NDANI YA NIPASHE LEO

07Oct 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Muda mfupi baada ya kusambaa kwa video hiyo inayoonyesha walimu watatu wakimshushia kipigo mwanafunzi huyo wa kidato cha III A katika shule hiyo, serikali kupitia mawaziri watatu ilitoa matamko...

Rais John Magufuli alipomsimamisha Meneja wa Tanesco Mkoa wa Pwani, Martin Madulu, ambaye ni mpwa wake, kukipatia umeme kiwanda kipya cha vinywaji baridi cha Azam kilichopo Vikindu.

07Oct 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Ndivyo unavyoweza kusema baada ya jana Rais John Magufuli kumpa miezi miwili mtoto wa dada yake, ambaye ni Meneja wa Shirika la Umeme (Tanesco) mkoa wa Pwani, Mhandisi Martin Madulu, kuhakikisha...
07Oct 2016
Jenifer Julius
Nipashe
Katika kundi hili, pia wapo watoto wadogo ambao hawawezi kuvuka wenyewe. Kwa maana hiyo, wanahitaji msaada wa kushikwa mkono na kuongozwa kwenda upande wa pili wa barabara. Utawaona wamekusanyika...

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Ummy Mwalimu.

07Oct 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Ummy Mwalimu, ameitaka bodi ya hospitali hiyo kueleza sababu za kuwalipisha kinyume na sera ya taifa ya afya. Jana katika toleo la Nipashe lilichapisha habari...

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Prof. Benno Ndulu.

07Oct 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mkakati wa kupunguza deni la ndani la Taifa, umeanza baada ya kuonekana mwelekeo wa kuridhisha katika ukusanyaji mapato ya ndani nchini. Kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita pekee yake, serikali...
07Oct 2016
James Lanka
Nipashe
Mpaka wa Tarakea wilayani Rombo na eneo la Liotokto nchini Kenya, kumeshamiri biashara ya usafirishaji watu na mizigo yao, wanaovuka mipaka kati ya nchi hizo mbili. Kwa Sheria zinazosimamia...

Naibu Balozi wa China Gou Haodong na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tazara, wakizugumza na waandishi wa habari ndani ya treni ya Tazara.

07Oct 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Ndiyo reli iliyosaidia kusafirisha na kuhudumia wapigania uhuru wa majeshi ya ukombozi ya Msumbiji, Zimbabwe, Afrika Kusini, Angola na Namibia. Ilikuwa ni reli ya kimapinduzi iliyokuwa mstari wa...
07Oct 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kimsingi uwekezaji huu ndio umeanza kufahamika zaidi siku hizi, lakini pia ukiwa na sifa nyingine ya ziada kwamba, mbali na kukupatia faida ya uhakika, vilevile ni sehemu salama ya kuweka akiba....
07Oct 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Aidha, mkuu huyo wa mkoa ameliagiza jeshi hilo kuwasaka usiku na mchana wanaojihusisha na kilimo hicho na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Dk. Kebwe alitoa agizo hilo wakati wa uchomaji moto...
07Oct 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Ofisa Biashara wilayani humo, Yonaza Mchome, alisema hayo wakati wa kuwasilisha taarifa mbele ya Mkuu wa wilaya hiyo, Deogratius Ndejembi, katika Baraza la Biashara na Madiwani. Mchome alisema...
07Oct 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Pato la taifa katika sekta ya viwanda ni asilimia 5.2 kwa mwaka 2015. Akizungumza katika kongamano la fursa za biashara na uwekezaji, lililofanyika mkoani hapa, Mkuu wa Chuo cha Biashara (CBE),...
07Oct 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Vilevile katika Ibara ya 17, (1), inasema kuwa kila raia wa Jamhuri ya Muungano, anayo haki ya kwenda kokote katika Jamhuri ya Muungano na kuishi katika sehemu yoyote, kutoka nje ya nchi na kuingia,...
07Oct 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa huo, Boniventura Mushongi, tukio hilo lilitokea juzi saa 5:00 asubuhi baada ya Said kufika katika ofisi ya mtendaji wa kijiji na kujaza fomu za mkopo kutoka Benki...
07Oct 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Hakimu Kisinda alisema kesi hiyo imekaa mwaka mzima na sasa anataka iishe badala ya kuahirisha kila mara. Awali, Wakili wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Hamidu Simbano...
07Oct 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Changamoto hiyo ilitolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana, baada ya kuwatembelea wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu ‘machinga’ katika Mtaa wa One Way na Soko la Sabasaba. “Nyie...
07Oct 2016
Mhariri
Nipashe
Ni kwamba, tofauti na agizo la Serikali litokanalo na utekelezaji wa Sera ya Afya ya Mwaka 2007 inayosisitiza kwamba wajawazito wapate huduma bure, hali iko tofauti kwenye hospitali hiyo....
07Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mfumo huo ambao msimu huu ulitumika kwa mara ya kwanza Oktoba Mosi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya mahasimu, Simba na Yanga, sasa utahamia Uwanja wa Uhuru. Akizungumza na...
07Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza jana mjini hapa baada ya kutembelea kambi ya warembo hao kwenye Hoteli ya Morena, Nape, alisema Serikali inathamini na kulitambu shindano hilo kama sehemu ya kuwajenga wasichana....

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara.

07Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Rais ndiye msimamizi wa rasilimali za nchi hii, hivyo tumemwandikia barua...
Katika Mkutano wake na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara, alisema wameona umuhimu wa kuomba radhi kwa kitendo cha mashabiki...
07Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Hayo yamo katika makubaliano ya kimaandishi ya ukodishwaji wa klabu hiyo kongwe chini, baina ya Baraza la Wadhamini la Yanga na Kampuni ya Yanga Yetu. Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga...

Pages