NDANI YA NIPASHE LEO

27Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Di Maria anaondoka Paris Saint-Germain baada ya mkataba wake kufika mwisho, hivyo kumaliza kipindi chake cha misimu saba katika mji mkuu huo wa Ufaransa. Barcelona na Juventus zote zimeonyesha nia...
27Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Ilikuwa ni krosi ya Ezekia Mwashilindi iliyomkuta Jeremiaha Juma ambaye aliunganisha, lakini kipa Beno Kakolanya aliokoa na mabeki wa Simba wakawa wazito kuondoa hatari hiyo, Asukile aliukuta,...
27Jun 2022
Mbaraka Kambona
Nipashe
Alitoa kauli hiyo alipofanya ziara ya kukagua viwanda vya kuchakata maziwa, jijini Dodoma, mwishoni mwa wiki. Alisema msimamo wa serikali ni kuona uwekezaji katika tasnia ya maziwa unashamiri ili...
27Jun 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Malalamiko hayo yalitolewa juzi na viongozi wa Kata ya Puma, wakati Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro, alipofanya mkutano na madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji, watendaji na viongozi wa...
27Jun 2022
Rahma Suleiman
Nipashe
Hayo yalisemwa na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis, wakati akikabidhi baiskeli 30 zenye thamani ya Sh. milioni 7.5, pamoja na visanduku maalumu vya kuweka na...
27Jun 2022
Julieth Mkireri
Nipashe
Walitoa ombi hilo juzi wilayani Kibiti wakieleza kuwa endapo watapatiwa ahueni ya pembejeo wakulima wengi watazalisha ufuta kwa wingi na watapata faida katika kilimo cha zao hilo. Mmoja wa...
25Jun 2022
Mhariri
Nipashe
Hata hivyo wakati ligi hiyo ikielekea ukingoni tayari bingwa mpya ameshapatikana naye si mwingine ni klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam. Yanga iliwavua mabingwa mara nne mfululizo, Simba wiki...
25Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha meli hiyo aina ya 'boss seven' iliyopokea mzigo kutoka uturuki ikiwa na viatilifu hivyo imefika mahali hapo tayali kwa kupakuliwa na Kuanza kwa mchakato wa kuvigawa kwa wakulima. Hayo...
25Jun 2022
Joseph Mwendapole
Nipashe
Hayo yalisemwa juzi na Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Suleiman Makame, wakati akizungumza kwenye ufungaji wa kongamano la siku mbili la uchumi wa buluu, lililoandaliwa na Chuo cha...
25Jun 2022
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Dk. Nchemba alitoa kauli hiyo jana alipohutubia kwa njia ya mtandao wakati akifungua mkutano wa 10 wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) unaofanyika jijini Arusha kwa ushirikiano na Jumuiya ya Kimataifa ya...
25Jun 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Mapendekezo hayo yalitolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Anna Henga, alipozungumza na waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam. Pendelezo la kwanza ni serikali kupeleka muswada...
25Jun 2022
Steven William
Nipashe
Onyo hilo lilitolewa juzi na Mkuu wa Wilaya hiyo, Halima Bulembo, alipozungumza na wazazi na walezi katika Kijiji cha Mkuzi wilayani hapa. Alisema ni marufuku watoto wenye umri wa kuwa shuleni,...
25Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk. Leonard Maboko, alibainisha hayo juzi jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha Kamisheni ya Tume hiyo na Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) ili...
25Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, Zidane alinukuliwa na L’Equipe akisema, kama kocha wa kiwango chake, kuna kazi chache tu zinazomfaa na hizo itakuwa ni ujinga kukataa moja kati ya klabu kubwa barani...
25Jun 2022
Renatha Msungu
Nipashe
Naibu Waziri wa Kilimo, Antony Mavunde, alibainisha hayo juzi wakati wa ziara ya Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kiwanda cha kuzalishaji mbolea cha Itracom kilichoko jijini...
25Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la kila siku la michezo la Hispania la AS, Bayern Munich inaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji huyo wa kireno iwapo Robert Lewandowski ataondoka Bavaria....
25Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe
***Nabi afunguka wamedhamiria kuweka rekodi na heshima...
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi alisema mechi hiyo itakuwa ngumu kwa sababu wenyeji wao wanakikosi imara, lakini wamejiandaa kupata matokeo mazuri. Hata hivyo...
25Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe
Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, iliwasilisha bungeni mapendekezo hayo ya kufuta ada hiyo Juni 14 mwaka huu. Jana Bunge liliridhia mapendekezo hayo lilipopitisha...
25Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa jana, Serengeti Girls iko kundi moja pamoja na Japan, Canada na Ufaransa wakati Kundi A linaundwa na wenyeji India, Marekani, Morocco na Brazil. Ujerumani, Nigeria...
25Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
*jiko la mchina mkombozi wa mabachela
Anayetaka kuandaa chakula atatumia jiko cha umeme, siku hizi pia kuna jiko la gesi. Haya yote ni majiko ya kisasa ambayo yamekuja kuleta mapinduzi makubwa kwenye masuala ya vyombo vya jikoni....

Pages