NDANI YA NIPASHE LEO

19Sep 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Vilevile, amewaahidi kufanya ukarabati wa meli ya Mv. Liemba, akibainisha kuwa tayari Sh. bilioni 10 zimeshatengwa pamoja na ukarabati wa meli ya Mv. Sangara iliyotengewa Sh. bilioni sita. Akiwa...
19Sep 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB), Almasi Kasongo, alisema Azam FC itatumia uwanja wa Azam Complex ikiwa mwenyeji dhidi ya Simba na Yanga kutokana na...
19Sep 2020
Hellen Mwango
Nipashe
Waliohukumiwa kunyongwa ni Msigwa Matonya, Mianda Mlewa, maarufu kama White, Paulo Mdonondo, Longishu Losingo na John Mayunga, maarufu kama ‘Ngosha’. Hukumu hiyo ilitolewa na mahakama hiyo mbele...
19Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Slaven Bilic anataka kumsajili nahodha huyo wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), mwenye umri wa miaka 27, ambaye yuko katika mazungumzo ya kujiunga na Fenerbahce. West Brom inahitaji...

wanawake katika kilimo cha hahindi, zao linaoonekana kuwa mwiba kijijini Kilole.

18Sep 2020
Jenifer Julius
Nipashe
Anasogea hatua kadhaa nyuma ili aone kikamilifu  na kujiridhisha kuwa ni  nusu ‘guta’ pekee sawa na gunia moja la mahindi aliloambulia? Hapo kijasho chembamba kinamtoka na macho...
18Sep 2020
Christina Mwakangale
Nipashe
Mshiriki wa semina hizo mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam, Kennedy Machery, alisema harakati za mwanamke katika kujiandaa na mwaka wa uchaguzi 2020, unaweza kuleta matokeo ya ushiriki mdogo...
18Sep 2020
Christina Mwakangale
Nipashe
Katika biashara au ulipo mradi wa maendeleo wowote wakazi au majirani wa maeneo husika wananufaika na ikibidi wanabadilika kwa kubuni mbinu mbalimbali za kujiingiza kwenye biashara zenye tija....
18Sep 2020
Mhariri
Nipashe
Upigaji kura utafanyika baada ya kukamilika kwa mchakato muhimu wa kampeni zinazoendelea kwa sasa katika maeneo yote ya nchi yetu, kwa ajili ya vyama vya siasa na wagombea wake kuwashawishi wananchi...

Ofisa Masoko na Uhusiano UTT AMIS, Rahim Mwanga, akiwapa wadau taarifa mbalimbali: PICHA UTT-AMIS

18Sep 2020
Frank Monyo
Nipashe
*Hulipa ada, ni bima, kujikimu
Wiki iliyopita tuliangalia historia, majukumu na faida za uwekezaji huo unaohusisha wananchi (wanachama) wa aina mbalimbali na namna wanavyoweza kunufaika na mifuko ikiwamo ya Wekeza, Umoja na Mfuko...
18Sep 2020
Romana Mallya
Nipashe
Wadau hao ni pamoja na Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Wizara ya Ardhi,...

Wachimbaji wadogo wa dhahabu wakiwa kazini mkoani Geita.
Maduka ya sonara kuchonga vito na kuuza bidhaa za dhahabu ni miongoni mwa uwekezaji mkubwa unaotarajiwa kufanyika mkoani Geita. PICHA: MTANDAO.

18Sep 2020
James Lanka
Nipashe
Ni maonyesho ya teknolojia na uwekezaji kwenye sekta ya dhahabu yanayoanza wiki hii Septemba 17 yakitarajiwa kuendelea hadi Septemba 27. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel, anasema maonyesho...
18Sep 2020
Augusta Njoji
Nipashe
Kazi hiyo ilianza Septemba 8 hadi juzi jioni ambapo Tume ilichambua na kutoa uamuzi wa rufani hizo kati 557 za ubunge na udiwani zilizowasilishwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Tume hiyo, Dk. Wilson...

Baadhi ya nyumba za eneo la Uwanja wa Fisi. PICHA: MTANDAO

18Sep 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mgombea urais wa SAU, Muttamwega Mgaywa, anatua katika eneo hilo na kutoa ahadi ya kuboresha mazingira na maisha kwa kuporomosha ghorofa na kujenga mji mpya wa...
18Sep 2020
Romana Mallya
Nipashe
Wateule hao ni Mhariri wa Habari wa Nipashe, Sanula Athanas na waandishi waandamizi Gwamaka Alipipi, Ashton Balaigwa na Marko Maduhu na Rahma Suleiman (Nipashe). Wengine ni James Kandoya, Crispin...
18Sep 2020
Happy Severine
Nipashe
Kadhalika amesema ndani ya kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa awamu ya tano, chama hicho kimewaletea wananchi maendeleo makubwa katika sekta zote hivyo na kuwataka waendelee kukiamini kwa...
18Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa mpango huo , unaotekelezwa na Kampuni ya mbolea ya YARA Tanzania mkoani Songwe juzi, Waziri Hasunga mbali ya kuvutiwa na kuipongeza kampuni hiyo kwa mpango huo,...
18Sep 2020
Rahma Suleiman
Nipashe
Maalim Seif alisema hayo juzi katika kijiji cha Konde, Micheweni kisiwani Pemba ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake za urais kupitia chama hicho. Alisema kazi ya serikali atakayoiongoza itakuwa...
18Sep 2020
Romana Mallya
Nipashe
Katika mada yake aliyoitoa jana kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Mtwara, Ofisa Mkuu Usimamizi wa Kodi TRA, Rose Mahendeka, alisema serikali katika mwaka wa fedha 2020/2021 imefanya marekebisho ya...
18Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tanzania ndiyo mwenyeji wa mashindano hayo yatakayofanyika Januari, mwakani. Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Steven Tikolo, alisema anafurahishwa na viwango ambavyo...
18Sep 2020
Nebart Msokwa
Nipashe
Watafiti wa kituo hicho waliyasema hayo juzi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwawezesha wakulima hasa vijana kuzalisha mbegu bora wao wenyewe ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa mbegu hasa wakati...

Pages