NDANI YA NIPASHE LEO

04Jan 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwenye mechi iliyochezwa wiki mbili zilizopita, Simba ilichapwa bao 1-0, hivyo inahitaji ushindi wa kuanzia mabao 2-0 ili iweze kusonga mbele, vinginevyo itatupwa kucheza mechi ya mchujo ili kutinga...
04Jan 2021
Mhariri
Nipashe
Katika michuano hiyo inayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Simba inayoiwakilisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, itaikaribisha FC Platinum ya Zimbabwe katika Uwanja wa Benjamin...

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula, akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vya upimaji vya RTK kwa Halmashauri ya Mkuranga akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Pwani mwishoni mwa wiki. PICHA: MPIGAPICHA WETU

04Jan 2021
Munir Shemweta
Nipashe
Akiwa kwenye ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi, Dk. Mabula alisema uamuzi wa halmashauri kununua vifaa huku zingine zikitenga fedha kwa ajili ya mpango kabambe, unaonyesha wakurugenzi...
04Jan 2021
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mtaala huo jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TCAA), Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA...
04Jan 2021
Steven William
Nipashe
Meneja wa TANESCO wilayani hapo, Chuwa Mathias, aliiambia Nipashe kuwa shirika hilo limeshasambaza huduma hiyo katika vijiji 13 na linaendelea ili kuhakikisha vijiji vyote na vitongoji katika wilaya...
04Jan 2021
Paul Mabeja
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Ladislaus Mwamanga, alisema hayo wakati akielezea matokeo ya tathmini ya kati ya utekelezaji wa mkakati wa kunusuru kaya maskini awamu ya...
04Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ujenzi wa tangi hilo utagharimu Sh. milioni 998, kwamba linatarajiwa kuhudumia wakazi wa Chamwino na Hospitali ya Rufani ya Uhuru, jijini Dodoma. Kwa mujibu taarifa iliyotolewa jana na Kitengo cha...
04Jan 2021
Shufaa Lyimo
Nipashe
Namungo itashuka dimbani nchini Sudan Jumatano, tayari ikiwa na faida ya mabao mawili baada ya kushinda 2-0 kwenye mechi ya awali iliyopigwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam,...
04Jan 2021
Shufaa Lyimo
Nipashe
Yanga ambayo kwenye michuano hiyo ipo Kundi A pamoja na Namungo na Jamhuri ya Pemba, itashuka katika Uwanja wa Amaan kesho saa 2:15 usiku kutupa karata yake ya kwanza dhidi ya Wapemba hao.Timu...
04Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Sven asema wapo tayari, rekodi ya kufunga ya Chikwende yatisha, lakini...
Simba itaikaribisha FC Platinum keshokutwa, Jumatano katika Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 ugenini, shukrani zikimwendea 'muuaji' Chikwende aliyewazamisha '...

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akiwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea eneo la Kigwe-Bahi waliolazwa katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Dodoma jana. PICHA: MPIGAPICHA WETU

04Jan 2021
Renatha Msungu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Nchini (TRC), treni iliyosababisha vifo hivyo ilikuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Tabora, Kigoma, Mpanda na Mwanza. Akizungumza katika eneo la...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda, picha mtandao

04Jan 2021
Dege Masoli
Nipashe
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30 usiku na inadaiwa kuwa Mahimbo alikwenda kwa Seif ambaye ni mdogo wake, kumdai kiasi hicho cha fedha. Imedaiwa katika kudaiana kulitokea mabishano baina ya...
04Jan 2021
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Suala hilo lilifikishwa mwishoni mwa wiki kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya mwananchi mmoja kutoka Mtwara kupiga simu katika kipindi cha runinga cha Papo kwa Papo na kuhoji uhalali wa...

Mkurugenzi wa Afya wa TAMISEMI, Dk. Ntuli Kapologwe

02Jan 2021
Sanula Athanas
Nipashe
*Mkurugenzi Afya: Ni kweli lipo tatizo Masunula *Akiri haimo katika bajeti, ila chanjo tembezi *Watumishi afya wapo nusu, wajuzi chanjo 29%
Wakati hali ikiwa hivyo mkoani Shinyanga, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), anabainisha kuwapo kwa udhaifu katika upatikanaji wa huduma za kinga na chanjo nchini.CAG, Charles...
01Jan 2021
Anthony Gervas
Nipashe
* Atamba kufika kona zote kwa TEHAMA , * Bando za simu, pensheni kwa wastaafu
NI Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa nchini kinachotetea kulinda haki za wafanyakazi kazini, mahsusi watumishi wote wa serikali za mitaa, isipokuwa walioko sekta ya elimu kushikamana na...
01Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jana, Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini, Nancy Nyenga, aliiambia Nipashe kwamba, kwa kiwanda kitakachozalisha vifungashio hivyo, kitatozwa faini ya Sh. milioni 20 na isiyozidi Sh. bilioni moja...
01Jan 2021
Saada Akida
Nipashe
Zimbabwe. Simba inatarajia kuwakaribisha FC Platinum katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa Januari 6, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa...
01Jan 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Kwa wenzetu ambao pumzi zao ziligota mnamo 2020 tuwaombee, maana iko wazi kwamba “kila nafsi lazima ionje mauti.” Wakati mwaka mpya ukiwa unakaribia kuanza, ni vyema kujikumbusha machache...
01Jan 2021
Paul Mabeja
Nipashe
Pia, amezitaka halmashauri zote nchini kuangalia namna bora ya kuachana na matumizi ya karatasi na kutumia vishikwambi hususani kwa madiwani na wakuu wa idara. Jafo alibainisha hayo jana wakati...
01Jan 2021
Mhariri
Nipashe
Ni wazi kuwa kila wakati unapoanza mwaka mpya unakuwa ndiyo wakati au fursa ya kutafakari na kuangalia nyuma. Tulipotoka na tunakoelekea 2021. Sisi pamoja na nyinyi ni muda mwingine wa kuangalia...

Pages