NDANI YA NIPASHE LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa.

12Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, serikali imesema mchakato wa kusaini mikataba kwa wawekezaji hao wapya utakamilika hivi karibuni kwa lengo la kukuza uchumi wa nchi kwa kuboresha upatikanaji umeme mwingi na kwa wakati....

Waziri wa Afya. Ummy Mwalimu.

12Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akikabidhi msaa huo, Mwenyekiti wa THTU, Salifius Mligo alisema msaada wa vifaa na vifaa tiba waliotoa ni mashuka 100, bandeji bunda tano, glove pakiti 40 na sabuni miche 100. Alisema msaada huo...

Wazira wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), George Simbachawene.

12Mar 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Aidha, Simbachawene amesema zuio la muda lililodaiwa kutoka mahakamani na kusababisha Uchaguzi wa Meya huyo uliokuwa ufanyike Februari 27 ushindikane lilikuwa feki. Simbachawene alitoa agizo hilo...

Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa.

12Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa alisema maandalizi ya mkutano huo yamekamilika. Alisema kuwa wajumbe wa mkutano huo walipewa agenda katika muda unaotakiwa kama katiba ya shirikisho...

Mkurugenzi wa TBA, Elius Mwakalinga.

12Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku mbili baada ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, kuwapa mwezi mmoja wale wanaodaiwa na wakala wa majengo kuhakikisha wanalipa....

Mwenyekiti wa Chdema Taifa, Freeman Mbowe.

12Mar 2016
Nipashe
Wanaotajwa kuwa na sifa ya kurithi nafasi ya Dk. Slaa ni waliokuwa wasaidizi wake wa karibu Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu. Vikao vya Kamati Kuu...

Rais Magufuli akiongea jambo na Prof. Benno Ndulu alipotembelea BoT.

12Mar 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu jana, Prof. Ndulu alisema orodha hiyo, ambayo mwandishi alimsomea kuanzia mwanzo hadi mwisho, haina jipya. Prof. Ndulu alisema hakuna ubaya wowote kwa mtu...

Kamanda wa Polisi wa Dodoma, Lazaro Mambosasa.

12Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Kamanda wa Polisi wa Dodoma, Lazaro Mambosasa, alisema katika msako huo gobore 19 zilisalimishwa baada ya kubainika zinamilikiwa kinyume na sheria, na...

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka mahakamani.(Picha ya Maktaba).

12Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) na mwenzake wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) walishafikishwa mahakamani hapo wili iliyopita kwa kosa hilo. Kubenea alikamatwa juzi katika viunga vya...

Waziri wa Habari, Nape Nnauye akijaribisha kuvaa mkanda wa ubingwa wa Bondia Francis Cheka.

12Mar 2016
Nipashe
Cheka anayeshikilia mkanda wa ubingwa wa mabara, anatarajia kuzichapa na bondia huyo Juni mwaka huu katika pambano la raundi 12 uzito wa Kati. Akizungumza na gazeti hili jana, Cheka alisema...

kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Ruvuma, Revocatus Malimi, anaezungumza.

12Mar 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Ruvuma, Revocatus Malimi alisema Kilapule aliliwa na fisi huyo Machi 9 saa 3 usiku katika kijiji cha Jiungeni kilicho jirani na Pori la...

Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo.

12Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es Salaam jana ambapo jaji mmoja, Valerie Msoka, hakuwapo na kutarajiwa kuapishwa mapema wiki ijayo. Jopo la majaji liloapishwa ni Dk. Joyce Bazira, Godfrey...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, akiwa katika wodi ya mama wajawazito katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

12Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
* Muhimbili safi, kwingineko maumivu
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa siku kadhaa Muhimbili, hospitali tatu za manispaa ya Dar es Salaam za Mwananyamala (Kinondoni), Amana (Ilala), Temeke na nyingine za mikoani, umebaini kuwa bado...
12Mar 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Japo nataka hii uifanye siri ushauri wangu ni kumtaka asimpe ulaji–kiherehere mmoja aitwaye Po Makondakta–anayejipendekeza hata kwa kutaka kudhalilisha wapiga chaki eti wasafiri bure na kuinuliwa...
12Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Mabingwa wa Bara, Yanga watakuwa mjini Kigali, Rwanda kucheza na APR katika mchezo wa kwanza hatua ya awali, Ligi ya Mabingwa Afrika. Azam FC, wako nchini Afrika Kusini kucheza na wenyeji wao...

Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako.

12Mar 2016
Adam Mwambapa
Nipashe
Hivyo basi anayecheza na uhai au maisha ya binadamu mwenzake, haijui thamani na kwa kufanya hivyo anaweza akawa anamkejeli au kumsahihisha Mwenyezi Mungu, aliyemuumba. Hali hiyo haitofautiani na...

Mkuu wa Polisi wa Kimataifa Interpol Tawi la Tanzania, Gustavus Balile.

11Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Yapeleka kwenye bunge lake taarifa za Mtanzania anayetuhumiwa kusambaza 'unga' dunia nzima, washikilia mali zake zilizo katika nchi mbalimbali.Umoja wa Mataifa waitaja Tanzania kuwa njia ya kusambaza dawa hizo, huchanganywa kwenye mafuta ya dizeli.
Wakati Marekani ambayo pia tangu juzi imepeleka suala hilo katika Bunge la Congress, ikitoa ripoti hiyo jana, Bodi ya Kimataifa ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (International Narcotic Control Board-ICBC...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu.

11Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Afrika imetajwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa kisukari wasiojifahamu na wasiotibiwa ambao wako kwenye hatari zaidi. Kwa kuliona hilo, asasi inayojihusisha na Kisukari ya Afrika...

Kamanda wa Polisi Dodoma, Lazaro Mambosasa.

11Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akisoma mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Elias Anangisye, karani wa mahakama hiyo, Stanley Konyanza, alidai kuwa washtakiwa hao walitenda kosa hilo Januari 20, mwaka huu. Aliwataja washtakiwa...

Mkuu wa Wilaya hiyo, Daudi Yassin.

11Mar 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, Mkuu wa Wilaya hiyo, Daudi Yassin, amewaagiza viongozi wa kata, vijiji na vitongoji kushirikiana na maofisa ugani katika maeneo yao kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi...

Pages