NDANI YA NIPASHE LEO

bunge.

21Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mfumo wa kushindanisha zabuni haukufanyika, Kamati yaamua kuingia yenyewe kazini kujua mbivu na mbichi, ripoti kutinga bungeni kama Escrow ...
Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali (PAC), imebaini madudu mengine kibao ikiwa ni pamoja na zabuni hiyo kutolewa bila ushindani, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Baadhi ya wajumbe wa kamati...
21Apr 2016
Bosco Nyambege
Nipashe
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Methew Chikoti, alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namsinde kata ya Mkulwe wilayani hapa mwishoni mwa wiki. Alisema kumekuwa na kasumba...

Amatus Liyumba.

21Apr 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Wosia huo wa Liyumba, ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu Tanzania (BoT), ulifanya waombolezaji waliofika kuuaga mwili wake, kutopewa fursa ya kuona sura yake kwa...

Mkurugenzi wa vipindi wa kituo cha televisheni cha EATV, Lydia Igarabuza (wapili kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa mchezo wa tamthilia kutoka kampuni ya Janson Production mara baada ya mkutano na waandishi wa habari kuhusu kurushwa kwa mchezo wa kuigizwa ujulikanao kama ‘Siri ya Familia’ambao utarushwa na kituo hicho kuanzia tarehe 25 mwezi huu.. PICHA: SELEMANI MPOCHI

21Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua tamthilia hiyo, Mkuu wa Vipindi wa EATV, Lydia Igarabuza alisema kituo chake kimeongeza vipindi kwa watazamaji wake na wanaamini tamthilia hiyo itawaelimisha...

Richard Kayombo.

21Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, alisema kwa Aprili, wamejiwekea malengo ya kukusanya kiasi hicho cha...

Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda.

21Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Lengo la hatua hiyo ni kukuza uchumi unaokua kwa kasi kulinganisha na uchumi wa baadhi ya nchi nyingine za Afrika. Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda,...
21Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Moja ya athari za maradhi hayo, inajtokeza kupitia maumivu makali miguuni. Kisukari kinaelezwa kuwa na sababu nyingi za chanzo chake inayoishia katika maumivu makali. Kubwa zaidi ni...
21Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hivi karibuni mikoa minne ya Arusha, Mwanza, Kilimanjaro na Dar es Salaam ilibainika kuwa vinara wa kuwa na vilainishi visivyo na ubora vilivyopo sokoni vinavyotumiwa katika magari na mashine...
21Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Serikali ya Awamu ya Tano imesisitiza itaendelea na mwendo wake wa 'kutumbua majipu' ikiamini ndiyo njia pekee ya kuhakikisha kunakuwa na nidhamu katika rasilimali za taifa. Akiwasilisha...
21Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Bima ya Bumaco ya jijini Dar es Salaam, Halilya Kwayu, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini humo jana. Kwayu alisema...

Waziri Sentembo.

21Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam, mshambuliaji huyo maarufu kama Waziri Junior aliyefunga bao pekee dhidi ya Simba na kuifanya Toto kuibuka na ushindi wa bao 1-0 alisema licha ya kutoshinda,...

Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa akitoa heshima za mwisho jana katika mazishi ya aliyekuwa Askofu wa kwanza mzalendo kanisa Katoliki jimbo la Dodoma Mathias Isuja.

21Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Askofu Mkuu Kinyaiya aliyasema hayo jana, wakati wa mahubiri ya ibada ya maziko ya Askofu Isuja, yaliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulio wa Msalaba, mjini hapa. Alisema wakati wa...
21Apr 2016
Nipashe
Remmy Moshi, ambaye ni Mratibu wa Programu wa taasisi ya Mkapa (Benjamin Mkapa Foundation-BMF), Kanda ya Ziwa, anasema ili kupambana na upungufu huo, taasisi ya BMF imekuwa ikiweka jitihada za...
21Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe
***Haijawahi kwenda kupiga kambi nje ya Dar kwa ajili ya mechi dhidi ya Azam FC, lakini safari wameamua kufanya hivyo...
Adhabu ya Kessy ina maana, hatacheza mechi zote zilizobaki kumaliza msimu huu. Beki huyo amefungiwa kwa kosa la kuigharibu timu baada ya kucheza rafu ya kizembe dhidi ya mchezaji wa Toto Africans...
21Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Katika baadhi ya barabara, hali huwa afadhali kidogo kutokana na watumiaji wengine wa barabara kuheshimu sheria na taratibu huku baadhi wakishindwa kufanya hivyo kwa sababu mbalimbali. Watumiaji...

Maji yenye vimelea vya kisonono kutoka mwilini mwa binadamu, kama inavyoonekana kwenye darubini. (PICHA NA MTANDAO)

21Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa madaktari hao, aina hiyo ya kisonono kilichopewa jina la 'Super Gonorrhea' kimeathiri pia kundi la mashoga na jamii yote inayofanya mapenzi ya jinsia moja. Mwaka jana, kulipuka kwa...
21Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Kama ilivyokuwa katika maeneo kama Tanga na Kyela, Jumapili iliyopita mvua kubwa ilianza kunyesha kuanzia saa 4.00 usiku na kuendelea mfululizo hadi asubuhi saa 5.00 siku iliyofuata (Jumatatu...
21Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Azam wanaamini kuwa mshindani wao wa kweli kwenye mbio za ubingwa msimu huu ni Yanga na siyo Simba inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo. Azam imeaga Kombe la Shirikisho Afrika kwa kipigo cha...

Askari wa, JWTZ na Kikosi cha uokoaji wakiwa wamebeba mwili wa Nice Kalago (52) mmoja wa watu wawili waliokufamaji jana katika ajali hiyo.

21Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Waliopoteza maisha katika ajali hiyo ni dereva wa gari aina ya Toyota Hiace, aliyefahamika kwa jina Daniel, mwenye umri kati ya miaka 31 na 34 na Nice Kalago (52). Kwa mujibu wa mashuhuda wa...
20Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Timu ya wataalamu wa afya kwa kushirikiana na viongozi wa serikali za vijiji na mitaa, inaendelea na mchakato wa uandikishaji kupata idadi ya kaya kwenye maeneo yao. Akizungumza katika mahojiano...

Pages