NDANI YA NIPASHE LEO

14Jan 2016
Mary Geofrey
Nipashe
SIKU chache baada ya serikali kuagiza wakazi waliobomolewa nyumba zao katika Bonde la Mkwajuni, jijini Dar es Salaam na kuendelea kubaki kwenye eneo hilo kwa kulala nje waorodheshwe majina yao ili...

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa na mkewe Regina akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye aliyelazwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

14Jan 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Lowassa ambaye alifika hospitalini hapo jana saa 7:00 mchana akiwa na mke wake Regina, aliwapongeza viongozi wengine ambao wamekwisha kufika hospitalini hapo kumjulia hali Sumaye, wakiwamo Rais John...
14Jan 2016
Nipashe
“Badala ya kuchukua hatua za pamoja kuzuia uovu huu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekuwa ikisaidia serikali ya Zanzibar kwa kutumia askari na majeshi yake kutishia watu wa upinzani…”
Kwa mujibu wa barua yake ya Novemba 25, mwaka jana ambayo gazeti hili imefanikiwa kuona nakala yake, Maalim Seif alimwomba Papa kutumia ushawishi alionao kwa serikali ya Tanzania ili kuhakikisha haki...

Wanafunzi watatu walioripoti kuanza kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kidinda, Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoani Simiyu, wakiwa darasani

14Jan 2016
Nipashe
Mwishoni mwa mwaka jana, serikali ilitoa mwongozi wa elimu ya msingi (shule ya msingi mpaka kidato cha nne) kuwa wazazi watatakiwa kununua sare za shule na michezo, madaftari, kalamu, chakula kwa...

Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume

14Jan 2016
Nipashe
Hoja ya kumvua uanachama wa CCM Dk. Karume ilitolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), Sadif Khamis Juma, alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kuadhimisha miaka 52 ya...

Kikosi cha Mtibwa

13Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mtibwa wamecheza fainali ya Kombe la Mapinduzi mara nne sawa na mabingwa wa kihistoria Simba, lakini vijana hao wa Morogoro wametwaa taji mara moja mwaka 2010. Mechi hiyo kali itakayochezwa kuanzia...
13Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mwingereza huyo amekuwa kocha wa nne kutimuliwa tangu uongozi mpya wa Simba chini Rais Evans Aveva uingie madarakani Juni 29, 2014 ...
Kerr ameondolewa Msimbazi miezi sita tu tangu alipopewa jukumu la kuinoa timu hiyo. Baada ya kusita kwa muda, hatimaye jana uongozi wa mabingwa hao mara 18 Bara, waliamua kuvunja 'ndoa' na...
13Jan 2016
Nipashe
Naamini alifanya hivyo kwa nia njema na iliyo lenga kubana matumizi ya serikali. Kwa bahati nzuri sijasikia hawa watendaji wakitoka nje ya nchi kikazi na hii inaonyesha kwamba wametii agizo la Rais...
13Jan 2016
Editor
Nipashe
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, katika hotuba yake wakati wa kilele cha maadhimisho hayo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar, alisisitiza msimamo wa chama chake wa...

waziri wa Afya Ummy Mwalimu

13Jan 2016
Nipashe
"Sisi tunajua umuhimu wa chanjo hizi kwa watoto wetu, tunawaleta hospitali ili wapatiwe lakini serikali sio watiifu, hawasemi ukweli, mara kwa mara wamekuwa wakitusisitizia kuhusu chanjo hizo lakini imeshindwa kutimiza wajibu wao."
Nipashe jana ilipita kwenye hospitali za serikali na binafsi na kukuta tatizo la uhaba wa chanjo hizo likiendelea, huku wauguzi wakiwasisitiza wakinamama wenye watoto wanaohitaji huduma hiyo...
13Jan 2016
Nipashe
Ujumbe huo ulibebwa katika moja ya mabango na mwananchi mmoja wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja jana. Katika taarifa za...
13Jan 2016
Nipashe
Wakizungumza na waandishi wa habari kijiji hapo jana, wananchi hao walisema maji ya mto huo mbali ya kubomoa nyumba zao, pia yamesomba vyakula, nguo na vyombo mbalimbali pamoja na kubomoa mfereji...

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako

13Jan 2016
Nipashe
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, aliliambia gazeti hili kwamba uamuzi huo unakuja baada ya kubaini kwamba licha ya vyuo vingi kuwa na ithibati, bado baadhi...

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein

13Jan 2016
Nipashe
Kauli ya Shein imekuja siku moja baada ya juzi Maalim Seif kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kumtaka Rais Magufuli kuingilia mazungumzo yanayoendelea Zanzibar ili muafaka...

Rais Dk. John Magufuli

13Jan 2016
Nipashe
Taarifa hizo ambazo zilithibitishwa na mmoja wa wasaidizi wa Rais Magufuli, zinaeleza kwamba, jana ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kupanda ndege tangu aingie madarakani. Katika safari yake ya...
12Jan 2016
Nipashe
Mwili ukifikishwa Dar es Salaam utakaa kwa siku moja ili wananchi watoe heshima za mwisho na kisha utasafirishwa kwenda Butiama kwa maziko."
Leticia ambaye ni mke wa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Madaraka Nyerere, alifariki juzi katika Hospitali ya Doctors Community iliyopo Lanham, Maryland nchini humo na mwili wake...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Jorge Tormo

12Jan 2016
Nipashe
“Itakuwa ajabu Balozi kususia sherehe za Mapinduzi wakati hazina uhusiano na mambo ya uchaguzi, hivyo na yeye atakuwa sehemu ya wapinga Mapinduzi ya Zanzibar.”
Msimamo huo ulitolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana. Alisema matatizo...

Rais Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye

12Jan 2016
Nipashe
Akizungumza baada ya kutembelewa na Rais, Sumaye alisema alishtushwa na kitendo hicho kwa kuwa hakuwa na taarifa ya ujio wake na wala hakutarajia. “Nimeshukuru sana Rais kuja kunitembelea, ni...

Katibu Mkuu wa CUF. Maalim Seif Shariff Hamad

12Jan 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hoja 10 za Maalim kupinga uchaguzi wa marudio
Aidha, Maalim Seif ameonyesha kutokuwa na imani na mazungumzo ya kutafuta mwafaka yanayoendelea visiwani humo. Badala yake, amemtaka Rais Dk. John Magufuli, kuingilia kati mzozo huo akisema...
11Jan 2016
Nipashe
Ilikuwa ni furaha kubwa wa Watanzania wote na Ukanda mzima wa Afrika Mashariki baada ya kutangazwa kuwa ndiye mshindi wa tuzo hiyo. Itabaki kuwa siku ya kukumbukwa na Mbwana Ally Samatta katika...

Pages