NDANI YA NIPASHE LEO

12Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa Tanzania, Sheria inayohusika zaidi na jambo hili ni Sheria ya Bima ya mwaka 2009 (Sheria namba 10). Maana ya Bima kwa lugha rahisi Bima ni mkataba wa biashara ambao mtu mmoja, ama kikundi...
12Aug 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Kipaji cha kuchekesha kilinifukuzisha ualimu, leo ‘nakula bata’ ya kujiajijri
“Huwa nawatia moyo vijana wenzangu, napenda kijana atembee kwenye ndoto yake. Mimi najivunia kwa kuwa natembea kwenye ndoto yangu. Lakini inahitaji uthubutu na kuachana na misemo ya wahenga eti...

hospitali ya mnazi mmoja zenji.

12Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni mkutano ulioendana na kongamano, ambalo katika kilele chake, lilitoa mfumo mzima wa ushirikiano kati ya mataifa yote, ukieleza sehemu muhimu za ushirikiano na mipango katika kipindi cha miaka...

Muandaaji wa mashindano ya kumtafuta mkali wa kuimba muziki wa Singeli ‘Star wa Singeli, Masoud Kandoro akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana.

12Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mbali na zawadi hiyo ya fedha, mshindi wa shindano hilo litakaloshirikisha wasanii chipukizi pia atapata nafasi ya kurekodi albamu. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, mratibu wa shindano hilo...

Mussa Hassan 'Mgosi'.

12Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Katika mechi hiyo Simba wataitumia pia kumuaga mshambuliaji wao Mussa Hassan 'Mgosi' ambaye ameteuliwa kuwa meneja,huku Abbas Ally akitangazwa kuwa mratibu wa timu hiyo. Akizungumza jana jijini,...

STRAIKA mpya Simba, Laudit Mavugo.

12Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mshambuliaji huyo raia wa Burundi, alifunga bao moja kati ya manne wakati Simba ilipoirarua AFC Leopards ya Kenya katika mechi ya siku ya Tamasha la Simba, maarufu kama 'Simba Day' Jumatatu iliyopita...
12Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yanga itacheza dhidi ya Bajeia ya Algeria katika mchezo wa 'lazima ushindi' kwenye Uwanja wa Taifa. Matokeo yoyote nje ya Yanga kupata pointi tatu, yatakuwa imehitimisha bila mafanikio safari ya...
12Aug 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, alisema kutokana na wimbi la ujangili linaloikabili taifa kwa sasa, ameona ni vyema akatengeneza mfumo unaoitwa ‘Benjamin Mkapa anti-poaching system’ ambao utaweza kusaidia...

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, Deogratius Ndejembi.

12Aug 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe
Ndejembi alitoa kauli hiyo jana alipotembelea soko hilo, kuangalia maendeleo ya soko na hali ya biashara pamoja na kuzungumza na wadau wanaotumia soko hilo. Alibainisha katika ziara zake za...

Katibu wa Jukwaa la Kilimo (Ansaf), Audax Rukonge.

12Aug 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na Katibu wa Jukwaa la Kilimo (Ansaf), Audax Rukonge, wakati wa uzinduzi wa filamu ya uhuru wa mbegu za wakulima nchini jijini Dar es Salaam juzi. Uzinduzi huo uliandaliwa na...
12Aug 2016
Paul Mabeja
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi wa Utafiti na Mafunzo wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika nchini, Prof. Wakuru Majigi, alipokuwa akifungua mafunzo ya kitaifa ya menejimenti ya Saccos endelevu...

Waziri Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Moudline Castico.

12Aug 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya Siku ya Vijana Duniani, Waziri Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Moudline Castico, alisema Serikali ya Zanzibar imeshakaa na ubalozi wa Oman na...

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mtungi.

12Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kufutwa kwa chama hicho, kunafanya idadi ya vyama vya siasa vyenye usajili wa muda kubaki kimoja ambacho ni Restoration of the Nation Party (RNP). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na...
12Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Taarifa hizo sio habari njema hata kidogo hasa ikizingatiwa kuwa, vijana ndio uti wa mgongo wa jamii na taifa kwa ujumla. Kwa baadhi ya watu, yawezekana zikachukuliwa kwa uzito mdogo kama ambavyo...
12Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Nipashe tunaipongeza Mamlaka ya Mapato(TRA) kwa mafanikio hayo yanayotia moyo, kwa kuwa ni wazi kwamba, mianya zaidi ya ukwepaji kodi ikizibwa, siku moja bajeti yetu itaweza kujitosheleza bila...
12Aug 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kwamba mtu mwenye lishe bora, anakuwa yuko kwenye nafasi nzuri ya kutekeleza majukumu yake ya kimaisha kwa ufanisi wa juu. Na kwa maana hiyo kaya, ukoo, jamii au taifa kwa ujumla wake.Hii ni kwa...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye.

12Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akitangaza uamuzi huo katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye alisema "Serikali ya Tanzania imeamua kulifungia...

rais john magufuli akiwa na mke wake janeth magufuli wakiingia katika ofisi ya ccm, lumumba.picha maktaba.

12Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka aliiambia Nipashe jijini Dar es Salaam jana kuwa Rais atakwenda moja kwa moja makao makuu ya CCM, Lumumba akitokea Uwanja wa Ndege wa Kimtaifa wa Julius...

Waziri wa Ardhi, William Lukuvi akimpatia pesa kwa ajili ya nauli mkazi wa Dar es Salaam Tausi Masongere kabla ya kumpatia fomu ya maombi ya hati ya kiwanja jana.

12Aug 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha, Lukuvi amesema idadi ya Watanzania wenye hati za viwanja ni milioni 1.7, kiwango ambacho hakitoshelezi, hivyo wizara yake inatarajia kutoa hati za viwanja 400,000 kwa wananchi nchi nzima mwaka...
12Aug 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mbali na Kitilya, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ambao wote wako rumande ni aliyekuwa Meneja Mwandamizi wa Stanbic na Miss Tanzania 1996, Shose Sinare na mwanasheria wa benki hiyo, Sioi Solomon...

Pages