NDANI YA NIPASHE LEO

13Apr 2017
Mohab Dominick
Nipashe
Tukio hilo la aina yake, lilitokea Jumapili iliyopita (Aprili 9), saa 11 jioni wakati mchungaji Felix Gwamiye, akiongoza maombi huku waumini wakiwa wamefumba macho na mtuhumiwa huyo alijifanya...
13Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza hayo mbele ya waandishi wa habari jana, Mkuu wa taasisi hiyo mkoani hapa, Holle Makungu, alisema kwa kipindi cha Julai 2016 hadi Machi 2017, ofisi ya Takukuru ilifungua kesi mpya 20 za...
13Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Salum alisema kuwa wachezaji wake wanaendelea vizuri na mazoezi huku akiwahakikishia Watanzania watarejea na medali za ubingwa wa dunia kwa walemavu. "Wachezaji wote wako vizuri, programu ya...

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba kutoka Burundi, Laudit Mavugo.

13Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mavugo, alisema kuwa kila anapoingia uwanjani anamkumbuka bibi yake ambaye anamtakia kheri ya kushinda na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mavugo alisema...
13Apr 2017
Mhariri
Nipashe
Katika kuliweka hilo wazi, Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi, amesema uchumi wa nchi yoyote duniani hujengwa na wazawa, hivyo serikali inapaswa kuwaamini...
13Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Swali linalojitokeza sasa ni jinsi gani mgonjwa utajua daktari wake ametoa tiba iliyo sahihi kwake? Kwa mujibu wa utafiti mpya, zaidi ya asilimia 20 ya wagonjwa walioenda kutibiwa na daktari...
13Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Nilifananisha vibaya mauaji ya halaiki ya Wayahudi. Ilikuwa makosa makubwa kufanya hivyo na kwa hiyo ninaomba msamaha,” alisema. Wakosoaji wake wanasema kuwa, gesi ya sumu ilitumika kuwaua...
13Apr 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Wataalamu wanasema kuwa sababu mojawapo ni mfumo wa mabadiliko ya maisha, huku suala la uzazi sasa likiwa na umuhimu mkubwa. Lingine linalohesabiwa kuwa kasoro, ni tofauti kati ya uzazi wa mmoja...
13Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni dhana yenye mtazamo wenye kaulimbiu ya mwaka huu kitaifa katika kuadhimisha Siku ya Wanawake kwamba “Tanzania ya Viwanda, Mwanamke ni chachu ya Maendeleo.” Ni jambo lisilopingika katika jamii...

RAIS John Magufuli.

13Apr 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam juzi, ilieleza kuwa fedha hizo zilizookolewa zimeongezeka kwa kiasi kikubwa kulinganisha na Sh. bilioni saba...
13Apr 2017
Stephen Chidiye
Nipashe
Tarifa za tukio hilo zinaeleza kuwa pamoja na watu hao kumshambulia kwa kipigo, pia walimdhalilisha kwa kumuingilia kimwili kwa nguvu. Askari huyo (jina linahifadhiwa) alikumbwa na mkasa huo...
13Apr 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya tisa ya Hali ya Uchumi wa Tanzania iliyowasilishwa jana na Benki ya Dunia (WB), yenye kichwa cha habari ‘Fedha iliyo karibu’ ikiwa na mada mahususi ya upatikanaji wa...
13Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Jafo alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang’ata (CCM), aliyetaka kujua serikali ina mpango gani wa kuwalipa posho viongozi hao kama inavyofanya kwa...
13Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akiuliza swali hilo bungeni jana kwa niaba ya Mbunge huyo, Mbunge wa Kilolo (CCM), Venance Mwamoto, alisema sheria hiyo imekuwa ya muda mrefu, hivyo imepitwa na wakati. Waziri wa Katiba na Sheria...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

13Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hilo ilitolewa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Fatma Toufiq. Toufiq alitaka kujua...

watoto wa mtaani dar es salaam.

13Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, maofisa ustawi wa jamii wameagizwa kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wazazi na walezi ambao hawatimizi majukumu yao ya kuwatunza watoto wao. Hayo yalielezwa jana bungeni...

kikosi cha simba.

13Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara namba 194, iliyofanyika Aprili 2, mwaka huu kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Simba ilikubali kichapo cha mabao 2-1. Taarifa kutoka kwa kiongozi mmoja...

Obrey Chirwa.

13Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Wamo pia Busungu, Mkata Umeme, wanaokwenda Algeria hawa hapa...
Habari zilizopatikana jijini jana zimedai kuwa Chirwa amegoma kwenda Algeria kutokana na kushinikiza kulipwa madai ya mishahara ya miezi mitatu anayodai na si mgonjwa kama uongozi wa klabu hiyo...
13Apr 2017
Romana Mallya
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Suzan Kaganda, alisema jana kuwa uchunguzi wa mwili huo unaendelea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya watoto wa...
13Apr 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mpango huo ambao kwa Kimombo ulijulikana kama Big Results Now (BRN), ulichagua sekta sita kwa minajili ya kufanya ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa miradi ya kitaifa katika dhana nzima ya...

Pages