NDANI YA NIPASHE LEO

24May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Waandishi wa habari ambao ndiwo ‘masikio,’ ‘pua’ na ‘macho’ ya wasomaji, wamekuwa wapotoshaji wakubwa wa lugha ya Kiswahili. Kila uchao hukosi kusoma maneno ‘mapya’ magazetini au kuyasikia redioni na...

Aliyekuwa kocha wa Manchester United, Louis van Gaal

24May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Atatangazwa rasmi leo kuchukua mikoba ya Louis van Gaal aliyetimuliwa baada ya miaka miwili Old Trafford...
Na jana mchana, mabingwa hao wa mara 12 Kombe la FA walitangaza kumtimua na nafasi yake kuchukuliwa Jose Mourinho, atakeyingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya pauni milioni 10 (Sh. bilioni...
24May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Programu maalum hutumika katika kusoma kurasa na kutafsiriwa kupitia mtandao na mifumo ya kisasa kwa lugha inayoeleweka kwa urahisi na wingi wake huitwa ni ‘tovuti’.Matumizi ya tovuti ni...

Kocha mkongwe nchini, Kenny Mwaisabula 'Mzazi',

24May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Kocha mkongwe nchini, Kenny Mwaisabula 'Mzazi', alisema TFF ilichangia kuipoza ligi msimu uliomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita kutokana na kutokuwa makini kwenye upangaji wa ratiba na kupelekea...

Nadir Haroub 'Cannavaro' (kulia) na Elias maguli.

24May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Wiki iliyopita Mkwasa alitangaza kikosi chake cha wachezaji 27 huku akimjumuisha nahodha huyo wa zamani ambaye tayari alitangaza kustaafu kuicheza timu ya Taifa. Akizungumza mara baada ya kutua...

Mshambuliaji wa Yanga Hamis Tambwe akikabidhiwa mpira na Mwamuzi wa mchezo huo Ludovic Charles

24May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Tambwe amefanikiwa kuibuka kinara wa magoli baada ya kufunga magoli 21 na hivyo kutwaa tuzo hiyo ya kiatu cha dhahabu kwa mara ya pili tangu alipotua nchini mwaka 2013. Msimu wa 2013/2014 Tambwe...

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi

24May 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Mauaji hayo yalitokea Mei 18, mwaka huu, saa 3:00 usiku baada ya waumini wa msikiti huo kumaliza swala ya usiku. Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi, alisema watuhumiwa hao walikamatwa...

Mohamed Raza Daramsi

24May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Umeibuka tena baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM), Mohamed Raza Daramsi, kudai mgawo wa asilimia 4.5 unaotumika ulikuwa wa muda, lakini Serikali ya Muungano imegeuza wa kudumu kinyume na...

Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na Rais Dk. Magufuli.PICHA NA IKULU

24May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu aliyeondoka nchini jana, anahudhuria mkutano huo kwa niaba ya Rais Dk. John Magufuli. Mkutano huo ambao utafunguliwa na Rais wa Zambia, Edgar Lungu, utajadili masuala ya nishati na...

Mtendaji Mkuu wa Afya na Usalama na Afya mahali pa Kazi (Osha), Dk. Akwilina Kayumba

24May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mtendaji Mkuu wa Afya na Usalama na Afya mahali pa Kazi (Osha), Dk. Akwilina Kayumba, alisema hayo wakati akifunga mafunzo ya wiki tatu yaliyotolewa kwa vijana zaidi ya 50 kwa ajili ya kusimamia na...

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

24May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewana na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Dk. Shein amemteua Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya...
24May 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Jambo hilo linapaswa kupewa kipaumbele na kushughulikwa haraka ili kuhakikisha kuwa nguvu kazi hiyo inatumika kuzalisha mali na kuboresha maisha ya jamii husika. Badala yake baadhi ya vijana hao...
24May 2016
Mhariri
Nipashe
Spika Ndugai alibainisha hayo alipozungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusiana na uamuzi wa Rais Dk. John Magufuli wa kumfuta kazi aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...

Charles Kitwanga akijadliana jambo na Mbunge wa Viti Maalum, Martha Mlata.

24May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Spika wa Bunge, Job Ndugai, aliliambia Nipashe juzi kuwa kuna wabunge kadhaa huingia ndani ya Ukumbi wa Bunge wakiwa wametumia vilevi vikali vikiwamo viroba, bangi na dawa za kulevya. Kutokana na...

kamati ya kumfariji Charles Kitwanga, Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge,(katikati) William Ngeleja (kulia) na Richard Ndassa, (kushoto)

24May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*Wabunge wenzake waunda timu ya kumpa ushauri nasaha, mwenyewe arejea Dar kukabidhi ofisi
Taarifa zinasema mkewe Kitwanga alilazimika kusafiri usiku baada ya taarifa ya kutimuliwa mumewe kutolewa na Ikulu, Ijumaa iliyopita, huku wabunge wenzake, hasa wale wa mikoa ya Kanda ya Ziwa,...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi

24May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mauaji hayo yametokea ikiwa ni wiki mbili tangu kutokea kwa mauaji ya watu saba wilayani Sengerema, hivyo kufanya kuwa tukio la tatu katika kipindi cha wiki mbili na kusababisha vifo vya watu 11...
24May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Juvicuf, Hamidu Bobali, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkakati wa uzimaji simu. TCRA inatarajia kuzima simu hizo Juni 16, mwaka huu. Alisema...

wanafunzi wakiwa wanasomea chini ya miti.picha: mitandao

24May 2016
Juma Mohamed
Nipashe
Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki, baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, kutembelea shule hiyo na kuelezwa matatizo mbalimbali yaliyopo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti shuleni hapo...

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Korogwe, Nasoro Malingumu (kulia) akiwa na mbunge wa korogwe vijijini Stephen Ngonyani.

23May 2016
Dege Masoli
Nipashe
Aidha, viongozi hao wa dini wamepewa moyo wa kutokata tamaa ya kuwajaza watu imani ili amani itawale na hivyo kuirahisishia serikali katika kutekeleza wajibu wake wa kuwahudumia watu kwa usahihi...

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Zelothe Stephen

23May 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Alitoa agizo hilo wakati wa kuteketeza bidhaa zisizofaa kwa matumizi ya binadamu zenye thamani ya Sh. milioni 24 zilizokamatwa katika maduka mbalimbali na baa za vileo kufuatia operesheni...

Pages