NDANI YA NIPASHE LEO

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula, akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi (hawapo pichani), katika Chuo cha Ardhi Morogoro tarehe 30, Desemba 2020, wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta hiyo na miradi inayoendeshwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mkoani Morogoro. PICHA: MPIGAPICHA WETU