NDANI YA NIPASHE LEO

10Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Nipashe jijini, Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Robert Boaz, alisema wananchi wanakosa mwamko wa kutoa taarifa za uhalifu kwa...
10Jan 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe
Walimu hao wamesema shule hiyo ilikuwa ikikabiliwa na changamoto nyingi za uendeshaji. Akihitimisha ziara ya siku mbili mkoni humu Januari 2, Rais Magufuli alitangaza kuitafisha shule hiyo...

Meja Jenerali Joseph Kapwani.

10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Meja Jenerali Joseph Kapwani (mstaafu), wakati wa hafla ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017. Hafla hiyo iliandaliwa na baadhi ya wastaafu wa Makao Makuu ya...

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

10Jan 2017
Happy Severine
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, alitoa ahadi hiyo jana wakati wa mkutano wake na wananchi wa Jimbo la Meatu. Mtaka alisema amechoshwa kusikia na kuona migogoro ya ardhi inayojitokeza...
10Jan 2017
Joctan Ngelly
Nipashe
Washtakiwa hao walifikishwa mbele ya jana Hakimu wa mahakama hiyo, Elia Baha, baada ya upande wa mashtaka kumaliza kutoa ushahidi wao wa mashahidi saba na vielelezo. Hakimu Baha alisema washtakiwa...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Jennista Mhagama, amesema serikali ina imani kubwa na Bodi mpya ya Baraza na hivyo kulitaka kutekeleza majukumu...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alitoa kauli hiyo jana alipokutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, kwa niaba ya Rais Dk. John Magufuli, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa chama hicho, Hassan Mpako, aliyasema hayo jana alipozungumza na gazeti hili kwa njia ya simu. Mpako alifafanua kuwa ugawaji wa mbegu hizo utaanza Januari 20, mwaka huu na kila kata...
10Jan 2017
John Ngunge
Nipashe
Msako huo ulifanyika kufuatia agizo la Msajili wa Viuatilifu Tanzania, Dk.  Elikana Lekei, aliyeagiza wakaguzi kote nchini kufanya ukaguzi katika maduka yote ya viuatilifu na kampuni za ufukizaji na...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Simba iliilaza Taifa Jang’ombe 2-0 juzi katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la Mapinduzi, mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Mavugo akifunga mabao yote moja kila kipindi. Na baada ya...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
City ilianza ziara yake Jumamosi kwa kucheza na Magogo FC na kushinda kwa bao 1-0, kabla ya juzi kuitandika Stand FC mabao 6-2 yaliyofungwa na Raphael Daud (mawili), Omary Ramadhani (matatu) na...
10Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Vikosi hadharani, historia zinapokutana Zanzibar yaibeba timu ya...
Mchezo huo wa wapinzani wa jadi katika soka la Tanzania unatarajiwa kuanza saa 2:15 usiku na utakuwa wa kwanza kuzikutanisha timu hizo visiwani humo baada ya miaka sita. Mara ya mwisho Simba na...
10Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Lwandamina alisema wachezaji wake wanne tegemeo wote ni majeruhi na hawawezi kucheza leo. Lwandamina aliwataja wachezaji majeruhi ni Wazambia wenzake, viungo Justin...
10Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Suala hilo kwa sasa limekuwa endelevu hususan kwa wanafunzi shuleni, wamekuwa wakitoa mimba, ili waweze kuendelea na masomo, licha ya kuwa ni kati ya vitu vinavyopingwa vikali na taasisi tofauti...
10Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Watuhumiwa hao waliuawa baada ya kutuhumiwa kuvamia maeneo ya wachimbaji wadogo wa dhahabu kijijini hapo, mkoani Mbeya. Kwa mujibu wa Mtendaji wa Kijiji cha Ifumbo, Emily Rajabu, waliouawa ni...
10Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kabla ya kufika katika shule hiyo ambayo alisoma kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, Rais Magufuli alitembea na wasaidizi wake kwenda benki ya CRDB iliyopo umbali wa mita takribani 100 kutoka...
10Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Nchini Tanzania, Kiswahili ndio lugha ya taifa na sasa yazungumzwa takriban nchi zote duniani. Pamoja na ukweli huu, twashindwa kutumia maneno sahihi (-siokuwa na makosa) ya Kiswahili! Ukisoma kwa...
10Jan 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Kama tunaendelea kufundisha watoto kwa tabia ya kuwakaririsha na kumtegemea mwalimu bila kuwajengea uwezo wa kujitegemea, hawataweza hata kujisomea gazeti. Kingine katika elimu, ambacho ningetaka...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwaka 2015 Serikali kupitia Mpango wa Kuinua Ubora wa Elimu Tanzania ( Education Quality Improvement Programme –Tanzania -EQUIP-T ), ilianzisha Kamati za Umoja wa Walimu na Wazazi ( UWW ) katika...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ujasiri wake wa kupambana na kuvuka vikwazo vya aina zote vilivyojitokeza katika safari yake hiyo, hatimaye umemfanya Besa kuwa rubani wa kwanza mwanamke, mwenye umri mdogo sana nchini Zambia na kuwa...

Pages