NDANI YA NIPASHE LEO

katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

08Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ameanza rasmi azma yake ya kutoshiriki mikusanyiko ya kitaifa, ikiwa hatua ya kutekeleza msimamo wa chama chake wa kutoitambua Serikali ya Mapinduzi ya...
08Apr 2016
Nyendo Mohamed
Nipashe
Kuundwa kwa wakala huo, uko chini ya mwongozo wa Sera ya Nishati ya Mwaka 2003, inayoweka malengo ya nishati ya taifa kuhakikisha upatikanaji vifaa vya nishati katika hali ya kuaminika na unafuu...
08Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Habari hiyo iliyoandikwa kwa kina, pia ilieleza kwamba baadhi ya magari hayo hupata ajali hata mara tatu ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na kwamba hali hiyo imezifanya kampuni nyingi za bima...

Hans van der Pluijm.

08Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
***Kesho wanashuka dimbani wakiwa fiti kila idara kuwavaa waarabu Al Ahly...
Yanga itakuwa mwenyeji wa miamba hiyo ya soka Misri na Afrika katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Soka Afrika. Akizungumza na gazeti hili jana, Pluijm alisema amemaliza kazi kubwa kuwaanda wachezaji...

kiwanda cha urafiki.

08Apr 2016
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye warsha inayozungumzia maendeleo ya...
08Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Washtakiwa hao walisomewa mashitaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hellen Riwa. Upande wa Jamhuri ulidai kuwa kati ya Oktoba 5 na 23, mwaka jana, katika Bandari ya Dar es Salaam wilayani Ilala,...

Thomas Ngawaiya (kulia) akiwa na Agustino Mrema.

07Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Ngawaiya, aliyekuwa mbunge mwaka 2000 hadi 2005 kupitia TLP, alisimea shtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Hellen Riwa, kwa kutumia makandarasi hao kujenga hoteli yenye thamani ya Sh. milioni 500,...

Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi.

07Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi, alisema kiu ya wananchi si kutumbuana majipu kama inavyofanyika sasa bali ni kuona mfumo wa maisha yao unabadilika na kuwa bora Zaidi kulinganisha na sasa...
07Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Awali, hukumu ya kesi hiyo ya matumizi mabaya ya madaraka, ilipangwa kutolewa jana imepigwa kalenda kutokana na Hakimu Mkazi Mkuu Kwey Rusema, kuwa na udhuru. Akiahirisha kesi hiyo, Hakimu Mkazi...

Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

07Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mkutano huo unaofanyika kila mwaka umezifanyia tathmini baadhi ya bidhaa katika maabara ikiwamo sukari, maji, chumvi na unga wa ngano na mahindi ili kuangalia viwango vya ubora wake. Mkurugenzi wa...

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge.

07Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza wakati akizundua Bodi ya Maji ya Taifa yenye wajumbe 13 kutoka sekta mbalimbali, jijini Dar es Salaam jana, Lwenge alisema visima vingi vilivyopo havina ubora kutokana na kuchimbwa bila...

wanakijiji wakiwa kwenye kikao cha kijiji.

07Apr 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Wananchi hao wameeleza baadhi ya mambo yanayowakera kuwa ni, uongozi huo kuuza mradi wa maji kwa kampuni ya Wachina wanaotengeneza barabara ya Iringa Mbeya kijijini hapo, mradi ambao ulikuwa...

kiwanda

07Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam, baadhi ya wanazuoni, walisema serikali ya awamu ya tano, inahitaji kujikita zaidi katika ukusanyaji kodi na kuwekeza zaidi katika viwanda. Aidha...
07Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha na Mipango, mwaka 2015, Tanzania ilikadiriwa kuwa na idadi ya watu milioni 47.4. Hii ina maana kwamba katika deni la taifa la sasa la Sh. trilioni 43.5, kila Mtanzania...

Dk. Philip Mpango.

07Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe
Katika makadirio yake, ilipanga kukusanya Sh. trilioni 9.3 kwa kipindi hicho. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akiwasilisha mapendekezo ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa...

Said Makula.

07Apr 2016
Nipashe
Makula alitumia muda wa saa 2:12:01, badala ya ule wa awali wa saa 2:13:24. Makula ambaye tayari amefuzu kushiriki michuano ya michezo ya Olimpiki kwa sasa yuko kambini mkoani Kilimanjaro chini ya...

Mnara maalum ambao unautambulisha mkoa wa Lindi.

07Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Hassan Mpako, wakati akifungua mkutano wa mwaka wa Umoja Amcos. Mpako alivitaja vyanzo vya mapato hayo kuwa ni pamoja ukusanyaji wa tani 2,000 za...

ramani ya tanzania.

07Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kati ya fedha hizo, mapato ya ndani ni Sh. trilioni 17.79 ambazo kati ya hizo, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajiwa kukusanya Sh. trilioni 15.1 na mapato yasiyo ya kodi yakiwa Sh. trilioni 2....
07Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mimba si ya kawaida, iwapo imepatikana katika mazingira yasiyo kawaida, kama vile umri mdogo au haikupangwa. Hapo ndipo inapoelezwa ‘mimba isiyotarajiwa.’ Ili kukabiliana nayo, kuna njia nyingi...

Lucas Mwenda, enzi za uhai wake.

07Apr 2016
George Tarimo
Nipashe
“Marehemu aliwahi kugombea ubunge Jimbo la Kalenga kwa vipindi viwili lakini aliishia kwenye kura za maoni, kifo chake ni pigo kubwa kwa wana-Kalenga kwa kuwa waliamini siku moja atakuja kuwaongoza kwenye nyadhifa tofauti za uongozi ikiwamo ubunge.”
Ajali hiyo ilitokea juzi jioni, saa 11:45, kwenye eneo la Tanangozi katika barabara kuu ya Iringa-Mbeya, wakati akitokea wilayani Mufindi. Akizungumza msiba huo, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya...

Pages