NDANI YA NIPASHE LEO

Mwenyeikiti wa ZEC Jecha Salum Jecha.

13Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Hayo yalisemwa jana mjini Zanzibar na kiongozi mmoja wa ngazi ya juu wa ZEC alipokuwa akizungumza na Nipashe. Nipashe ilitaka kujua msimamo wa tume kuhusu matakwa ya vyama vya siasa vilivyojitoa,...

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Edward Lowassa.

13Feb 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe
Viongozi hao walikutana jana kwa mazungumzo mafupi katika ofisi za Lowassa zilizoko Mikocheni, na kisha kutoa tamko hilo. Tamko hilo lilielekeza lawama kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein...
13Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Mabingwa wa Bara, Yanga wanaanza ugenini nchini Mauritius kupambana na wenyeji wao Cercle de Joachim. Michezo hiyo yote inabeba matumaini ya mashabiki wa soka nchini, ambao kwa muda mrefu...
13Feb 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Mahakama ni kimbilio (pahali pa kupata nusura au msaada) la mtu yeyote anayedhani katukanwa, kaonewa au kadhulumiwa. Mtu anapojichukulia sheria mkononi ni mhalifu anayestahili kushitakiwa mahakamani...

WACHEZAJI WA TIMU YA YANGA

13Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Kikosi cha Yanga kikiwa na wachezaji 21 na viongozi saba, awali walitakiwa kuondoka nchini alfajiri ya kuamkia jana na ndege ya Shirika la ndege Tanzania (ATCL), lakini walishindwa kuondoka kwa muda...

WACHEZAJI WA TIMU YA STAND UNITED

13Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Simba itahitaji ushindi kukaa kileleni mwa msimamo kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2012/13, ambao Yanga walitwaa ubingwa licha ya kuanza vibaya kwa suluhu dhidi ya Prisons na vichapo vya 3-0 na 1-0...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye

13Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza jana wakati alipoitembelea timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura, alisema wanahitaji kuwa na usimamizi...
13Feb 2016
Nipashe
Kwa muda mrefu Mourinho amekuwa akihusishwa kujiunga na klabu hiyo tangu alipotimuliwa Chelsea Desemba mwaka jana. Kocha wa sasa Man United, Louis van Gaal amekuwa akisisitiza wakati wote kuwa...

Kiongozi wa Bendi ya Kalunde Kapt. Deo Mwanambilimbi (kulia) akicheza na mwanamuziki wa Bendi hiyo Hawa Kasomo .

13Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kamishna wa Mkoa Kitengo cha Uhamiaji, John Msumule Mwanambilimbi, ambaye bendi yake ina mkataba wa kutumbuiza Hoteli ya Giraffe anadaiwa kuwatumia raia wawili Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC...

VIPODOZI

13Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Tanzania nayo imeanza kuathiriwa na vitendo hivyo kwa baadhi ya watu kujibadilisha wajihi wao kwa kutumia madawa makali kama vile Lotion zenye viambata vikali au vidonge maalum. Baadhi ya wasanii...

Wanamgambo wa kundi la Boko Haram

13Feb 2016
Nipashe
Binti huyo alifurahia kugundua kwamba alikuwa na ujauzito wa mwanamgambo huyo kufuatia vipimo vya mkojo na damu vilivyofanywa na daktari mmoja kwenye kambi ya wakimbizi ambayo alipelekwa baada ya...

MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR, JECHA SALUM JECHA

13Feb 2016
Nipashe
Hakuna kifungu chochote cha Katiba ya Zanzibar au Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar kinachotoa uwezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar na hata kwa Tume yenyewe kufuta uchaguzi au kuitisha...

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOJIA NA UFUNDI, PROF.JOYCE NDALICHAKO

13Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa shule hiyo ndiyo inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaosomea chini ya miti, lakini ikiwa na wastani mzuri wa ufaulu wa darasa la saba wilayani...

Rais John Magufuli akiwajulia hali wagonjwa katika Hospitali ya NMH.

12Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Mkurugenzi wa Wauguzi na Ubora Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Agness Mtawa, aliyesema hayo  jana wakati akizungumza na Nipashe, huku akiongeza kuwa, jumla ya vitanda vipya 50 na magodoro 40...

Wabunge wa Bunge la 11 wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais John Magufuli na viongozi wengine.

12Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Sheria kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Eustard Ngatale, wakati akijibu hoja za wabunge kwenye semina ya...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

12Feb 2016
Nipashe
Waziri Mkuu alitoa agizo hilo wakati alipofanya ziara ya ghafla katika mita hizo jana na kukuta zimejaa kutu kutokana na kutelekezwa kwa miaka zaidi ya mitano. Waziri Mkuu pia alitembelea mita za...

Michael Mage, Mkuu wa Soko Kuu la Iringa. (PICHA NA GEORGE TARIMO)

12Feb 2016
George Tarimo
Nipashe
Hiyo ndiyo hali iliyoko katika Manispaa ya Iringa, ambako kuna masoko kadhaa. Mwenyekiti wa Masoko ya Manispaa ya Iringa, Sturmi Fussy, anasema hali ya masoko kwa Manispaa ya Iringa ni nzuri...

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.

12Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Maramba na Daniel Yona, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, kwa sasa wanatumikia kifungo cha nje baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi za umma...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe

12Feb 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Pia Prof. Maghembe jana alimtangaza Mhifadhi mpya wa Hifadhi hiyo, Betrita Loibooki. Mbali ya hilo, pia ameeleza wizara yake imegundua kuwapo kwa uzembe unaofanyika wakati wapagazi wanapopandisha...

Mkurugenzi Mtendaji wa Equality For Growth (EfG), Jane Magigita.

12Feb 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Wito huo ulitolewa na mwanasheria kutoka shirika lisilo la kiserikali la Eguality For Growth (EfG), Mussa Mlawa, katika kikao cha tathmini cha wafanyabiashara katika masoko ya jijini Dar es Salaama,...

Pages