NDANI YA NIPASHE LEO

MWENYEKITI WA ZEC, JECHA SALUM JECHA

15Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Vyama vilivyochukua uamuzi huo ni Chauma, DP, Demokrasia Makini, SAU, Jahazi Asilia, NRA, UPDP na UMD. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa Chauma...

Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu

15Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Katibu wa Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA), Meshack Bandawe, alisema mkutano huo wa siku mbili, utafanyika Februari 18 na 19,...

MKURUGENZI MKUU WA PPF, WILLIAM ERIO

15Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akifunga mkutano wa 25 wa mwaka wa wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Mhagama alisema pamoja na uwekezaji mkubwa wa vitega uchumi ambao mifuko hiyo imekuwa...

WACHEZAJI WA JKT RUVU

15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Umewahi kusikia hii? JKT Ruvu haijawahi kufunga Yanga katika mechi za Ligi Kuu Bara kwa miaka mitano sasa. Mara ya mwisho maafande hao waliwazima Jangwani mwaka 2011. Yanga imekuwa ikijipigia JKT...

WACHEZAJI WA STEDI UNITED

15Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Unajua kinachozikuta timu za Mtibwa na Stand United katika mechi zao tatu sasa? Ni kutomalizika mechi zao kutokana na mvua kunyesha, hivyo kulazimika kuendelea kwa dakika zilizobaki siku inayofuata...

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila

15Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Kila mchezaji amepata gari aina ya Toyota Prado, lenye thamani zaidi ya milioni 120, pamoja na medali. Katika mchezo wa fainali DRC iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mali. Hii ni mara ya...

Haruna Niyonzima.

15Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Hata hivyo, baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya kiungo huyo wa timu ya Taifa ya Rwanda 'Amavubi' na uongozi wa Yanga, hatimaye amerudishwa kundini. Mchezo wa kwanza wa Niyonzima baada ya mambo...
15Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Matokeo ya mechi hizo yana shaka kubwa, siyo kwa sababu timu hazina uwezo wa kufungana mabao mengi kiasi hicho, lakini tunaposimama kwenye mstari wa kweli, tunaamini kulikuwa na mipango ya makusudi...

WACHEZAJI WA SIMBA

15Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
...Timu hizo zinakutana huku Simba ikiwa na pointi 45 wakati Yanga wenye mchezo mmoja pungufu wakiwa na pointi 43
Wapinzani wao, Simba baada ya kung'ata mara sita mfululizo kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, wamekwenda kupiga kambi ya siri 'Mji Kasoro Bahari' akitokea Shinyanga. Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1...

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED

15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, katika taarifa yake Manchester imesema itachezesha wachezaji veterani na siyo wanaotumika kwenye mechi za Ligi Kuu. "Kama ambavyo wengine wamesema kwamba siyo vizuri kwa sisi kucheza...

MAKOCHA

15Feb 2016
Nipashe
Mafunzo hayo yanatarajiwa kuhusicha makocha makocha 40 na yana lengo la kuwaongezea ujuzi walimu hao ili kwenda sambamba na sheria za mchezo huo zilizobadilika. Katibu wa Chama cha Kuogelea...

WACHEZAJI TIMU YA MAFUNZO

15Feb 2016
Nipashe
Morocco alisema hayo juzi baada ya mechi hiyo kumalizika kwenye Uwanja wa Amaan na kutaja sababu nyingine ya kupoteza mchezo huo ni wachezaji wake kukosa uzoefu wa mechi za kimataifa. Kocha huyo...

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui

15Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, alisema hayo visiwani Zanzibar jana wakati akitoa tamko la CUF kuhusiana na kauli aliyoitoa Rais Magufuli mbele ya wazeee wa jijini Dar es Salaam juzi...

WAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI WAKIPELEKA VITANDA KATIKA WODI YA WAZAZI

15Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Vigogo kutoka wizarani na wakurugenzi wa Muhimbili, jana walikuwa wakihaha kutekeleza agizo hilo. Tofauti na ambavyo ingetarajiwa kuwa uhamishaji samani na kupanga vitanda ungefanywa na watumishi...

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi

15Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Balozi Seif ametoa msimamo huo wa serikali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Pemba baada ya kumalizika kwa ziara yake ya siku tatu Kisiwani Pemba jana. Alisema...
15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa Diwani wa Kata ya Tunguri, Dk. Sendalo, tayari wamefanya mawasiliano na kitengo cha maafa ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajili ya msaada wa haraka. Kwa upande wa majeruhi waliyolazwa...
15Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tuzo hizo zilitolewa mwishini mwa wiki wakati wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa wanachama wa PPF uliofanyika jijini Dar es Salaam. Mbali na kushinda tuzo hiyo, NMB pia imepata tuzo ya mshindi wa pili...

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni TBL Group Roberto Jarrin.

13Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Wito huo ulitolewa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni TBL Group Roberto Jarrin kwenye hafla ya kuwatunuku vyeti wafanyakazi wa kampuni yake tanzu ya Tanzania Distilleries Limited (TDL) maarufu kama...
13Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Operesheni hiyo hiyo iliyoanza jana katika wilaya ya Ilala, itakuwa endelevu ili kuhakikisha bidhaa hafifu zisizo na ubora yakiwamo matairi yanaondolewa sokoni. Ofisa Uhusiano TBS, Roida...
13Feb 2016
Woinde Shizza
Nipashe
Maafisa hao wa TFDA wa Kanda ya Kaskazini walifanikiwa kufika katika kiwanda baada ya kupata taarifa kutoka kwa msamaria mwema na kufanikiwa kukamata bidhaa mbalimbali zenye uzito wa zaidi ya tani...

Pages