NDANI YA NIPASHE LEO

Naibu Waziri Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde

22Jun 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, alisema hayo jana bungeni mjini hapa, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mkuranga (...

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clemence Sanga

22Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Wawakilishi hao wa Tanzania, walianza na kichapo cha bao 1-0 ugenini nchini Algeria dhidi ya wenyeji wao Mo Bejaia Jumapili iliyopita. Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clemence Sanga amesema kuwa...

Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Allani Kiullah akikabidhi jezi kwa timu ya Mpako baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mnolo.

22Jun 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe
Akitoa maelezo mafupi kwa Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Allani Kiullah, Katibu wa Ligi ya Kombe la Ng’ombe, Jumanne Mkoma wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo, alisema wachezaji...

Mwenyekiti wa Sputanza, Mussa Kisocky

22Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Sputanza imesema uamuzi wa TFF una dhamira ya kuonyesha ubabe usio na tija katika mchezo wa soka. Akizungumza na kituo kimoja cha Redio Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Sputanza, Mussa Kisocky alisema...

Katibu wa TOC, Filbert Bayi

22Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika kwa wiki moja, Katibu wa TOC, Filbert Bayi, alisema ujuzi walioupata makocha hao unahitajika na wengine ili kuuendeleza mchezo huo. Kozi...
21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Cheka anashikilia mkanda wa mabara baada ya kumshinda kwa pointi bondia Geard Ajetovic katika pambano la uzito wa ‘Super Middle’ lililofanyika Februari 28, mwaka huu. Cheka alisema kwa sasa...

NIYONZIMA

21Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Yanga ilikubali kichapo cha goli 1-0 katika mechi hiyo ya kwanza Kundi B iliyochezeshwa na marefa kutoka Morocco. Niyonzima aliiambia Nipashe kwa njia ya simu kuwa, kikosi chao hakikuzidiwa katika...
21Jun 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Yanatokana na utafiti na utafiti ni chanzo kizuri cha uyakinifu cha kubaini lifaalo na lisilofaa. La ukweli na lisilo la ukweli kwa jamii. Wasomi wanapokuwa watafiti naamini wanajengea taifa lao...
21Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Hata hivyo najibu kupitia safu hii ili kuwanufaisha wengine pia badala ya kumjibu mtu mmoja mmoja. Ni vigumu kwangu kufanya hivyo. “Habari yako mzee wangu. Leo nina maneno ambayo nahitaji maana...
21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Polisi wana silaha nzito, wao wana mawe
Wengi wao walikuwa wamebeba mabango yaliyokuwa na ujumbe uliosomeka 'Down with Afrikaans' na ‘Elimu kwa Wabantu’ iende kuzimu’ . Baadhi yao, walikuwa wanaimba nyimbo za uhuru.Mkusanyiko huo wa...
21Jun 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Iliyowasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk Philip Mpango, Tanzania inalenga kuwa ya mapinduzi ya viwanda. Mpango anasema mapinduzi hayo yanayokusudia kukuza uchumi kwa kuangalia...
21Jun 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Ipo umbali wa mita 3,000 toka usawa wa bahari huku hali ya hewa ikiwa ni ya baridi Ili kufika hifadhini unapandisha milima na maporomoko ya maji, mabonde yenye mvuto wa kipekee na uwanda wa nyasi...

MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Wilson Nkhambaku

21Jun 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Alisema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima ya kuhamasisha matumizi ya mbegu bora za maharage kutoka kwa Wakala wa Mbegu za Kilimo wa Taifa (ASA), yaliyofanyika mwishoni mwa wiki....
21Jun 2016
Idda Mushi
Nipashe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar, Juma Ali Juma, alisema hayo kwenye uzinduzi wa mradi wa kuongeza tija na uzalishaji katika zao la mpunga, unaotekelezwa na...
21Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Aidha, serikali ya kijiji hicho pia imetangaza adhabu nyingine ya viboko 10, kwa watu watakaobainika kutumia vibaya fedha za kusaidia kaya masikini zinazotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf...

Prof. Ibrahimu Lipumba

21Jun 2016
Rose Jacob
Nipashe
Akizungumza na Nipashe katika ofisi za wilaya za chama hicho jana, Katibu wa Wilaya wa CUF, Rehema Mwendwa, alisema Prof. Lipumba, hakuondoka katika chama kwa ugomvi bali kwa sababu za kupinga...
21Jun 2016
Mhariri
Nipashe
Tasaf ilianza kutekeleza mpango wa kuzinusuru kaya maskini katika awamu ya tatu mwaka 2012, lengo likiwa ni kupunguza ukali wa maisha kwa kuziwezesha kaya maskini sana ambazo zimeingia kwenye mpango...

watoto wa mitaani

21Jun 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Hayo yalisemwa na mtoto, Binetou Isaya, alipokuwa akizungumza na wazazi na walezi kwenye ibada ya siku ya watoto inayoadhimishwa kila mwaka na kanisa la Tanzania Assemblies of God, iliyofanyika...

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Hamis Mwinyimvua (katikati), akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Mafunzo wa Jeshi la Kujenga Taifa, Kanali Chacha Wanyancha (kulia)

21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya wiki mbili kwa wakufunzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa ajili ya kuwafundisha vijana wanaojiunga na jeshi hilo, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk....

Mwenge wa Uhuru

21Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenge wa Uhuru ulikimbizwa mkoani hapa wiki iliyopita na ukiwa katika Halmashauri ya Mji wa Njombe, ulizindua miradi mbalimbali pamoja na kukabidhi vyandarua kwa watoto wanaosoma katika shule...

Pages