NDANI YA NIPASHE LEO

21Jan 2017
Romana Mallya
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, Waziri Ummy amewataka viongozi hao kufuata utaratibu wa kuwafikisha katika Baraza la Wakunga kwa hatua zaidi. Ummy alisema hayo kutokana na tukio la hivi karibuni...
21Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kabla ya kuapa, Trump na mkewe, Milania, waliwasili katika Ikulu ya White House ambapo walipanda ngazi kabla ya Rais mpya huyo kumpiga busu mashavu yote mawili mke wa Barak Obama anayeondoka...

Thomas Ulimwengu.

21Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Kujiunga na timu hiyo kunafanya sasa Tanzania kuwa na nyota watatu wanaocheza soka barani Ulaya wakiwamo, Mbwana Samatta anayecheza Ubelgiji na Farid Mussa anayecheza nchini Ufaransa. Akizungumza...
21Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Simba yenyewe kuanza kampeni ya kutwaa kombe hilo kesho itakapocheza na Polisi ya...
Wakati Yanga inaanzia hatua hiyo ya 32 Bora pamoja na timu nyingine zote za Ligi Kuu kwa mujibu wa kanuni, Ashanti yenyewe imefika hapa baada ya kuitoa timu ngumu ya daraja la kwanza, Friends Rangers...
21Jan 2017
Mtapa Wilson
Nipashe
Akizungumza kwenye hafla ya kumpongeza mshindi wa kwanza wa mbio za kimataifa za Mumbai Marathon, mwanariadha Alphonce Simba, Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, alisema kuwa...
21Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ngasa, ambaye alijiunga na Mbeya City kwenye dirisha dogo la usajili lililofungwa Desemba 15, alisema usajili uliofanywa na timu hiyo umesaidia kukiimarisha kikosi hicho. "Nina uhakika tunaweza...
21Jan 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Sheria kwa mujibu wa mwandishi wa habari na mwanasheria James Marenga, inatungwa na watawala ili kusaidia kulinda maslahi yao lakini pia inahitajika ili kujibu mahitaji ya kijamii au kuziba pengo au...
21Jan 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Atakayedhani navamia ulaji wa wajanja anionyeshe cheti cha utabiri. Siku hizi kila kitu ni akili kichwani. Hamjaona mitume, wachunaji sorry wachungaji, hata manabii wa kujipachika wakiukata wakati...
21Jan 2017
J.M. Kibasso
Nipashe
Jijini Dar es Salaam uchaguzi mdogo wa udiwani unafanyika katika Kata ya Mtoni-Kijichi Temeke, kupata kiongozi atakayejaza nafasi ya Charles Anderson, aliyefariki dunia. Kinachongojewa sasa na wadau...
21Jan 2017
Vivian Machange
Nipashe
Mambo kama mito mingi, mikubwa, midogo, mashuka myeupe, bedi kava jeupe hukifanya kitanda kukuita hata kabla ya muda wa kupumzika hii nayo ni burudani, jipange kujitengenezea malazi mujarabu....
21Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Renatus Rutatinisibwa, alitoa hukumu hiyo Januari 17, mwaka huu baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na...
21Jan 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Jiwe hilo lilimwangukia Kaundime Abrahaman (10) mapema wiki hii kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku katika vijiji vya Makasuku na Chibumagwa katika tarafa ya...
21Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Mpango mkakati huo, ulijikita katika kuboresha na kujenga barabara, zikiwamo za magari ya mwendo kasi ujenzi wa barabara za juu (flyover) na daraja la Mwalimu Nyerere. Akizungumza jana katika...

RAIS wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.

21Jan 2017
Romana Mallya
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa, Rais huyo ambaye ataambatana na mke wake...
21Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Masheikh ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini, Askofu William Mwamalanga, alisema juzi kuwa wamechukua uamuzi huo, baada ya kubaini...
21Jan 2017
Anceth Nyahore
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Mahakama ya Wilaya ya Maswa, baada ya kuridhika na bila shaka na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama...
21Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alisema hayo juzi jioni alipokuwa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Makambako, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani...
21Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Ni ule wa kupiga marufuku uuzaji wa silaha za jadi hadharani. Maaskofu, masheikh sasa wataka liwe agizo kwa nchi nzima
Silaha hizo ni pamoja na mishale, manati,mapanga upinde, visu na sime, katazo ambalo hivi karibuni limezua mjadala. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Askofu Wiliam Mwamalanga, akizungumza na Nipashe,...
21Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Kwa bahati nzuri juhudi zao za kusaka na kushawishi makampuni na mashirika binafsi zimeanza kuleta mafanikio kwa kupata wadhamini wambao wamesaidia kuanzishwa kwa mashindano mbalimbali. Kwa kiasi...
21Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Vilevile Simba na Yanga ndizo timu zinazoingiza fedha nyingi zaidi viwanjani na kuipa TFF jeuri. Ndo maana itokeapo mvutano wa Simba na Yanga kugombea wachezaji au kukatiana rufaa huchukua muda mrefu...

Pages