NDANI YA NIPASHE LEO

Angellah kairuki.

23Mar 2016
Steven William
Nipashe
Aliyasema hayo juzi alipokuwa akizipeleka fedha alizopata chini ya mpango huo kwa Diwani wa kata ya Misozwe wilayani Muheza, Jestina Mntangi, ili anunuliwe mabati ya kujengea nyumba yake. Mjane...

Waziri Mkuu, Majaliwa akikagua eneo la kukaangia samaki kwenye soko la samaki Feri la jijini Dar es salaam.

23Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alitoa kauli hiyo jana, alipofanya ziara ya ghafla katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri, kuangalia mfumo wa majiko ya gesi sokoni hapo na kukagua ujenzi wa ukuta unaotenganisha soko...

Profesa James Mdoe.

23Mar 2016
Christina Haule
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Katibu Mkuu wizara hiyo, Profesa James Mdoe, wakati akifungua mafunzo kwa mfumo wa mtandao kwa watumishi wa wizara hiyo yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (...
23Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Katika kudhihirisha kuwa agizo hilo limepata mwitikio chanya, Rais Dk. John Magufuli, juzi alihakiki silaha anazozimiliki Ikulu kwa maofisa wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
23Mar 2016
Peter Orwa
Nipashe
Hiyo inahusu zaidi bei za nauli na mabadiliko ya njia walizopangiwa na hata tabia ya madereva, makondakta na wahudumu wengineo wa magari hayo. Kila inapofika usiku, nauli zinazotozwa katika...

kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas.

23Mar 2016
John Ngunge
Nipashe
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM, Mkoa wa Arusha, Shaban Mdoe, alithibitisha jijini hapa jana kufariki kwa diwani huyo juzi. Mdoe alisema kifo cha diwani huyo ni pigo kubwa katika jimbo hilo kwani...

Angellah Kairuki.

23Mar 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Kariuki alitoa agizo hilo juzi wakati wa ziara yake ya siku mbili kukagua miradi ya Tasaf katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji. “Hakuna mtu kwenda kumchukulia mtu mwingine fedha za Tasaf iwe kwa kibali...

Golikipa wa timu ya taifa ya Chad, Brice Mabaya akiruka kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake katika mchezo wa awali na taifa stars.(picha ya maktaba).

23Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Wakiwa mkiani mwa msimamo wa Kundi G, Chad (Les Sao), watakuwa na presha kubwa kusaka ushindi wakati watakapoikaribisha Tanzania katika mechi hiyo ya kusaka tiketi ya kushiriki fainali za 2017 za...

Francis Cheka.

23Mar 2016
Nipashe
Katika pambano hilo lililopangwa kufanyika , mkali huyo wa ngumu ambaye mwezi uliopita alimpiga kwa pointi Geard Ajetovic katika pambano lao la raundi 12, atapambana jijini Dar es Salaam na bondia...

mkuu wa wilaya ya Babati mkoani Manyara, Crispin Meela aliyesimama.

23Mar 2016
Crispin Gerald
Nipashe
Aidha aliwataka maofisa ugani kuhakikisha wakulima wa ufuta wanazingatia agizo hilo. Aliyasema hayo wakati akizungumza kwenye semina ya kutembelea mradi wa ufuta wa mashamba ya mfano ya...

Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Nanyamba, Oscar Ng'itu, akizungumza. (picha: juma mohamed).

23Mar 2016
Juma Mohamed
Nipashe
Halmashauri hiyo mpya, inaundwa na kata 17 na vijiji 87. Ilianza kufanya kazi rasmi Julai, mwaka jana, ilipopatiwa baadhi ya vitendea kazi na watendaji ambao walikuwa watumishi katika Halmashauri ya...
23Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Baada ya msuguano wa muda mrefu, hatimaye Meya na Naibu Meya wa Jiji hili lenye raha na karaha, amepatikana. Meya wa jiji anayerithi mikoba ya Didas Masaburi alipatikana jana baada ya uchaguzi...
23Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Ni uchaguzi uliowagawa Wazanzibari, kiasi cha kuhatarisha amani, umoja na mshikamo miongoni mwa Watanzania wa Zanzibar. Ingawa iko hivyo, wapo wanaoweza kuamini kwamba, tamko hilo hapo juu ni...

mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana.

23Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rugimbana aliyasema hayo jana wakati wa makabidhiano ya ofisi kati yake na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Gawalla, aliyehamishiwa mkoa mpya wa Songwe. Aliwataka watendaji hao...

Dk. Charles Kimei.

23Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, amesema ili jeshi hilo lifanye kazi kwa ufanisi Zaidi, linahitaji mfumo bora wa mawasiliano. Dk. Kimei alitoa rai hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati akikabidhi msaada wa Sh. milioni 255...

Jackson Mayanja.

23Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kiungo huyo anadaiwa kugoma kutekeleza maagizo ya kocha Jackson Mayanja wakati wa mechi yao ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union Jumamosi.
Mayanja amedai kuwa katika mechi iliyopita ya Ligi Kuu Tanzania Bara waliyoshinda 2-0 dhidi ya Coastal Union, alimtaka kiungo huyo kupasha misuli moto ili aingie uwanjani kuchukua nafasi ya beki wa...

Meya wa Jiji La Dar es Salaam Isaya Mwita akipongwezwa na Aliyekuwa mgombea Urais wa Chadema Edward Lowassa . Picha na: mpoki bukuku.

23Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe
Vijana wa Ukawa walijipanga kukagua wajumbe wanaoingia kupiga kura, CCM wamsusia mgombea ukumbini, ataja vipaumbele vyake.
Uchaguzi huo ulioanza jana saa 5:23 asubuhi na kumazika saa 6: 22 mchana, ulihudhuriwa pia na aliyekuwa mgombea Urais wa Chadema kupitia mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (...

waziri wa mambo ya ndani ya nchi Charles Kitwanga.

23Mar 2016
Samson Chacha
Nipashe
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya, Andrew Satta, alimtaja marehemu huyo kuwa ni Marwa Ryoba maarufu kwa jina la Hamba (24). Kamanda Satta alisema tukio hilo lilitokea juzi usiku...
23Mar 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Kauli mbiu hiyo ilisikika zaidi wakati wa kampeni na iliibuliwa na aliyekuwa mgombea urais wa umoja huo, Edward Lowassa, alisema kuwa endapo Ukawa ingeingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa...

Kipre Tchetche.

23Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Straika huyo wa kimataifa kutoka Ivory Coast, atalazimika kufanyiwa vipimo baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati wa mechi aliyopiga 'hat-trick' dhidi ya Bidvest Wits Jumapili.
Tchetche, kinara wa mabao wa Azam FC msimu huu, alipata majeraha hayo ya enka katika dakika ya 88 baada ya kufunga bao lililokamilisha 'hat-trick' yake na kushindwa kuendelea na mchezo huo na...

Pages