damu salama zoezi lililoratibiwa na benki hiyo lililofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Picha: Mary Kadoke.

27Jun 2022
Mary Kadoke
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa DTB, Sylvester Bahati, alisema tukio hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, lililenga kuadhimisha siku hiyo....

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba.

27Jun 2022
Ibrahim Yassin
Nipashe
Mgumba alitoa agizo hilo mwishoni mwa wiki kwenye baraza la kujadili taarifa ya CAG za mwaka 2020/2021 baada ya kuibuka kwa hoja ya gari kununuliwa kwa kiasi hicho cha pesa huku likiwa limetembea...
27Jun 2022
Joctan Ngelly
Nipashe
Mshtakiwa huyo alipandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Cleofas Waane na aliposomewa shtaka lake alikiri kumbaka msichana huyo akidai kuwa alikuwa mpenzi wake.Hakimu...
27Jun 2022
Jenifer Gilla
Nipashe
Moja ya kivutio kikubwa cha mwanamke ni kuwa na nywele nzuri, ziwe zimesukwa, kubanwa au kubandika nywele za bandia (wig) ili kuongeza mwonekano mzuri. Hata hivyo, ili kutimiza haja hiyo...
27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa kutoka Ofisi ya Rais wa TAT, Mohammed Abdullah, mwishoni mwa wiki ilisema chama hicho, wanachama na wasafirishaji nchini, wanampongeza Rais Samia kwa kuwasikiliza wasafirishaji wa mizigo...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimpongeza Askofu Wolfgang John Pisa baada ya kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi katika ibada iiyofanyika Uwanja wa Ilulu mjini Lindi jana. PICHA: OFISI YA WAZIRI MKUU

27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aliyasema hayo jana katika viwanja vya Ilulu mkoani Lindi wakati wa ibada ya kusimikwa kwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Wolfgang Pisa. “Maendeleo ya nchi hayawezi kuimarika kama tutakuwa...
27Jun 2022
Augusta Njoji
Nipashe
Pia waajiri wote kuhakikisha wanapokea vyeti na kuviwasilisha Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kwa ajili ya uhakiki na watakaokutwa na vyeti vya kugushi hatua kali zichukuliwe. Bashungwa alitoa...
27Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa mechi kadhaa sasa ambazo Simba imeonekana kuukosa ubingwa wa Tanzania Bara kuna golikipa mwingine ambaye anakaa golini. Anadaka michomo kwa ustadi na 'saves' za maana kiasi cha kuwakosha...
27Jun 2022
Mhariri
Nipashe
Hata hivyo, filamu nyingi zinazosambazwa kimataifa na kupenya soko la nchi nyingi ni zile zinazozalishwa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya. Filamu pia zimekuwa zikitumika kama njia muhimu ya...
27Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Miaka kadhaa nyuma mida hii kungekuwa na patashika nguo kuchanika kwa klabu kubwa kama za Simba, Yanga na hata Azam kugombania, kunyang'anyana wachezaji wa Kibongo. Msimu huu pilikapilika...
27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ingawa wanamichezo bora zaidi duniani hupata fedha nyingi uwanjani, wengi huweka juhudi nyingi kudumisha vyanzo vya mapato yao. Wengi wa nyota wa michezo duniani ni wajasiriamali na mabalozi...
27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kusajili mchezaji kwa uhamisho wa bure ni matarajio ya kuvutia sana kwa klabu yoyote. Soko la wachezaji huru limejaa wachezaji kadhaa wa kiwango cha kimataifa msimu huu wa joto. Ni suala la muda...
27Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe
…Mapokezi yake ni kufuru, barabara zafungwa, uongozi wasema bado FA…
Yanga ambayo ilitua kwa ndege ya Air Tanzania, juzi Jumamosi ilikabidhiwa rasmi kombe la ubingwa huo jijini Mbeya na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),...
27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ziyech alihamia Stamford Bridge msimu wa joto wa mwaka 2020 kwa ada ya takriban pauni milioni 33, lakini ameshindwa kuwa kwenye kiwango bora kama alichokionyesha katika kipindi chake kizuri akiwa na...

Pages