NDANI YA NIPASHE LEO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.

26Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Aliyasema hato aliyokuwa akizungumza Balozi wa Mataifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu hapa nchini, Abdullah Ibrahim Al – Suwaidi, ofisini kwake jana. Alisema kutokana na kuimarika kwa hali ya amani...

Christian Bella.

26Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mmiliki wa bendi hiyo, Daniel Denga aliiambia Nipashe jana kuwa Bella aliondoka hivi karibuni. "Nimelazimika kutoa ufafanuzi wa safari hiyo kwa sababu kuna uvumi kwamba Bella amekimbia na bendi...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

26Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kampuni zilizotoa msaada huo ni Cocacola Kwanza, Pespi na Azam Cola. Akipokea msaada huo jana jijini Dar es Salaam katika Bohari ya Kuhifadhia Dawa ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Waziri Mkuu Kassim...

Mkurugenzi Mkuu wa Bayport, John Mbaga.

25Feb 2016
Halima Kambi
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Bayport, John Mbaga, alisema taasisi hiyo imepanua wigo wa kibiashara kwa kuanzisha miradi sita mipya ya viwanja...

Diwani wa kata ya Kahe,Rodrick Mmanyi akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia.

25Feb 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Diwani huyo, Rodrick Mmanyi (NCCR-Mageuzi) pamoja na watu hao, walifikishwa mahakamani jana mbele ya Hakimu Anthony Ngowi. Wakili wa Serikali, Ignas Mwinuka, alidai kuwa washtakiwa hao kwa...

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya.

25Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Alisema kwa vyuo vingi visivyo vya serikali, kati ya asilimia 60 mpaka 80 ya walimu wake, hawana kiwango cha elimu kinachotakiwa kwa mwalimu wa chuo kikuu (shahada ya uzamivu). Ukaguzi wa TCU kwa...
25Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Walalamikiwa katika kesi hiyo ni, Aulerian Temba, Athuman Mtauka, Elovan Agustino na Catherine Isaya, ambao walifungua kesi hiyo kwa kwa niaba ya wenzao 76. Kesi hiyo iliyosajiliwa mahakamani hapo...

Ofisa Uhusiano wa SBL, Abas Abraham.

25Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa bomba hilo linalotarajiwa kujengwa kuanzia eneo la Chango’mbe ‘B’ hadi Kurasini, Ofisa Uhusiano wa SBL, Abas Abraham, alisema bomba hilo litasaidia...
25Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Kuna matukio kadhaa yaliyotokea jijini humo ya uporaji wa kutumia silaha sambamba na kujeruhi watu. Liko tukio ambalo watu wanaodaiwa kuwa majambazi walivamia maduka matano katika mtaa wa Kimara...

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro, akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini.

25Feb 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Katika msimu wa kilimo (2015-16), Mkoa wa Shinyanga umeonekana kupata neema ya chakula ambacho kitawaondoa kwenye dhana ya kuombeleza chakula cha msaada, huku serikali mkoani humo ikianza kuhamasisha...

Timu ya Azam wakishangalia.

25Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
***Matajiri hao wa Chamazi wanatarajiwa kupangua tena ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara wakati wakijiandaa kwa mechi za kimataifa.
Timu hiyo ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL) ina nafasi kubwa ya kukutana na Wanalambalamba hao baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Light Stars ya Shelisheli katika mechi yao ya kwanza ya raundi ya...

Kinamama waliojifungua,katika wodi ya wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja, Zanzibar (Picha Na Rahma Suleiman, Zanzibar)

25Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbali na hali hiyo, pia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)imeanika wazi kuwa kinamama wanaojifungua hospitalini visiwani ni asilimia 56 tu. Katika watoto wachanga na mama wajawazito wanaofariki...

Kocha mkuu wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa.

25Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Timu hizo zilizoko Kundi G pamoja na Misri na Nigeria, zitarudiana Machi 28 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kocha mkuu wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa, aliiambia Nipashe jana kuwa...
25Feb 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa ya Chawata kwa vyombo vya habari jana, fedha hizo zimetokana na kazi za sanaa ambazo zilichukuliwa na serikali ya awamu ya nne kutoka kwa wafanyabiashara wa eneo la Mwenge...

Mchezaji wa Tenesi Kemmy, akifanya mazoezi.

25Feb 2016
Nipashe
Kocha wa timu ya taifa ya mchezo huo, Nicholaus Jonas, aliiambia Nipashe jana kuwa nyota hao watakaokwenda 'Sauzi' ni Ester Namkulange na Omary Sulle. Jonas alisema lengo la kushiriki katika...
25Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Imeonekana maajabu katika sekta ya elimu nchini, kwa raia wa kigeni kuongoza kitaifa na somo la Kiswahili amepata daraja ‘B’ huku wazawa wakianguka kwa kupata alama ambazo si za kupendeza....

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.

25Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kwa msingi huo ameitaka Kadco kuongeza ukusanyaji huo wa mapato. Aidha, Waziri Mbarawa amemteua Hamza Johari, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Kabla ya uteuzi...

mdudu ‘kanitangaze’ akishambulia nyanya.

25Feb 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
***Mdudu sugu wa nyanya ‘anayewalisha’ watumiaji sumu na mkojo wa ng’ombe
Upekee wa jina hilo pamoja na madhara yake ndiyo yanayojenga umaarufu huo. Kanitangaze katika lugha ya kitaalam anaitwa ‘Tuta Absoluta.’ Ni miongoni mwa wadudu waharibifu na wanaoshambulia kwa...
25Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kwa namna moja au nyingine, ofisi hizo ni muhimu zaidi kwa sababu zina uwezo mkubwa wa kubeba taarifa za kila mtu katika mtaa husika na kuzifanyia kazi. Pamoja na umuhimu wake, nyingi zimekuwa...

Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiah Olouch.

25Feb 2016
Nipashe
Hakuzingatia sheria kufuta mfumo wa wastani wa alama (GPA) kwenda madaraja (division). Kadhalika, amesema waziri alitakiwa kufanya mabadiliko ya kanuni na kuzitangaza katika Gazeti la Serikali (GN...

Pages