NDANI YA NIPASHE LEO

George Lwandamina.

09Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yanga ilifungwa 4-0 na Azam juzi katika mchezo wa mwisho wa Kundi B wa Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kipigo hicho kimewashitua wapenzi na wanachama wa Yanga na bahati mbaya...
09Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Wadai timu zote zimejiandaa ila mashabiki Msimbazi wasiwe na hofu kwa kuwa...
Kukutana kwa timu hizo kunatokana na Simba kushinda 2-0 dhidi ya Jang’ombe Boys jana jioni katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan. Matokeo hayo yanaifanya Simba...

Maalim Hassan Yahya Hussen.

09Jan 2017
Frank Monyo
Nipashe
Aidha amewatoa wasiwasi waandishi wa habari ambao walitabiriwa kifo ifikapo Machi mwaka huu na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo Jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo kwa sababu...
09Jan 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Lowassa aliyasema hayo alipohutubia uzinduzi wa kampeni za ubunge Jimbo la Dimani, katika viwanja vya Fuoni visiwani humu jana, akiwa na viongozi kadhaa waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwamo...
08Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
*Mwenyewe akiri ni mtihani mzito, lakini kamwe hatawaangusha Rais, Watanzania
Mwishoni mwa wiki iliyopita, Dk. Mwinuka aliteuliwa na Rais John Magufuli kuiongoza Tanesco, ikiwa ni muda mfupi baada ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu kutangaza kuondolewa kwa mtangulizi...

Seleman Jafo.

07Jan 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Jafo aliyasema hayo katika mkutano na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, baada ya kufanya ukaguzi katika Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga na kukuta changamoto kadhaa. Miongoni mwa...
07Jan 2017
Anceth Nyahore
Nipashe
Akitoa hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Keneth Mtembei, alisema katika kesi hiyo, upande wa Jamhuri uliwasilisha hati ya mashtaka inayojichanganya dhidi ya nani aliyepaswa...
07Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Shauri hilo lilikuja jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Victoria Nongwa. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Christopher Msigwa, anayewakilisha upande wa Jamhuri, alidai...

aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ephraim Mgawe.

07Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Vigogo hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ephraim Mgawe na aliyekuwa Naibu wake, Hamad Koshuma ambao kwa pamoja wanakabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka kwa kutoa zabuni kwa Kampuni...
07Jan 2017
John Ngunge
Nipashe
Akizungumza katika kikao kazi cha mkoa kinachojadili hali ya afya ya mkoa, Dk. Mokiti alisema juhudi zinahitajika kuhakikisha huduma za afya kwa mama na mtoto zinapatikana kwa urahisi ili kupunguza...
07Jan 2017
Woinde Shizza
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, alisema hayo juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari. Alisema tozo hizo ziliongezeka katika kipindi cha mwaka jana.Mwaka juzi zilikusanya...

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.

07Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Dk. Shein alieleza hayo alipokua akizindua kiwanda cha maziwa kinachomilikiwa na Kampuni ya Bakhressa Group Limited, katika eneo la Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja na kuhudhuriwa na Mwenyekiti...
07Jan 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Hatua hiyo imekuja wakati wilaya hiyo ikikabiliwa na uhaba wa mazao ya nafaka kinachokadiriwa kuwa tani 8,000. Hali hiyo inaelezwa kusababishwa na ukame, uhaba wa mvua katika baadhi ya maeneo...
07Jan 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Magreth John, alisema baadhi ya wafanyabiashara wanatumia vibaya agizo la Rais John Magufuli lakutoondolewa katika maeneo hayo, hadi pale mamlaka husika...
07Jan 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe jana, baadhi ya mamalishe waliopo jirani na kituo hicho, walisema harufu hiyo imekuwa ikiwakera na kusababisha wateja kuwakimbia. Mamalishe, Yasinta Bakeyemba, alisema hali...
07Jan 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Wanasema eti ulibadilishwa jina na kuitwa Ole Sokoine. Vyovyote iwavyo, nitakuhabarisha. Hii ni kutokana na kutaka kukujulisha kinachoendelea baada ya kifo chako chenye kuzua kila aina ya utata kwa...
07Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ya kwanza ni kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria. Maana hii ikitafsiriwa kuhusiana na mwenendo wa serikali inamaanisha kuwa pamoja na vyombo vyote vya umma viendeshwe kwa mujibu wa sheria....
07Jan 2017
Vivian Machange
Nipashe
Kila mahali panakuchefua kichwa kinaanza kukusumbua kwa sababu ya hewa nzito. Inatokea pia umegundua kuwa kuna harufu ambayo huifurahii ndani ya nyumba. Huenda ni vigumu hali hiyo kuimaliza....
07Jan 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Sehemu hii inadaiwa kuwa na genge la wezi wanaotumia mikasi ya kukata vyuma, ambayo ndiyo inayotumika kubomoa makontena na kukata kofuli na kushusha shehena iwe vyakula, mkaa, magodoro na saruji...
07Jan 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizundua kampeni hiyo mwaka 2014 Dk. Shein, pamoja na viongozi wa dini na wanaharakati mbalimbali wa kutetea haki za wanawake na watoto, kulikuwa na matarajio makubwa ya kushinda vita hivi....

Pages