NDANI YA NIPASHE LEO

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.

24Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na kuwapo kwa mikataba yenye utata, ambayo mifuko hiyo imeingia na taasisi za umma na wafanyabiashara mbalimbali, hivyo kusababisha utata na hasara. Mkurugenzi Mkuu wa SSRA,...

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mvumili, Albilahi Njonjo, ambaye amekatika mkono, akieleza yaliyomkuta. (PICHA NA ABDUL MITUMBA)

24Mar 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Miongoni mwa maeneo ambayo uwepo wa hifadhi za taifa zimechangia kuwepo migogoro katika jamii husika ni Wilaya ya Liwale, mkoa wa Lindi, nayozingirwa na Hifadhi ya Pori la Akiba la Selous wilayani...

treni ya abira.

24Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Meneja Biashara Mwandamizi wa TRL, Paul Baregu, alisema jijini Dar es Salaam juzi kuwa huduma hizo zilisitishwa mapema Januari, mwaka huu kutokana na mvua zilizoharibu miundombinu ya reli kati ya...

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui.

24Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, alisema jana kuwa wawakilishi na madiwani wa CCM waliotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika uchaguzi wa marudio, hawawatambui hivyo...

uso ulioharibika na vipodozi.

24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia utafiti uliofanywa nchini na Profesa Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Georgia, Atlanta, Marekani, Kelly Lewis wa kitengo cha Sosiolojia, kuhusu matumizi ya ‘mkorogo’ kwa wanawake nchini Tanzania,...

timu ya Toto African.

24Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Mwanza iko nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania ikiwa na pointi 23 baada ya mechi 23.
Ikiwa na mtaji wa pointi 23 katika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi ya Bara, Toto itasaka ushindi jijini Tanga ili kupoza maumivu ya kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Mgambo Shooting jijini humo...

Babu Tale, Chidi Benz na Kalapina.

24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Babu Tale amechukua uamuzi huo baada ya msanii huyo kuomba msaada kutokana na kushindwa kukabiliana na matatizo ya kiafya yanayomsumbua kwa muda mrefu sasa. Katika mahojiano na moja ya vituo vya...

wazira wa Tamisemi, George Simbachawene.

24Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akifungua kongamano la wadau wa ardhi jijini Dar es Salaama jana, Simbachawene alisema asilimia kubwa ya migogoro ya ardhi inayotokea nchini inasababishwa ikisababishwa na watalaam wa ardhi wasio...

Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Esterina Kilasi.

24Mar 2016
Steven William
Nipashe
Madawati hayo yalikabidhiwa juzi kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza na Meneja wa NMB tawi la Muheza, Anna Chimalilo. Chimalilo alisema kuwa benki hiyo imetoa msaada wa madawati 50 kwa...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

24Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Hii ni kwa sababu kwenye makaratasi, Tanzania imejipambanua kupambana na vifo vitokanavyo na uzazi, vichanga na watoto chini ya miaka mitano, lakini kwenye utendaji ni tofauti. Wanawake...

Mkuu wa Wilaya Nyasa, Magreth Malenga.

24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Wilaya Nyasa, Magreth Malenga, wakati akizindua kilimo cha zao katika kijiji cha Songambele, kata ya Kihagala Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Malenga alisema kwa...
24Mar 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Ninasema wananchi wake kwa sababu yeye ndiye rais wa Tanzania, na ana msemo kuwa, kila raia wa nchi hii ni wa kwake. Awe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha Wananchi (CUF),...

Mkurugenzi Mkuu wa TRL, MasanjaK Kadogosa.

24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Makubaliano haya yataiwezesha kampuni hiyo kutumia njia ya reli kusafirisha shehena ya saruji kwa wateja wake katika mikoa ya Kigoma na Mwanza. Mkataba huo ulitiwa saini kati ya Mkurugenzi...
24Mar 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Kilomita za mraba 10,017 za ziwa hilo ambalo limekuwa likikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwamo vitendo vya uvuvi haramu, ziko katika Mkoa wa Kagera. Pamoja na athari nyingine, vitendo uvuvi...
24Mar 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha, Juventus Baitu, alisema jana kuwa mhasibu huyo alihukumiwa Machi 18, mwaka huu, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa...

aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Njombe, marehemu Sarah Dumba.

24Mar 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Ibada ya kuuaga mwili ilifanyika katika Kanisa Kuu la kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini mjini hapa na kuongozwa na Askofu Isaya Mengele. Baada ya ibada hiyo mwili...

Mkurugenzi waDoris Mollel Foundation, Doris Mollel.

24Mar 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Msaada huo umetolewa na taasisi ya Kimataifa ya GSM Foundation kupitia kwa Mwakilishi wake nchini, Shannoni Kiwamba na kukabidhiwa Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Doris Mollel. Aidha, kabla ya...
24Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Jumla ya mabao 84 yamefungwa na nyota 28 kwenye uwanja huo mkubwa zaidi nchini, ikiwa ni asilimia 22 ya magoli yote 383 VPL msimu huu.
Jumla ya magoli 84 yamefungwa na wachezaji 28 katika mechi 25 zilizochezwa msimu huu kwenye uwanja huo wenye thamani ya Sh. bilioni 5.6, ikiwa ni asilimia 22 ya mabao yote 383 yaliyotupiwa hadi sasa...

mwenyekiti wa ACT- wazalendo, Zitto Kabwe.

24Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Aidha, kimemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai, kufanya uchunguzi kwa kamati zote zilizotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa ili kubaini ukweli na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao mara moja...

balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida.

23Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Balozi Yoshida alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana baada ya kudhamini mafunzo ya watumishi 14 nchini Japani kwa kushirikiana na Shirikika la Maendeleo la Kimataifa (JICA) Februari 2, mwaka...

Pages