NDANI YA NIPASHE LEO

25Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe
Wakijibu hoja za wabunge mbalimbali wakati wakuhitimisha mjadala wa makadirio ya bejeti ya serikali kwa mwaka 2022/23. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu)...
25Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tatizo la ukame linalojitokeza mara kwa mara hupelekea kuongezeka kwa watoto wanaokumbwa na utapiamlo, kurudi nyuma kiuchumi kutokana na mifugo kufa kwa kukosa malisho na maji na  nyasi. Hata...
25Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, imesema kila Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na anaingiza kipato atatakiwa kulipa kodi, ili kuchangia maendeleo ya nchi. Hayo yalisemwa jana bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk....
25Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Ina maana klabu hiyo haitosajili kwa msimu mzima wa 2022/23, kwenye dirisha kubwa linalotarajiwa kuanza Julai Mosi hadi Agosti 31 mwaka huu, na ule wa dirisha dogo ambao unatarajiwa kuwa Desemba 16...

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw. Theobald Sabi akizungumza na wajumbe wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Afrika Kusini na Tanzania wakati wa Mkutano wa Jukwaa hilo ulifanyika jijini Dar es Salaam.

24Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msimamo huo wa benki hiyo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Theobald Sabi wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Afrika Kusini uliofanyika jijini Dar es Salaam...
24Jun 2022
Neema Emmanuel
Nipashe
Akizungumza katika mkutano wa wadau wa uwekezaji katika sekta ya uvuvi, Mkurugenzi wa Utafiti, Mipango na Mifumo ya Taarifa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mafutah Bunini, amesema sekta ya uvuvi...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja.

24Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema hayo leo bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu maswali kuhusu namna ya kukarabati miundombinu na kuboresha makumbusho ya wapigania uhuru.Amesema kupitia fedha za UVIKO-19 kiasi cha shilingi...
24Jun 2022
Marco Maduhu
Nipashe
Wamedai yamekuwa yakitega wanaume na kusababisha kuwafanyia vitendo vya ukatili ikiwamo kubakwa. Wazee wametoa malalamiko hayo kwenye mkutano wa hadhara wa mtaa huo, uliokuwa na lengo la kutoa...

Mwakilishi wa Familia ya Ruge Mutahaba, Rwebu Mutahaba (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, mkoani Dar es Salaam jana, kuhusu uzinduzi wa Taasisi ya Ruge Mutahaba, unaotarajiwa kufanyika Jumapili hii. Wengine ni Mjumbe wa Bodi ya Udhamini ya Taasisi hiyo, Georgia Mutagahywa (kushoto) na Mkurugenzi wa Mradi wa Fursa, Suma Mwaitenda. PICHA: MARY KADOKE

24Jun 2022
Romana Mallya
Nipashe
Uzinduzi wa tukio hilo utarushwa mbashara kuanzia saa tatu na robo usiku kupitia vyombo vya habari vya ITV, EATV, Clouds TV na ETV. Akizungumza jana na waandishi wa habari kwa niaba ya familia,...
24Jun 2022
Romana Mallya
Nipashe
Kauli hiyo imekuja baada ya kuwapo kwa malalamiko ya baadhi ya wafanyabiashara hao kulalamikia vitendo vya askari wa Jiji la Dar es Salaam kuwanyanyasa na kuchukua meza zao. Kwa mujibu wa taarifa...

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo.

24Jun 2022
Romana Mallya
Nipashe
Alibainisha hayo juzi usiku katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV, akikiri 'mabonde' yapo na yataendelea kuwapo kulingana na mazingira na wakati.Alisema kuwa...
24Jun 2022
Maulid Mmbaga
Nipashe
Kwa mujibu wa Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa Juni 21 ikiwa ni siku nne baada ya Juni 17, mwaka huu, kufanya tukio hilo na kukimbia. Alisema baada ya mtuhumiwa...
24Jun 2022
Romana Mallya
Nipashe
*CHADEMA watuma barua bungeni
Juzi, Mahakama Kuu Masijala Kuu iliyaondoa maombi ya waliokuwa wanachama 19 wa CHADEMA baada ya kubaini yana upungufu wa kisheria. Wakili Mwamanenge alipotafutwa jana kuzungumzia hatua zinazofuata...
24Jun 2022
Joseph Kulangwa
Nipashe
Jamii zilizokuwa ahueni kiuchumi zilitumia wanyama wafugwao hususan punda, kusafiri na kusafiria, huku barabara zikiwa bila lami kama tunavyoona leo. Watu walizoea kuwa hiyo ndiyo njia ya usafiri...
24Jun 2022
Anthony Gervas
Nipashe
Kajenga nyumba, wake watatu….
Wapo watu wengi ambao wameweza kukata tamaa ya maisha kutokana na misukosuko mbalimbali, ndiyo maana waswahili wanasema |maisha ya binadamu ni safari ndefu, inahitaji uvumilivu usikate tamaa.”...
24Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa sababu ya mila zao wanazozidumisha katika mavazi yao ya asili na wanaishi karibu na mbuga nyingi, wanajulikana zaidi nchini, hadi kufika nje ya bara Afrika. Ni sehemu hata ya kuwa vivutio vya...
24Jun 2022
Adam Fungamwango
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Tabora, Richard Abwao, alisema jeshi hilo linaendelea kufuatilia taarifa za vifo na majeruhi kutokana na abiria wengi kukimbizwa katika Hospitali ya Mkoa wa Tabora Kitete, kwa...
24Jun 2022
Mhariri
Nipashe
Kitendo hicho kilisababisha taharuki kubwa na baadhi ya wateja wao kukosa haki yao ya kupata taarifa kupitia magazeti yanayouzwa na wafanyabiashara hao. Katika taarifa hiyo ya TEF ilibainisha kuwa...
24Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil, Vinicius alikuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Real Madrid kilichoshinda taji la Ligi Kuu Hispania, LaLiga na Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2021-22, akifunga bao...
24Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal alidokeza nia yake ya kuondoka Liverpool baada ya kushindwa kwa klabu hiyo katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid na uhamisho wake wa euro...

Pages