NDANI YA NIPASHE LEO

Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiah Olouch.

25Feb 2016
Nipashe
Hakuzingatia sheria kufuta mfumo wa wastani wa alama (GPA) kwenda madaraja (division). Kadhalika, amesema waziri alitakiwa kufanya mabadiliko ya kanuni na kuzitangaza katika Gazeti la Serikali (GN...

Kamanda wa Polisi Pwani, Jafar Mohamed.

25Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"Niwaombe wajumbe wa mashina wawe makini na watu wanaoingia na kutoka katika maeneo yao ili kuwabaini wahalifu hao, kwani kama wangekuwa wenyeji wangekuwa wanaficha sura zao, ni vyema wanapomtilia shaka mtu watupe taarifa mapema ili hatua za haraka zichuk
Akizungumza na Nipashe mjini hapa jana, Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo, Mohamed Balaye, alisema siku za hivi karibuni vimejitokeza vitendo vingi vya uhalifu, wananchi wakivamiwa kwenye nyumba zao...

mitungi ya Oryx Energies.

25Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumzia mafanikio hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkazi wa kampuni hiyo, Nick McAleer, alisema hatua hiyo itatoa fursa kwa kampuni hiyo kuhakiki ubora wa...

Mandhari ya jiji la Johannesburg, inavyoonekana usiku. (PICHA NA MTANDAO)

25Feb 2016
Nipashe
Mtu akisafiri kwa anga iwe kwa helikopta au aina nyingine ya ndege, anapoanza ama kupaa au kutua, anaona mandhari ya eneo husika jinsi ilivyo, kama imepangwa au iko kwa muundo wa ‘bora liende.’...

Kaimu wa shughuli za benki binafsi, Boma Raballa.

25Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uzinduzi wa promosheni hiyo ilifanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Kaimu wa shughuli za benki binafsi, Boma Raballa, alisema promosheni...
25Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Ikianza kwa mara ya kwanza na nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' aliyekuwa nje ya uwanja tangu Novemba mwaka jana, timu hiyo ya Jangwani ilitanguliwa kufungwa goli na timu hiyo ya Jeshi la Kujenga...

Spika Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Pandu Ameir Kificho.

25Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Uchunguzi wa Nipashe visiwani humu umebaini kuwa, harakati za chini kwa chini zimeanza kufanyika kuhusiana na nafasi hiyo kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa marudio Zanzibar Machi 20, mwaka huu...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan,akifungua mpango wa kutoa mafunzo ya uongozi kwa wanawake.

25Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akifungua mpango wa kutoa mafunzo ya uongozi kwa wanawake, namna ya kufanya kazi, kuongoza nafasi za ukurugenzi na bodi mbalimbali ujulikanao kama ‘...

Rais John Magufuli.

25Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wizara ya Fedha na Mipango imeieleza Nipashe jana kuwa, mfumo wa kupanga na kutumia kinachokusanywa na Mamlaka ya Mapato (TRA), ndiyo ulioamuliwa kutumiwa na serikali ya awamu ya tano....

Balozi mstaafu Ali Abeid Karume.

24Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Wakati maandalizi hayo yakiendelea kuelekea katika uchaguzi huo, hakuna matumaini ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kama ilivyokuwa serikali inayomaliza muda wake sasa. Kwa mujibu...

Kocha Hans van der Pluijm.

24Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Pluijm alisema urahisi wa pambano hilo la Jumamosi wiki hii, hautokana na ushindi waliopata kwenye mchezo wa kwanza, bali kutokana na kuwasoma wapinzani wao. Katika mchezo wa kwanza, Yanga...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Katibu Mkuu Ombeni Sefue.

24Feb 2016
George Tarimo
Nipashe
Majaliwa aliyasema hayo juzi baada ya kutembelea nyumba mbili ambazo wamehifadhiwa waathirika hao, katika kijiji cha Kisanga na baadaye kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo....

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dra es Salaam, Simon Sirro.

24Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Wiki iliyopita, jumuiya hiyo ilipanga kufanya maandamano ya amani ya kuunga mkono maazimio ya kikao cha Baraza Kuu Taifa, kutoshiriki marudio ya uchaguzi wa Zanzibar uliopangwa kufanyika Machi 20,...
24Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Hatua hiyo haijawahi kuchukuliwa nchini, hivyo kuwashangaza baadhi ya wadau na kuhisi kuwa pengine kuna maamuzi makubwa yatafanywa na serikali. Inawezekana wadau hao wakiwamo wazazi, umma na...

Azam FC.

24Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Chamazi imeshinda mechi sita kati ya saba ilizocheza nje ya Dar es Salaam msimu huu, lakini inakutana na Prisons ambayo ina rekodi nzuri dhidi yao.
Mechi hiyo ya kiporo ya raundi ya 16, inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na historia ya timu hizo pamoja na ubora wao. Rekodi za Nipashe zinaonyesha kuwa timu hizo zimekutana mara 11...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Christopher Fuime.

24Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana, wakati majambazi hao walipovamia eneo hilo wakiwa katika pikipiki mbili na gari mbili, huku wakiwataka wateja na wauzaji waliokuwa katika maduka hayo...

Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii katika serikali ya awamu ya nne, Ezekiel Maige.

24Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Katika kesi hiyo, Maige anadaiwa kulipiwa nauli ya safari ya nje na mamlaka hiyo kwa idhini ya Murunya, ambaye sasa ni Mbunge wa Afrika Mashariki. Shahidi wa kwanza katika kesi hiyo, Sezari...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba.

24Feb 2016
John Ngunge
Nipashe
Walitoa tishio hilo kupitia kwa wakili wao Kampuni ya Uwakili ya Nuclear Law Chambers katika barua yao ya Februari 19, mwaka huu, yenye Kumbukumbu namba NLC/GC/VOL.1/8 kwenda kwa uongozi wa muda wa...
24Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Maneno hayo ama ahadi hizo ni pamoja na kutatua kero za maji nchi nzima ili suala hilo libaki historia, kuijenga viwanda vingi nchi nzima ili kuifanya Tanzania iwe nchi ya viwanda na kutatua...

Balozi mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) hapa nchini, Jean Mutamba.

24Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
“Tutakaa kwa pamoja na Rais kuangalia ni njia gani za kuwasaidia wafanyabiashara hawa ili kuwaondolea vikwazo katika biashara.”, Wakati mwingine, kontena linaweza kufika mapema, lakini unatakiwa kulipia gharama za kuchelewesha. Bado tuna tatizo, wanatupatia muda mchache wa kurudisha kontena bila kujali vikwazo tunavyokutana navyo barabarani.
Alitoa ahadi hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati wa halfa ya kumkabirisha. Hafla hiyo iliyoambatana na maombi ya kumuombea balozi huyo afanye kazi zake kwa umakini, pia ilihudhuriwa na wadau...

Pages