NDANI YA NIPASHE LEO

Edward Lowassa.

29Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ya Lowassa inaweza kutafsiriwa kwamba inawachonganisha wanachama hao wa CCM na Mwenyekiti wao, Dk. John Magufuli, ambaye Julai 23, mwaka huu alikabidhiwa mikoba ya uongozi wa chama...

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Kamishna Valentino Mlowola.

29Jul 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Rais Magufuli aliibua kashfa hiyo wakati akiwaapisha Naibu Makamishna wa Polisi (DCP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi (SACP) baada ya kuwapandisha vyeo na kula kiapo cha uadilifu wa...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

28Jul 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Akizungumza na walimu wa shule hiyo jana wakati wa ziara yake ya siku moja ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa ujenzi wa vyoo bora katika kaya na shule za msingi katika vijiji vya Sunuka, Mwakizega na...
28Jul 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Katika kesi ya msingi, Zelothe alikuwa akilalamikia uvunjifu wa kanuni za uchaguzi, ikiwamo matumizi ya lugha chafu na za udhalilishaji, ubaguzi na kufanyika kwa kampeni siku ya uchaguzi. Zelothe...
28Jul 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Kuna idadi ya watu 10 wanaoripotiwa wameshapoteza maisha ndani ya miezi mitatu. Ni idadi kubwa ikilinganishwa na uhalisia wa wakazi wa mji huo na pilika za shughuli zilizopo hapo, ambao ni njiani...
28Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jarida la Maisha linafafanua kuwa, kiwango hicho kimefuatiliwa katika jumla ya nchi 187, tangu mwaka 1914, ambayo ni miaka 102 sasa. Ripoti hiyo inaonyesha kwamba kasi kubwa ya kuongezeka kimo iko...
28Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kilimo ambacho ndicho kinachozalisha mazao hayo, kinakabiliwa na changamoto nyingi katika kupata mafanikio yake, huku kikiwa ndio mwajiri wa asilimia kubwa ya Watanzania. Baadhi ya changamoto...

Eric Aniva ‘Fisi.

28Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa nini inakuwa hivyo? Eti wanaandaliwa na kujulishwa ilivyo na vijana wakiume waliokodishwa na kupewa jina la ‘Fisi’wakati huo mabinti ndio wanaanza kupevuka. Na kwa mujibu wa utamaduni wa...

kinu cha nafaka.

28Jul 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Hayo yalielezwa jana Jijini Arusha na Msajili wa Hazina, Lawrance Mafuru alipokuwa akikabidhi umiliki wa kinu hicho cha kusaga nafaka kutoka kwa Shirika Hodhi la Mali za Serikali (CHC), kwenda kwa...

KIWANDA cha nguo cha 21st Century kikiungua moto hivi karibuni.

28Jul 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Kiwanda hicho kiliungua moto uliotokana na hitilafu ya umeme katika mashine moja iliyokuwa kwenye idara ya kusokota nyuzi. Akitoa taarifa mara baada ya kufanyika tathimini ya awali ya ajali hiyo,...
28Jul 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Kuanza kwa utekelezaji wa amri hiyo, kulitangazwa jana na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro (RTO), Zauda Mohamed ambaye aliwakilishwa na Mkaguzi wa Polisi, Peter Mizambwa. “...

Msemaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas.

28Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Agosti 6 mwaka huu wakati msimu mpya wa 2016/17 utaanza rasmi Agosti 20 kwa timu 14 kushuka dimbani kuanza kampeni za kusakaubingwa wa Bara....

Kiungo Haroun Chanongo (katikati) akiwa ameshika jezi ya Mtibwa Sugar baada ya kusaini mkataba na timu hiyo.

28Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Chanongo alisema kuwa alifuzu majaribio aliyofanya katika klabu hiyo lakini Stand United ilishindwa kufikia makubaliano ili ajiunge na mabingwa hao wa Kongo. "...
28Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Msemaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas alisema jana kuwa lengo la mazoezi hayo ni kuhakikisha wachezaji wanakuwa imara kuwakabili yosso wenzao wa Afrika Kusini ambao watakutana...

Ismail Aden Rage

28Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
*** Rais huyo wa zamani wa Simba amekuja na dawa ya kuisaidia Yanga iweze kufanya vizuri katika mechi zake mbili zilizobakia katika Kombe la Shirikisho Afrika....
Ismail Aden Rage ameishauri klabu hiyo kujiuliza pale ilipokosea ili mwakani waweze kufanya vizuri kwenye michuano hiyo. Kauli hizo za wadau zimetolewa jana kufuatia Yanga kukubali kichapo cha...
28Jul 2016
Mhariri
Nipashe
Utata na madudu yaliyomo katika mkataba huo vilibainishwa na ripoti ya kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, baada ya kuagizwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi...
28Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hata hivyo, kuna changamoto mbalimbali ambazo wasafiri wengi huwa hawazifahamu au wanazipuuzia baadaye huwasababishia matokeo yasiyotarajiwa. Miongoni mwa changamoto hizo ni ubovu wa miundo mbinu...

mji wa dodoma

28Jul 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Pia sekta binafsi nayo imesema imeanza mikakati ya kuhamia kwenye mji huo kwa kuwa inafanya shughuli zake kwa ukaribu na serikali. Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

watanzania wakipeperusha bendera Rome Italia.picha na maktaba

28Jul 2016
Romana Mallya
Nipashe
Sambamba na agizo hilo, pia serikali imewataka watu waliozinunua nembo kwa matumizi ya ofisi waziondoe kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.Aidha, serikali imesema utengenezaji holela wa vielelezo...

vifaru vya tanzania vikieleka kwenye uwanja wa vita vya Kagera

28Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, alipokuwa akizungumza na baadhi ya wastaafu wa JWTZ ofisini kwake kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda....

Pages