NDANI YA NIPASHE LEO

13Aug 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habara jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Kanda ya Pwani wa Chadema, Casimir Mabina, alisema kuwa bendera hizo zitaanza kupeperushwa kuanzia kesho kutwa kwa ajili ya...
13Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Tishio hilo halikuwa kwa klabu hiyo ya Jangwani peke yake, bali pia klabu ya Coastal Union ya Tanga, ambayo nayo ilishindwa kufanya hivyo. Kwa mujibu wa Fifa, klabu za Ligi Kuu, Daraja la Kwanza (...
13Aug 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Wanachama wa Yanga wanaambiwa waikodishe klabu yao kwa miaka 10. Kwa hakika kinachokodishwa si klabu bali ni wachezaji waliosajiliwa kuichezea klabu hiyo. Klabu itabakiwa na wanachama watakaokuwa...

Kada wa CCM ambaye ni mbunge wa zamani wa Jimbo la Kikwajuni, Parmuk Hogan Singh, akizungumza katika mahojiano maalumu mjini Zanzibar, juzi. (Picha: Mwinyi Sadallah).

13Aug 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Aidha, sababu ya kuwapo kwa changamoto hizo zinazotokana na ukiukwaji wa miiko na maadili ya uongozi ni matokeo ya utekelezaji usio sahihi wa mabadiliko ya kuwapata wagombea wa nafasi za uongozi...
13Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Kila mwenye nayo huigusa mara 150 kwa siku, *Ndoa zazidi kuwa shakani, vyuoni nako balaa
Kwa hapa Tanzania, mbali na ‘smartphone’ kuwa gumzo kutokana na namna zilivyosaidia kurahisisha mambo mengi ikiwamo upigaji picha za mnato na video na pia kuwezesha watu kufikia mtandao wa intaneti...

dk. juma mwaka.

13Aug 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Madai hayo yalitolewa jana mbele ya Jaji Ama-Isario Munisi anayesikiliza kesi hiyo katika Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam. Mbali na Dk. Mwaka, wengine ni Fadhili Kabujanja wa...
13Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa jana jijini Dare es Salaam wakati wa uzinduzi wa kongamano na maonyesho ya wanawake wahandisi lililoandaliwa na Bodi hiyo. Makamu huyo amesema kuwa lengo la kampeni hizo ni...
13Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
Aidha, Rais Magufuli amesema majengo ya wizara mbalimbali yaliyopo karibu na mwambao wa Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam yatauzwa kwa wawekezaji mbalimbali ili yageuzwe hoteli za kitalii na fedha...

Rais John Magufuli.

13Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
*Kina Sophia Simba, Bulembo, Sadifa sasa kikaangoni
Magufuli alisema ni aibu kuona chama kikubwa kama CCM kikitembeza bakuli kwa wafadhili na wafanyabiashara wakubwa kila unapokaribia uchaguzi wakati chenyewe kina vyanzo vingi vya kujiingizia mapato...
12Aug 2016
Frank Monyo
Nipashe
Hayo aliyasema jijini Dar es Salaam katika kufunga Mashindano ya wanasayansi chipukizi kutoka shule zaidi ya 300 za Sekondari, alisema serikali itaendelea kuimarisha uwekezaji katika masomo ya...
12Aug 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Leo tutazungumzia kanuni tatu muhimu za fedha, ambazo huenda hujawahi kufundishwa popote. Kwa kujifunza kanuni hizi na kuzifanyia kazi, maisha yako kifedha yanaweza kubadilika na utaanza kuona...
12Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa Tanzania, Sheria inayohusika zaidi na jambo hili ni Sheria ya Bima ya mwaka 2009 (Sheria namba 10). Maana ya Bima kwa lugha rahisi Bima ni mkataba wa biashara ambao mtu mmoja, ama kikundi...
12Aug 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Kipaji cha kuchekesha kilinifukuzisha ualimu, leo ‘nakula bata’ ya kujiajijri
“Huwa nawatia moyo vijana wenzangu, napenda kijana atembee kwenye ndoto yake. Mimi najivunia kwa kuwa natembea kwenye ndoto yangu. Lakini inahitaji uthubutu na kuachana na misemo ya wahenga eti...

hospitali ya mnazi mmoja zenji.

12Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni mkutano ulioendana na kongamano, ambalo katika kilele chake, lilitoa mfumo mzima wa ushirikiano kati ya mataifa yote, ukieleza sehemu muhimu za ushirikiano na mipango katika kipindi cha miaka...

Muandaaji wa mashindano ya kumtafuta mkali wa kuimba muziki wa Singeli ‘Star wa Singeli, Masoud Kandoro akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana.

12Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mbali na zawadi hiyo ya fedha, mshindi wa shindano hilo litakaloshirikisha wasanii chipukizi pia atapata nafasi ya kurekodi albamu. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, mratibu wa shindano hilo...

Mussa Hassan 'Mgosi'.

12Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Katika mechi hiyo Simba wataitumia pia kumuaga mshambuliaji wao Mussa Hassan 'Mgosi' ambaye ameteuliwa kuwa meneja,huku Abbas Ally akitangazwa kuwa mratibu wa timu hiyo. Akizungumza jana jijini,...

STRAIKA mpya Simba, Laudit Mavugo.

12Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mshambuliaji huyo raia wa Burundi, alifunga bao moja kati ya manne wakati Simba ilipoirarua AFC Leopards ya Kenya katika mechi ya siku ya Tamasha la Simba, maarufu kama 'Simba Day' Jumatatu iliyopita...
12Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yanga itacheza dhidi ya Bajeia ya Algeria katika mchezo wa 'lazima ushindi' kwenye Uwanja wa Taifa. Matokeo yoyote nje ya Yanga kupata pointi tatu, yatakuwa imehitimisha bila mafanikio safari ya...
12Aug 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, alisema kutokana na wimbi la ujangili linaloikabili taifa kwa sasa, ameona ni vyema akatengeneza mfumo unaoitwa ‘Benjamin Mkapa anti-poaching system’ ambao utaweza kusaidia...

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, Deogratius Ndejembi.

12Aug 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe
Ndejembi alitoa kauli hiyo jana alipotembelea soko hilo, kuangalia maendeleo ya soko na hali ya biashara pamoja na kuzungumza na wadau wanaotumia soko hilo. Alibainisha katika ziara zake za...

Pages