NDANI YA NIPASHE LEO

25Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeamua kuirejesha tena michuano hiyo baada ya kupata wadhamini. Ikishirikisha jumla ya timu 64 za Ligi Daraja la Pili, Darala la Kwanza na Ligi Kuu, michuano hiyo...

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salum Jecha.

25Jan 2016
Nipashe
Chanzo cha kuimarishwa kwa ulinzi huo kumetokana na watu wasiofahamika kusambaza vipeperushi vyenye ujumbe wa uvunjifu wa amani katika maeneo tofauti ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar. Kamanda wa...

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akigawa chakula kwa mmoja wa walemavu wakati wa hafla ya chakula cha mchana alichokiandaa kwa ajili ya watu wenye ulemavu, jijini Dar es Salaam jana.

25Jan 2016
Salome Kitomari
Nipashe
"Sala, imani, kuliombea taifa, upendo na mshikamano ni mambo muhimu katika jamii, vinginevyo wenye ulemavu watapata matatizo makubwa kama ya unyanyapaa."
Akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha mchana alichokiandaa kwa ajili ya watu wenye ulemavu jijini Dar es Salaam jana, Dk. Mengi alisema kuna Watanzania wengi wenye uwezo ambao wakiamua wanaweza...
25Jan 2016
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti jana, baadhi ya wachambuzi wa masuala ya siasa walisema mkanganyiko ulioibuka kuhusiana na uteuzi wa kamati mbalimbali za chombo hicho ni ishara ya wazi...

Katibu Tawala Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Cosmas Qamara (wa pili kushoto), akikamkabidhi seti ya kompyuta.

25Jan 2016
Nipashe
Vifaa hivyo ikiwamo kompyuta na printa, vilikabidhiwa mwishoni mwa wiki iliyopita kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Serengeti, Ismael Ngaile, katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mahakama...
25Jan 2016
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia Nipashe kutoka vyanzo vyetu vya ndani, viongozi hao walijadili mustakabali mzima kuhusu kutangazwa kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar Machi 20, mwaka huu...
23Jan 2016
Mhariri
Nipashe
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyoketi kisiwani Unguja, Zanzibar Juni 20 mwakamwaka jana ilipitiusha kanuni mpya Na. 37(24) kinachopendekeza adhabu ya kifungo kisichozidi...
23Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Tambwe, mchezajin wa zamani wa Simba na Vital'O, alisema jana Ngoma aliyejiunga na Yanga msimu huu akitokea Zimbabwe, ndiye mchezaji anayemkubali kwa sasa kwenye ligi hiyo. Mrundi huyo alipiga ‘...

kocha wa Simba Jackson Mayanja.

23Jan 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mabingwa hao mara 18 wa Tanzania Bara, leo wanaanza rasmi kusaka tiketi ya kuiwakilisha nchi kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika mwakani.
Michuano hiyo ni ya mtoano na mshindi baada ya mechi ya marudiano jijini Dar es Salaam, atasonga mbele kusaka timu bingwa ambayo itaiwakilisha Tanzania Bara kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika...

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa, George Simbachawene.

23Jan 2016
Nipashe
Simbachawene ametaka Mkurugenzi Mtendaji huyo ahojiwe juu ya barua iliyoandikwa na Ofisa Elimu Msingi kwenda katika shule mbalimbali, ikiwataka wazazi kuchangia michango ya elimu kinyume na waraka...

Rais John Magufuli.

23Jan 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Hii ni mara ya kwanza kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini kuvalia magwanda ya kijeshi ziarani, hali ambayo iliwafanya wananchi kuzidi kuvutiwa na kiongozi huyo. Katika...

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa Walipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo

23Jan 2016
Romana Mallya
Nipashe
Rais Magufuli alipokutana na wafanyabiashara wa Taasisi ya sekta Binafsi nchini (TPSF) mwishoni mwa mwaka jana, alipendekeza TRA itoe bure mashine hizo ili mamlaka iangalie mapato kutoka kwao....
22Jan 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*** Wachezaji watatu walioneshwa kadi nyekundu katika mechi tano za jana wakati Azam ikiing'oa tena Yanga kileleni ...
Kwa matokeo hayo, Simba imefikisha pointi 33 katika nafasi ya tatu ya msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi 15, lakini inaendelea kuwa nyuma kwa pointi sita dhidi ya vinara Azam FC na tatu...
22Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Beki kutoka Ivory Coast, Assouman N'guesemo wa Stand United ameweka rekodi hiyo mpya katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya juzi kushindwa kucheza dakika zote 90 za mechi yao ya...
22Jan 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Tambwe alipiga 'hat-trick' yake ya pili msimu huu, timu hiyo ya Jangwani ilipopata ushindi mnono na kuing'oa Azam kileleni baada ya saa 24.
Ushindi huo mnono uliifanya timu ya mabingwa hao mara 25 wa Bara ifikishe pointi 39 baada ya mechi 15, ikiing'oa Azam kileleni kutokana na tofauti ya magoli baada ya timu hiyo Chamazi kurejea...
22Jan 2016
Nipashe
Mwishoni mwa mwaka jana, kulifanyika juhudi za wilaya zilizohamasishwa na mbunge Joseph Mhagama, iliwezesha kupatikana mbegu za tangawizi tani sita zenye thamani ya Sh. milioni 21, huku ikielezwa...
22Jan 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Lakini, mchonga viatu vya matairi, Joseph Chimli (25) naye ni muathirika anayeonja kwa namna yake, kwani bonde la Kinondoni Mkwajuni, ndilo linalomuweka mjini kimaisha, hata akafikia hatua ya...
22Jan 2016
Nipashe
Magendo yamekuwa yakidhoofisha uchumi wa mkoa na taifa, huku hujuma ikiendelea kunufaisha wachahe nchini na nje ya nchi. Hata hivyo katika miaka yote biashara ya mazao ambayo yamekuwa yakipigiwa...
22Jan 2016
Nipashe
Hawa ni wale ambao wakati mwingine huitwa ‘mafundi ya mitaani.’ Mafundi tulionao kila siku, wakiwa wametapakaa karibu katika kila kona za majiji, miji hata kwenye maeneo yetu ya vijijini. Mafundi...
22Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Takwimu zinabainisha kuwa Mwaka 2008 kulikuwa na watumiaji wa simu milioni tatu, idadi ambayo sasa imeongezeka maradufu. Sasa Watanzania wengi vijijini na mijini wanamiliki simu za mkononi. Hali...

Pages