NDANI YA NIPASHE LEO

13Jan 2016
Nipashe
Wakizungumza na waandishi wa habari kijiji hapo jana, wananchi hao walisema maji ya mto huo mbali ya kubomoa nyumba zao, pia yamesomba vyakula, nguo na vyombo mbalimbali pamoja na kubomoa mfereji...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako

13Jan 2016
Nipashe
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, aliliambia gazeti hili kwamba uamuzi huo unakuja baada ya kubaini kwamba licha ya vyuo vingi kuwa na ithibati, bado baadhi...

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein

13Jan 2016
Nipashe
Kauli ya Shein imekuja siku moja baada ya juzi Maalim Seif kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kumtaka Rais Magufuli kuingilia mazungumzo yanayoendelea Zanzibar ili muafaka...

Rais Dk. John Magufuli

13Jan 2016
Nipashe
Taarifa hizo ambazo zilithibitishwa na mmoja wa wasaidizi wa Rais Magufuli, zinaeleza kwamba, jana ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kupanda ndege tangu aingie madarakani. Katika safari yake ya...
12Jan 2016
Nipashe
Mwili ukifikishwa Dar es Salaam utakaa kwa siku moja ili wananchi watoe heshima za mwisho na kisha utasafirishwa kwenda Butiama kwa maziko."
Leticia ambaye ni mke wa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Madaraka Nyerere, alifariki juzi katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Lanham, Maryland nchini humo na mwili wake...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Jorge Tormo

12Jan 2016
Nipashe
“Itakuwa ajabu Balozi kususia sherehe za Mapinduzi wakati hazina uhusiano na mambo ya uchaguzi, hivyo na yeye atakuwa sehemu ya wapinga Mapinduzi ya Zanzibar.”
Msimamo huo ulitolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana. Alisema matatizo...

Rais Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye

12Jan 2016
Nipashe
Akizungumza baada ya kutembelewa na Rais, Sumaye alisema alishtushwa na kitendo hicho kwa kuwa hakuwa na taarifa ya ujio wake na wala hakutarajia. “Nimeshukuru sana Rais kuja kunitembelea, ni...

Katibu Mkuu wa CUF. Maalim Seif Shariff Hamad

12Jan 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hoja 10 za Maalim kupinga uchaguzi wa marudio
Aidha, Maalim Seif ameonyesha kutokuwa na imani na mazungumzo ya kutafuta mwafaka yanayoendelea visiwani humo. Badala yake, amemtaka Rais Dk. John Magufuli, kuingilia kati mzozo huo akisema...
11Jan 2016
Nipashe
Ilikuwa ni furaha kubwa wa Watanzania wote na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki baada ya kutangazwa kuwa ndiye mshindi wa tuzo hiyo. Itabaki kuwa siku ya kukumbukwa na Mbwana Ally Samatta katika...
11Jan 2016
Editor
Nipashe
Ingawa idadi ya timu shiriki imepungua kutoka 13 mwaka jana hadi nane, michuano hiyo mwaka huu imekuwa na msisimko na ushindani mkubwa. Imeshuhudiwa timu ndogo ya Jamhuri ya Pemba ikitoka sare ya...

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad

11Jan 2016
Nipashe
Aidha, Azaki imewataka viongozi wanaohusika na majadiliano hayo, watumie siku ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwatangazia wananchi hatma ya mgogoro huo. Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako

11Jan 2016
Nipashe
Prof. Ndalichako aliyabaini hayo katika utafiti alioufanya kwa mwaka mmoja na kuapa kuwa atashirikiana na wenzake kufanya marekebisho makubwa katika sekta hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalum...
11Jan 2016
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, alipokuwa akizungumza na Nipashe baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Mabasi yaendayo...

Meli ya Mv. Serengeti ikiwa imetia nanga baada ya kutokea hitilafu

11Jan 2016
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli, Winton Mwassa, alisema mpiga mbizi wa meli hiyo, Sami Kayengele, alisema tatizo lililosababisha meli hiyo...

Mkurugenzi Mkuu wa Rea, Dk. Lutengano Mwakahesya,

11Jan 2016
Nipashe
“Makandarasi watakaoshindwa kutekeleza agizo hilo, mikataba yao itasitishwa na watanyimwa fursa ya kushiriki kwenye zabuni za miradi mingine ya kusambaza umeme vijijini.”
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Rea, Dk. Lutengano Mwakahesya, alisema kumekuwa na malalamiko ya rushwa kwa watoa huduma mbalimbali za umeme, hivyo...

Rais Dk. John Magufuli

11Jan 2016
Nipashe
Aidha, Prof. Ndalichako amewatake wamiliki wa shule binafsi kujitathmini. Itakumbukwa kuwa serikali ilipoanzisha Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekonari mwaka 2000, lengo lilikuwa ni...

Dk Slaa

11Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Taarifa kutoka ndani ya Chadema jana, ilieleza kuwa viongozi wa juu wa Chadema akiwamo Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe, walikuwa wakiendelea na vikao vyao mjini Moshi, Kilimanjaro hadi jana...
08Jan 2016
Nipashe
Samatta aliondoka nchini juzi akisindikizwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kutoa mwanasoka kuingia hatua ya mwisho...
08Jan 2016
Nipashe
Kutokana na kuonyesha kiwango kizuri na kuipa timu yao taji la tatu la michuano hiyo, vijana hao waliamini na kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza. Miongoni mwao ni straika anayeibeba Simba...
08Jan 2016
Nipashe
Azam imeshindwa kutinga nusu-fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo baada ya mwaka jana kung'olewa robo-fainali kwa matuta dhidi ya Mtibwa...
Kipigo hicho kutoka kwa timu hiyo iliyoonekana 'kibonde' wa Kundi B la michuano hiyo mwaka huu, kiliifanya Azam FC imalize hatua ya makundi ikiwa mkiani na pointi mbili baada ya kutoka sare ya 1-1...

Pages