NDANI YA NIPASHE LEO

Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Harison Mwakyembe.

26Feb 2016
james kuyangana
Nipashe
Kwa sababu kampuni zimetumiwa na wafanyabiashara makini kote duniani kama injini za kujiletea maendeleo ya uhakika na ya haraka, nimeona si vibaya kama ewe msomaji wetu mpendwa ukajiongezea maarifa...
26Feb 2016
Peter Orwa
Nipashe
Mjadala huo ukiangaliwa kwa kina, dhana kuu imesimama katika mazingira ya kulaumu, inakuwaje Mchina kutuongoza na sauti ya malalamiko inapazwa zaidi katika somo la Kiswahili. Naam! Wanamichezo...

Wafanyakazi wa Airtel wakawakabidhi moja ya wajasiliamali wa Dar es Salaam zawadi katika promosheni ya Airtel Fursa.

26Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Airtel Fursa imewaongezea mbuzi 44 pamoja na vitendea kazi yakiwamo majembe na rato kwa ajili ya kuanza kilimo. Vijana hao watano, waliamua kuungana baada ya kupata mafunzo kwenye mradi wa...

Mkuu wa Wilaya ya Songea, Benson Mpesya.

26Feb 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Songea, Benson Mpesya, alisema Kaijage alikwenda kumuaga ofisini kwake na kumueleza kuwa amepewa barua kutoka wizarani ya kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi kuanzia Februari 24,...

Rais Dk. John Magufuli.

26Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni mikakati aliyokuwa akiinadi katika kampeni zake kila alikopita nchini. Sasa ndoto yake ya kuwa rais imetimia na yuko madarakani kwa muda sasa. Ikiangaliwa kwa kina, kiu ya rais huyo...

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. Ashiatu Kijaji.

26Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. Ashiatu Kijaji, wakati wa uzinduzi wa tawi la benki ya Amana la Mbagala, Dar es Salaam. Benki hiyo imefikisha matawi saba nchini,...
26Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ray alisema kuwa tangu atoe ufafanuzi huo baada ya 'kushambuliwa' katika wimbo wa 'Shika Adabu Yako' ulioimbwa na Nay wa Mitego kwamba anatumia fedha nyingi kununua vipodozi, anafikiria kufanya...

Benki ya Stanbic.

26Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Shule hiyo ilijengewa madarasa mawili pamoja na kupatiwa sare za shule 700 vyote vikiwa na thamani ya Sh. milioni 50. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya...

Mfalme wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph.

26Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mzee alisema kuwa amejifunza mengi baada ya kuwashirikisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika nyimbo zake binafsi na kuona kuna umuhimu wa kubadilika kwa ajili ya kulinufaisha kundi lake. "...
26Feb 2016
Nipashe
Aidha, amesema Rais Dk. John Magufulu, Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wamekuwa mstari wa mbele katika kutekeleza sheria hiyo na kuwataka mawaziri ambao...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.

26Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Aliyasema hato aliyokuwa akizungumza Balozi wa Mataifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu hapa nchini, Abdullah Ibrahim Al – Suwaidi, ofisini kwake jana. Alisema kutokana na kuimarika kwa hali ya amani...

Christian Bella.

26Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mmiliki wa bendi hiyo, Daniel Denga aliiambia Nipashe jana kuwa Bella aliondoka hivi karibuni. "Nimelazimika kutoa ufafanuzi wa safari hiyo kwa sababu kuna uvumi kwamba Bella amekimbia na bendi...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

26Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kampuni zilizotoa msaada huo ni Cocacola Kwanza, Pespi na Azam Cola. Akipokea msaada huo jana jijini Dar es Salaam katika Bohari ya Kuhifadhia Dawa ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Waziri Mkuu Kassim...

Mkurugenzi Mkuu wa Bayport, John Mbaga.

25Feb 2016
Halima Kambi
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Bayport, John Mbaga, alisema taasisi hiyo imepanua wigo wa kibiashara kwa kuanzisha miradi sita mipya ya viwanja...

Diwani wa kata ya Kahe,Rodrick Mmanyi akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia.

25Feb 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Diwani huyo, Rodrick Mmanyi (NCCR-Mageuzi) pamoja na watu hao, walifikishwa mahakamani jana mbele ya Hakimu Anthony Ngowi. Wakili wa Serikali, Ignas Mwinuka, alidai kuwa washtakiwa hao kwa...

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Profesa Yunus Mgaya.

25Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Alisema kwa vyuo vingi visivyo vya serikali, kati ya asilimia 60 mpaka 80 ya walimu wake, hawana kiwango cha elimu kinachotakiwa kwa mwalimu wa chuo kikuu (shahada ya uzamivu). Ukaguzi wa TCU kwa...
25Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Walalamikiwa katika kesi hiyo ni, Aulerian Temba, Athuman Mtauka, Elovan Agustino na Catherine Isaya, ambao walifungua kesi hiyo kwa kwa niaba ya wenzao 76. Kesi hiyo iliyosajiliwa mahakamani hapo...

Ofisa Uhusiano wa SBL, Abas Abraham.

25Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa bomba hilo linalotarajiwa kujengwa kuanzia eneo la Chango’mbe ‘B’ hadi Kurasini, Ofisa Uhusiano wa SBL, Abas Abraham, alisema bomba hilo litasaidia...
25Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Kuna matukio kadhaa yaliyotokea jijini humo ya uporaji wa kutumia silaha sambamba na kujeruhi watu. Liko tukio ambalo watu wanaodaiwa kuwa majambazi walivamia maduka matano katika mtaa wa Kimara...

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro, akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini.

25Feb 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Katika msimu wa kilimo (2015-16), Mkoa wa Shinyanga umeonekana kupata neema ya chakula ambacho kitawaondoa kwenye dhana ya kuombeleza chakula cha msaada, huku serikali mkoani humo ikianza kuhamasisha...

Pages