NDANI YA NIPASHE LEO

waziri mkuu, Kassim Majaliwa

26May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alisema hayo juzi, alipokuwa akizungumza na Watanzania waishio Zambia katika mkutano uliofanyika kwenye Ubalozi wa Tanzania, jijini Lusaka, Zambia. “Haya maombi yamekwishapokewa na wenye...
26May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Tumekuwa tukishuhudia ufagiaji mara nyingi ukifanyika majira ya asubuhi hadi mchana.wakati shughuli nyingi zikiendelea. Miji mikubwa nchini ikiwamo Arusha, Mbeya, Tanga, Mwanza na Dar es Salaam...
26May 2016
Mhariri
Nipashe
Mkuu wa Kitengo cha Matibabu ya Moyo. Dk. Peter Kisenge, amesema upasuaji huo ulianza Jumatatu wiki hii kwa ushirikiano wa taasisi na wataalamu kutoka hospitali ya BLK ya India na kwamba...
26May 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Katika zama hizi za ushindani wa soko huria kila siku na mara kwa mara, bidhaa zinaingizwa nchini kwa lengo la kushindana na bidhaa nyingine kwa kuzingatia kuwa, dunia sasa ni kama kijiji kikubwa...

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Hamis Mwinyimvua

26May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ahadi hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Hamis Mwinyimvua, jijini Dar es Salaam jana. Dk. Mwinyimvua alikuwa akizungumza katika mkutano ulioshirikisha wajumbe kutoka sekta ya...

mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Bulaya

26May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Amemfananisha na tishu (karatasi laini ya kujifutia), kutokana na kile alichodai kushindwa kusimamia mambo mbalimbali, ikiwamo kuirudishia leseni ya uwindaji Kampuni ya Green Miles Safaris Ltd....
26May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kabla ya kutwaa taji hilo linalowapa tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika, kikosi hicho cha Jangwani kilitwaa taji la Ligi Kuu Bara kabla ya kumalizika msimu na kunyakua Sh. milioni 81, hivyo...

kocha wa Simba, Jackson Mayanja

26May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Haraka haraka, uongozi umemjibu kocha huyo raia wa Uganda kuwa mapendekezo yake hayawezekani. Mmoja wa mabosi wa juu Mtaa wa Msimbazi (jina linahifadhiwa), aliliambia gazeti hili jana kuwa,...

Kocha wa Yanga, Mecky Maxime kulia akiwa na msaidizi wake Zuberi Katwila.

26May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Mtibwa imemaliza katika nafasi ya tano msimu huu ikiwa na pointi 50, tofauti ya pointi 23 na mabingwa Yanga waliofikisha pointi 73. Wachezaji waliotajwa kuwa mikataba yao imemalizika ni pamoja na...

mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini,Abdulaziz Abood

26May 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Akikabidhi vifaa hivyo, Abood alisema lengo la mchango huo ni kuvisadia vikundi hivyo viweze kujiendeleza katika miradi yao. Aliwataka wananchi waliopokea michango hiyo kuitumia kwa malengo...
26May 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Uamuzi huo umefikiwa juzi na wakazi wa kijiji hicho, katika mkutano uliofanyika Wilayani hapa. Mwenyekiti wa Kijiji cha Sanya Hoye, Mosses Munuo, alisema wapitisha azimio la kutoa adhabu ya viboko...
26May 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Meneja wa Ukaguzi wa Ndani wa Tasaf Makao Makuu, Shedrack Mziray, alisema katika kukabiliana na umaskini uliokithiri nchini, serikali imeamua kuwekeza fedha hizo kwa lengo la kuziinua kiuchumi kaya...

rais john magufuli

26May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Ni wale waliochora 'zombi,' Messi mitihani ya Form IV 2012
Kauli hii ambayo Rais John Magufuli, amekuwa akisema mara kwa mara, imejidhihirisha pia kwenye sekta ya elimu ambapo wanafunzi wa kidato cha nne waliofeli na kukosa sifa hata za kuendelea na elimu...

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG), Fatma Mohamed Said

26May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kashfa hiyo imeibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG), Fatma Mohamed Said, katika ripoti yake ya mwaka wa fedha 2011 / 2015 katika matumizi ya CDF kwa Wajumbe wa...

Rais Dkt Magufuli akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda na Mzee Joseph Butiku.PICHA: MAKTABA

26May 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa, Pinda amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dk. Asha-Rose Migiro,...

mimba

25May 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro, Dk. Barakael Jonas, wakati akizungumza na wauguzi hao katika hospitali ya wazazi ya Mafiga, mjini hapa. Alisema Mkoa wa Morogoro umekuwa...

jiji la Mwanza.

25May 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, kiongozi wa madaktari hao sita, Dk. Padmendra Pandey, alisema kazi hiyo inafanyika katika kituo walichokifungua. “Matibabu yetu ni ya kisasa kutokana na vifaa tulivyo...

Kaimu Katibu Mkuu, Dk. Leonard Akwilapo

25May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo inaweza kutafsiriwa kuwa ni kubana wamiliki wa shule na wale wanaoendesha vituo vya kutoa elimu ya wanafunzi ambao hufanya mitihani ya maarifa (QT), kwa njia za kitapeli bila usajili na...

jengo la tenesco.

25May 2016
Idda Mushi
Nipashe
Hatua hiyo itawezesha wananchi kupata fursa ya kuanzisha viwanda vidogo na vikubwa katika maeneo yenye malighafi za uzalishaji, kujiajiri, kuongeza ajira kwa wengine na kufanya maendeleo mengine...
25May 2016
Halima Ikunji
Nipashe
Akizungumza na Nipashe juzi, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nzega, Juma Majura, alisema agizo hilo ni la mkuu wa wilaya hiyo, Jacqueline Liana, la kuwataka wananchi kufanya kazi badala ya kunywa pombe....

Pages