NDANI YA NIPASHE LEO

Mwakilishi wa kikundi cha Pambana, Amasha Zuberi (kulia), akiwa mwenye furaha baada ya kukabidhiwa na Airtel Tanzania msaada wa pikipiki mbili za magurudumu matatu aina ya Toyo.

02May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pambana ni kikundi cha vijana 30 wajasiriamali kinachojishughulisha na shughuli mbalimbali katika jamii kama kukusanya taka, kuzalisha na kusambaza sabuni na kuchomelea vyuma mjini Dodoma....
02May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imefikiwa baada ya uongozi wa ACCT kupokea taarifa ya upembuzi yakinifu kutoka kwa mshauri wa mradi huo, Dk. Ramadhani Mlingwa. Upembuzi huo unaeleza ni nini kinafaa kutekelezwa ili...
02May 2016
George Tarimo
Nipashe
Nipashe imeshuhudia wananchi hao wakiwa wameboresha nyumba zao za kuishi na wengine kuanzisha ufugaji mdogo kwa lengo la kujiingizia Kipato. Honorina Chang’a, mkazi wa kijiji cha Bumulayinga,...
02May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone amepewa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa mechi tatu, baada ya kupatikana na hatia ya kushinikiza kuingizwa mpira uwanjani ili mwamuzi asimamishe mechi baada...
02May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Unakuta nchi inatumia pesa nyingi kununua dawa na kutibia wagonjwa wa Malaria wakati ingewezekana kuzuia vyanzo vya maambukizo ili kupunguza idadi ya wagonjwa. Unakuta kiongozi anatangazia umma...

kocha wa Mbeya City, Kinnah Phiri.

02May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Phiri aliliambia gazeti hili kuwa alikuwa na uhakika wa ushindi kwenye mchezo huo na kusema kipigo hicho kimewavunja moyo. “Tulijiandaa kushinda, ulikuwa mchezo muhimu kushinda kwa sababu ushindi...

katibu Mkuu BMT, Mohamed Kiganja kushoto: picha- maktaba.

02May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Wakati akimteua Abdallah, Kiganja alisema kuwa sheria inampa mamlaka ya kuteua makatibu na sheria hiyohiyo imempa uwezo wa kuutengua uteuzi huo. Hata hivyo, Kiganja hakuweka wazi sababu za...
02May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
TFF husimamia chaguzi za wanachama wake ambao huonekana 'wanapepesa macho' katika kuendesha shughuli hiyo. Hatua hiyo ya TFF imekuja siku chache baada ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuitaka...
02May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mechi hiyo ilivunjika dakika chache baada ya Yanga kupata bao la pili lililofungwa na Amissi Tambwe. Bao hilo ndilo lililokuwa kiini cha kuvunjika kwa mchezo baada ya mashabiki Coastal Union kudai...

uwanja wa simba, uliopo bungu.

02May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Hata hivyo, hadi sasa hakuna kinachoendelea kwenye eneo hilo. Hii ni hadithi nyingine ya ahadi ya viongozi kujenga uwanja bila mafanikio. Ni kitendawili. Eneo hilo sasa ni kama malisho ya mifugo...
02May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Wapo baadhi ya wachezaji wapya ambao hawakuwepo msimu uliopita na wameonekana kufanya vizuri msimu huu. Ni pamoja na Donald Ngoma, Thabani Kamusoko wa Yanga, Danny Lianga, Hamisi Kiiza wa Simba,...

mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (Moat), Dk. Reginald Mengi (katikati): picha na maktaba.

02May 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Mratibu wa maadhimisho hayo, Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena, alisema jana mjini hapa kuwa Dk. Mengi atashiriki maadhimisho hayo, ambayo mgeni rasmi atakuwa Jaji Mkuu wa...
02May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka jana, Rais John Magufuli (wakati huo akiwa mgombea urais wa CCM), aliahidi serikali itatoa Sh. milioni 50 kila kijiji/mtaa ili kusaidia maendeleo ya maeneo...

nyumbu.

02May 2016
Ahmed Makongo
Nipashe
Mshitakiwa huyo alishitakiwa kwa makosa manne, ambayo ni kuingia hifadhini, kukutwa na silaha, kuwinda wanyama na kukutwa na nyara ya serikali ambayo ni mnyama mmoja aina ya nyumbu mwenye thamani ya...
02May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Aidha, bodi ya wadhamini wa klabu hiyo, imeuagiza uongozi kuitisha mkutano kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 5 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jana...

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego.

02May 2016
Hamisi Nasiri
Nipashe
Hayo yalibainishwa na mkuu huyo wa mkoa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya CCM wilayani Nanyumbu. Dendego alisema maofisa hao...

mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda.

02May 2016
John Ngunge
Nipashe
Akizungumza katika sikukuu ya wafanyakazi duniani, ambayo kimkoa ilifanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini hapa jana, Ntibenda alisema ofisi yake si mahakama lakini atakapofikishiwa malalamiko...
02May 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Hata hivyo, baadhi ya wafanyakazi waliohudhuria, walishangaza kwani walipohitimisha maandamano katika uwanja huo, walianza kutoka nje badala ya kukaa na kusubiri hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi...

rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.

02May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Dk. Shein alisema hayo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika mjini hapa jana. Alisema ongezeko hilo la mshahara litaanza kutolewa baada ya Baraza la Wawakilishi...

WALIMU kutoka Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, wakiwa na bango lenye ujumbe maalum kwa Rais John Magufuli.

02May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Ni baada ya Rais Magufuli kutangaza kupunguza kodi ya mshahara kwa wafanyakazi (Payee) kutoa asilimia 11 hadi tisa, atoa takwimu mpya za kutisha watumishi hewa, aipasha mifuko hifadhi ya jamii, walimu wampokea kwa mabango, agusia serikali kuhamia Dodoma
Hata hivyo, punguzo hilo la asilimia mbili, lililotangazwa jana, litawanufainisha zaidi wafanyakazi wenye mishahara isiyozidi Sh. 360,000, baada ya kukatwa fedha ya kuchangia mfuko wa kijamii....

Pages