NDANI YA NIPASHE LEO

08Jan 2016
Nipashe
Chanzo kutoka ndani ya Nemc kimeiambia Nipashe kuwa Suguti ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria katika baraza hilo, alianguka ofisini kwake majira ya saa 9:30 alasiri baada ya kurejea kutoka katika...

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa

08Jan 2016
Nipashe
Mkapa alitoa kauli hiyo jana baada ya kukutana na Rais Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumtakia heri ya Mwaka Mpya. Akizungumza baada ya mazungumzo na Rais Magufuli, Mkapa...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako

08Jan 2016
Nipashe
Prof. Ndalichako aliyasema hayo jana alipokutana na uongozi wa Necta na kuuweka kitimoto kwa dakika 42, huku wakijikanyaga juu ya sababu zilizofanya kubadili mfumo wa ufaulu kutoka kwenye ule wa...

Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Joseph Masikitiko

08Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hatua hiyo ya TBS inatokana na sampuli za maabara kuonyesha mafuta hayo kuwa na kemikali zenye madhara kiafya, mazingira na viwango duni. Sambamba na hatua hiyo, TBS imezuia shehena ya mafuta ya...
08Jan 2016
Nipashe
"Polisi walipofungua chumba walikuta godoro liko chini lakini kitandani lilipopaswa kuwa kulikuwa na mwili wa mwanamke ukiwa umefunikwa shuka..."
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa, watu hao walienda katika nyumba hiyo ya kulala wageni iliyopo eneo la Hamugembe Januari 3,...
07Jan 2016
Nipashe
Gharama hizi ni kubwa mno kwa wananchi na watumishi wakati mradi huo ulilenga kumrahisishia mtumishi wa serikali anayeishi nje ya jiji...
Waziri Mkuu alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana akitokea mkoani...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Watumiaji Huduma za SUMATRA (SUMMATRA- CCC), Dk. Oscar Kikoyo

07Jan 2016
Nipashe
Huduma katika kipindi cha mpito zimepangwa kuanza Jumapili wiki hii. Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA, Gilliard Ngewe, alitoa rai hiyo juzi baada ya nauli zilizopendekezwa na Kampuni ya UDA Rapid...

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba

07Jan 2016
Nipashe
Sambamba na hatua hiyo, amewafukuza kazi viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika vya wakulima wa tumbaku, waliojaribu kujimilikisha matrekta yaliyokopwa na vyama vyao. Nchemba alitoa kauli hiyo...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

07Jan 2016
Nipashe
Katika majumuisho ya ziara yake aliyoyafanya kwenye ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, Majaliwa alielezea kuridhishwa kwake na miradi aliyoikagua. Mbali na kuridhishwa huko, aliwaagiza...

Mbunge wa Iringa mjini Chadema, Peter Msingwa

06Jan 2016
Nipashe
Wanasiasa hao ni madiwani, wabunge pamoja na wale wanaogombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama mbalimbali vya siasa.Ni kipindi kizuri kama kila mwanasiasa atatimiza kile...

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein

06Jan 2016
Nipashe
Mwenyekiti huyo, Jecha Salum Jecha kwa niaba ya ZEC alifikia uamuzi huo kwa madai kwamba uchaguzi huo ulikuwa na kasoro ya kuwapo idadi kubwa ya wapigakura kuliko watu waliojiandikisha kupigakura...

Dk Khamis Kigwangala

06Jan 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Ingawa kuna sera, sheria za nchi, mikataba na itifaki za kikanda na kimataifa kuhusu afya bora, hapa nchini umuhimu wake kwa watu haupo katika kiwango cha kuridhisha. Mathalan, unapofika wakati...
06Jan 2016
Editor
Nipashe
Operesheni hii inatazamiwa kuhusisha nyumba zipatazo 15,000 katika jiji hilo. Hii ni awamu ya pili baada ya ile ya kwanza iliyofanyika Desemba, mwaka jana lakini ikasimama ili kuwapa watu muda wa...

Mjane wa mchezaji wa zamani wa Yanga, Nico Bambaga, Conso Marwa akitoka kwenye nyumba yake iliyopigwa X tayari kwa ajili ya kubomolewa kwa madai ya kujengwa katika maeneo hatarishi.

06Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Zadaiwa kujengwa katika maeneo hatarishi, ipo pia nyumba ya msanii wa vichekesho maarufu kama Bambo...
Mbali na nyumba za wanasoka hao, pia msanii mahiri wa vichekesho, Bambo naye ni miongoni mastaa ambao nyumba zao zinapaswa kubomolewa kwa kujenga maeneo hatarishi. Wachezaji ambao nyumba zao...

Kikosi cha simba

06Jan 2016
Nipashe
Ikiwa Kundi C pamoja na timu za Mtibwa, JKU na Mafunzo, Simba iliianza michuano ya Kombe la Mapinduzi 2015 kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya mabingwa wa 1999 na 2000 wa Tanzania Bara, Mtibwa Sugar,...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk. Ali Mohamed Shein

06Jan 2016
Nipashe
Akizungumza katika hafla ya kuweka mawe ya msingi ya majengo ya huduma za wazazi na watoto katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja jana, Dk. Shein alisema katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza ya...

Sheikh Jalala

06Jan 2016
Frank Monyo
Nipashe
Sheikh huyo amesema kitendo hicho hakikubaliki na hakiendani na haki za binadamu, kwani kila mtu ana haki ya kuishi. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Sheikh Jalala alisema kesi ya Sheikh...

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Mkazi, Angelina Mabula

06Jan 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Alizitaja taasisi zinazopaswa kushirikishwa ni mamlaka za serikali za mitaa, Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) na Shirika la Umeme...

Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe

06Jan 2016
Nipashe
Kinyume cha hapo, hatua kali zitachukuliwa dhidi yao ikiwamo kufukuzwa kazi, kwa yeyote atakayebainika kukiuka maadili ya utumishi wa umma ikiwamo kushiriki vitendo vya rushwa. Waziri wa Sheria...

Azam FC

05Jan 2016
Nipashe
Huku akiwa na pointi tatu baada ya kushinda 3-0 katika mechi ya kwanza dhidi ya Mafunzo FC juzi, kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm, aliiambia Nipashe visiwani hapa jana asubuhi kuwa anatarajiwa...

Pages