NDANI YA NIPASHE LEO

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akizuiwa na kipa wa Mgambo Shooting, Said Hamis wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Yanga ilishinda mabao 2-1.PICHA: MICHAEL MATEMANGA

02May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Sare hiyo ni furaha kubwa kwa Yanga, ambayo sasa bila shaka itakuwa imeshusha presha baada ya Azam kubanwa na kutoa nchi ya kunyakua taji. Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa,...
02May 2016
Mhariri
Nipashe
Katika mechi hiyo dhidi ya Yanga, mwamuzi wa mchezo Abdallah Kambuzi alilazimika kumaliza mchezo kabla ya muda baada ya hali ya usalama kuwa tete. Hadi mechi hiyo inavunjika, Yanga walikuwa...

bodaboda: picha ya maktaba.

30Apr 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Athumani alikuwa akizungumza baada ya kundi la waendesha bodaboda 200 wakiwa na mapanga, marungu, mashoka, mundu na nondo kuingia mitaani kumtafuta mtu wanyedai anahusika na utekaji wa piki na mauji...

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Gulamhafeez Mukadam (kushoto).

30Apr 2016
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam, Mwenyeikiti mpya wa ALAT, Gulamhafeez Abubakar Mukadam, alisema halmashauri nyingi zimeshindwa kutekeleza miradi kutokana na uhaba wa...

tembo.

30Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Pia kamati hiyo imesema, kuteketezwa kwa meno hayo kutasaidia kupunguza majangili nchini na kukosesha soko la meno hayo nchi nyingine. Akizumgumza na waandishi wa habari juzi jijini Dar es Salaam...

Bandari ya Dar es salaam.

30Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akichangia Bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Utawala Bora, Mwakajoka alisema mizigo katika bandari hiyo imepungua baada ya waagizaji kupendelea zaidi bandari nyingine,...
30Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika halfa ya utoaji tuzo kwa wafanyakazi bora 58 wa makampuni ya Kichina nchini ambazo zilitolewa na Ubalozi wa China juzi, Makonda alisema kitendo cha China ni...

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge, akimtwisha ndoo ya maji Fatuma Juma mkazi wa kijiji cha Mtinko, wilaya ya Singida katika makabidhiano ya visima 12 vilikabidhiwa kutoka kampuni ya Tigo Tanzania.

30Apr 2016
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumza wakati wa makabidhiano ya visima hivyo yaliofanyika kwenye kijiji cha Mtinko wilayani Singida, mkoani wa Singida, Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata, alisema ufadhili...
30Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo, akijibu swali la Mbunge wa Nanyamba Abdallah Chikota (CCM), alihoji ni...

mashabiki mbeya city.

30Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Felix alikuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na matatizo ya kifamilia na leo anatarajiwa kuungana na kikosi kitakachoikabili Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Manungu Complex, Turiani...

Katibu wa Baraza la Wazee la yanga, Ibrahim Akilimali katikati.

30Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Hata hivyo, baraza hilo halijapinga siku ya kufanyika kwa uchaguzi ambayo ni Juni 5 mwaka huu kama ilivyotangazwa na kamati hiyo ya TFF. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Baraza la...

Rais wa klabu ya simba, Evans Aveva.

30Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Lakini wakati ikiendelea na hesabu hizo, pia ina mkakati wa kujenga kikosi bora kabisa msimu ujao. Mkatati huo tayari umeshaanza kwa majibu wa bosi wa Mtaa wa Msimbazi. Rais wa klabu hiyo, Evans...

mashabiki wa yanga.

30Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ligi Kuu Bara inaingia hatua muhimu leo kuelekea ukingoni kwa mechi tano katika viwanja tofauti...
Mechi ya leo ugenini ya Yanga ni kati ya michezo yake mitano ya ligi iliyobakia itakayochezwa nje ya Dar es Salaam. Inashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 4-1 katika mechi wa...

Freeman Mbowe.

30Apr 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM mkoa wa Arusha, Shaaban Mdoe alisema upinzani wa kweli kwa sasa katika awamu ya Rais John Magufuli haupo. Mdoe alisema kwa sababu Rais Magufuli anaonekana...

Mabere Marando.

30Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Marando ambaye ni mwanaharakati wa siasa za vyama vingi na gwiji wa sheria nchini, aliugua gafla mwaka jana akiwa nyumbani kwake na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili usiku wa kuamkia...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa tcra Mhandisi James Kilanaba, (kushoto) akizindua, wimbo wa kuhamasisha kukagua simu kama halisi.

30Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Kaimu Mkurugenzi wa TCRA, Mahandisi James Kilaba, wakati akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es Salaam, kuhusu tathmini ya hali halisi kuelekea ukomo wa matumizi ya...
30Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Kuipa ushindi Yanga kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani na kusababisha mchezo kuvunjika huku, Yanga ikiwa mbele kwa magoli 2...

sukari ikiwa katika ghala.

30Apr 2016
Kibuka Prudence
Nipashe
Lengo la uamuzi huo, imeelezwa, ni kuondoa uhaba wa sukari na kuwaondolea kero wananchi. Kwa mujibu wa Ofisa Biashara mkoa wa Karega, Isaya Tendega, uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini kuwa wapo...
30Apr 2016
Dege Masoli
Nipashe
Kwa mujibu wa Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Bodi hiyo nchini, Sadiki Elimsu, mashine hizo zilikamatwa katika operesheni maalumu ya kudhibiti bidhaa feki inayoendeshwa na Bodi hiyo nchi nzima. Elimsu...
30Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mwanasheria wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Januari Kitunsi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kusitisha ndoa za utotoni...

Pages