NDANI YA NIPASHE LEO

06Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Taarifa za uhakika zinasema kwa Manispaa za Temeke na Ilala pekee mpaka juzi zimeaandikisha watoto 53,555, kitu ambacho hakijawahi kutokea tangu Uhuru. Manispaa ya Temeke inaongoza kwa kuwa na...
06Feb 2016
Nipashe
Akizungumza hivi karibuni katika kipindi cha Planet Bongo kinachorishw na EATV, Shilole, alisema hakuna mafanikio yanayokuja bila jasho, lazima kila mtu kuwajibika kama anataka kuwa juu kimuziki....
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Ole Nasha aliyasema hayo jana bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Urambo, Margaret Sitta (CCM). Mbunge huyo alitaka kujua kama serikali ina mpango wa kupanga bei ya tumbaku ili...
06Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Timu hiyo ya Chamazi italianza duru la pili la ligi ya Bara msimu huu keshokutwa ikiwa na rekodi nzuri ya kutopoteza mechi hata moja katika duru la kwanza.
Timu hiyo ya Chamazi haikucheza mechi zote mbili zilizopita za duru la pili la ligi hiyo dhidi ya Tanzania Prisons na Stand United baada ya kuwa imealikwa Zambia kushiriki michuano maalum ya timu nne...
06Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Mgeni kwa muktadha huu, ilikuwa Yanga iliyosafiri kutoka Dar es Salaam kupimana ubavu na Coastal Union, maarufu kwa jina la ‘Wagosi wa Kaya.’ Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa...
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Tamko hilo lilitolewa jana Bungeni na Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma (CCM). Mbunge huyo alitaka kujua...
06Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Timu hiyo inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ilijihakikisha kushiriki Ligi Kuu msimu wa 2016/17 baada ya Jumapili kushinda 2-1 ugenini dhidi ya Lipuli FC mkoani Iringa. Ushindi huo...
06Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kutumikia adhabu ya kifungo cha nje na kufanya usafi katika maeneo ya kijamii, ikiwemo Hospitali ya Sinza Palestina ya jijini. Hatua hiyo imefikiwa baada ya jana jopo la mawakili wa utetezi...
06Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Hali hiyo upelekea kuchelewesha majalada ya mashtaka ya kesi mbalimbali, zikiwamo kubwa za ufisadi unaoligharimu taifa mabilioni ya fedha. Akizungumza na Nipashe mwishoni kwa wiki jijini Dar es...
06Feb 2016
Nipashe
Maguli, mchezaji wa zamani wa Ruvu Shooting na Simba, alitua Misri mwezi uliopita kwa idhini ya uongozi wa Stand, lakini Liewing hakuwa na taarifa za kuondoka kwa nyota huyo aliyetisha kwa mabao duru...
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Mwaijage alisema hayo jana bunge wakati akijibu swali la mbunge wa jimbo la Mtambile (CUF), Masoud Salim ambaye alitaka kujua ajira iliyokuwa inatarajiwa kuongezeka kutokana na ukuaji wa sekta ya...
05Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na TMA imeeleza kuwa kuna uwezekano wa kuwapo kwa upepo mkali unaozidi kasi ya kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 wakati wowote kuanzia jana. Maeneo...
05Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
**Timu hiyo ya Jangwani imeambulia pointi moja tu katika mechi zote mbili zilizopita za duru la pili la ligi ya Bara.
Timu hiyo ambayo iliuanza vibaya mzunguko wa pili wa ligi hiyo msimu huu kwa kufungwa 2-0 na kuandikisha kipigo cha kwanza dhidi ya Coastal Union tangu 2007, imeendelea kusuasua katika mbio za...
05Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kadhalika ameagiza kesi 26 za kukutwa na nyara za serikali yakiwamo meno na pembe za ndovu ambazo watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na vilelezo moja kwa moja, Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa Mashitaka...
05Feb 2016
Beatrice Philemon
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa ofa hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Ian Ferrao, alisema kuanzia jana wateja wote wa Vodacom wataweza kuongea bure...
05Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Hatua hiyo imekuja kutokana na Mbunge huyo kushindwa kuthibitisha tuhuma za ufisadi wa sh. bilioni 238 alizotoa dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ambaye sasa ni Waziri wa...
05Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Lowassa alieleza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa amewapa ruhusa Chadema kuzunguka nchi nzima na kufanya mikutano kwa lengo la kuwashukuru wananchi kwa kuwapigia kura katika uchaguzi mkuu uliopita....
05Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Katika maeneo tofauti nchini hususan katika majiji yakiwamo ya Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Tanga baadhi ya nyumba au majumba ujenzi wake katika miaka ya karibuni hauzingatii umuhimu wa kuchimba...
05Feb 2016
Nipashe
Wakati serikali ikitoa tamko hilo, mwili wa rubani huyo umesafirishwa kwenda Uingereza kwa ajili ya maziko. Gower anadaiwa kuuawa Januari 30, mwaka huu, kwa kwa kupigwa risasi akiwa katika helikopta...
05Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
**Ataja mambo makuu matatu yanayombakiza Rais nyumbani na kutuma wawakilishi mikutano ya kimataifa…Apotozea pia safari ya Angola…
Akizungumza katika mahojiano maalum na Nipashe mjini Dodoma jana Balozi Mahiga alisema bado kuna uwezekano Rais Magufuli akaendelea kutosafiri kwenda nje ya nchi, akiyataja mambo hayo matatu kuwa...

Pages