NDANI YA NIPASHE LEO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari.

18Mar 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ikondamoyo, John Maganga, alisema juzi kuwa Veronica alifariki wiki iliyopita akiwa mkoani Tabora, alikokuwa amekwenda kupatiwa matibabu kwa kaka yake baada ya kuugua kwa...
18Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Watuhumiwa hao wamekamatwa katika kipindi cha miezi mitatu tu tangu serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Magufuli iingie madarakani. Taarifa za kukamatwa kwa watuhumiwa hao...
18Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Kitabu hicho cha kwanza na cha aina yake kilizinduliwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na kinaeleza fursa na changamoto zilizopo kwenye sekta mbalimbali hasa kilimo katika kuchangia mageuzi ya...

katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda.

18Mar 2016
Juma Mohamed
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda, wakati wa kuhitimisha Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Haki za Mtumiaji yaliyofanyika kitaifa mkoani hapa juzi. Luanda...

mfugaji wa nyuki, Rajab Suleiman Khamis, wa Kijji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu ufugaji wa nyuki. PICHA NA RAHMA SULEIMAN.

18Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Ufugaji wa nyuki ni kazi ambayo imekuwapo na kudumu kwa karne nyingi. Mfugaji Rajab Suleiman Khamis wa Kijji cha Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, anaeleza namna ufugaji wa nyuki kwa njia za kisasa...

Kikosi cha kocha, Adolf Richard.

18Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hizo 'ndugu' zitachuana mjini Shinyanga katika mechi pekee ya leo ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mechi hiyo ya raundi 24 ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itazikutanisha timu hizo ndugu kwenye Uwanja wa Kambarage. Kikosi cha kocha mzawa Adolf Richard kitashuka uwanjani kikiwa na kumbukumbu ya...

Twiga Stars.

18Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mwasikili aliumia uti wa mgongo wakati timu hiyo inapasha muda mfupi kabla ya kuwakabili wapinzani wao katika mechi ya kwanza iliyofanyika Machi 4 kwenye Uwanja wa Azam, Chamazi, Dar es Salaam....

kamanda Simion Sirro.

18Mar 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Pongezi hizo zilitolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, wakati wa uzinduzi wa kituo hicho kilichopo katika mtaa wa Madale ambacho kinatarajiwa kuanza kutoa huduma...
18Mar 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Wiki iliyopita tuliona hatua za kuchukua kwa mfanyabiashara wa ngazi yoyote, awe wa kawaida au mwenye mtaji mdogo, wa kati na mfanyabiashara mkubwa, ili bei anayoitoa kwenye zabuni yake ya kununua...

Magdalena Sakaya.

18Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, alipozungumza na waandishi wa habari kuwa kumekuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu visiwani Zanzibar...

Kamanda, Ahmed Msangi.

18Mar 2016
Emanuel Legwa
Nipashe
Ajali hiyo ilitokea jana ya saa 11:45 alfajiri katika eneo la Uyole, mkabala na Shule ya Sekondari ya St. Aggrey kwenye barabara kuu ya Tanzania – Zambia. Basi hilo liliigonga Hiace hiyo, inayofanya...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Hassan Kimanta.

18Mar 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Kutokana na uhalifu huo, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Iddy Kimanta, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kufanikisha kuwanasa watu 17 wanaodaiwa kuwa...

wazirimkuu,Kassim Majaliwa.

18Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alisema kutofikia malengo hayo, viongozi wa wilaya hiyo wajiandae kutumbuliwa majipu. Alisema hayo muda mfupi baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli za miradi ya maendeleo ya...

makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

18Mar 2016
Fatma Amir
Nipashe
Makamu wa Rais alitoa rai hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. “Nimesikitishwa tukio la mwanamke mkazi wa jijini Mwanza aliyejifungua bila...

Dk. Sezibera.

18Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hivi sasa, jumuiya nyinginezo za Afrika kama vile Jumuiya ya Kiuchumi Afrika Magharibi (Ecowas) na ile ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wanafuatilia kasi ya maendeleo ya EAC na taarifa...
18Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Hii ni kwa sababu mfumo wa ugawaji wa dawa na vifaa tiba ni matatizo matupu. Nitaeleza. Utaratibu wa serikali unaeleza namna ambavyo dawa zinapaswa kugawiwa kulingana na hadhi ya kituo kuanzia...

Profesa Lusato Kurwijila.

18Mar 2016
Christina Haule
Nipashe
Mratibu wa program ya miradi ya utafiti ya Epinav, Profesa Lusato Kurwijila, aliyasema hayo wakati wa kongamano la tatu na la mwisho la programu hiyo lililofanyika mjini hapa juzi. Profesa...

nembo ya biashara ya Cocacola, kama anavyoonekana katika shughuli za promosheni. (picha na mtandao).

18Mar 2016
Denis Maringo
Nipashe
Katikati ya ukweli huo, tunafahamu pia, hata binadamu tunatofautiana mno kati yetu, kama ilivyo kiyume chake tunapofanana kwa vitu vingi. Moja ya mambo yanayotutofautisha, ni namna ambavyo...

Kaimu Katibu wa Shimiwi, Moshi Makuka.

18Mar 2016
Nipashe
Kaimu Katibu wa Shimiwi, Moshi Makuka alisema ni vizuri timu hizo kutumia fursa hiyo kama sehemu ya maandalizi kwa ajili ya kushiriki michuano yake itakayofanyika Septemba mwaka katika mkoa...

waziri, Angela Kairuki.

18Mar 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Aidha, ameagiza kuwa waliopewa ruzuku ya Tasaf bila kuwa na sifa, wairudishe na kama watashindwa hatua kali dhidi yao zichukuliwe. Waziri Kairuki aliyasema hayo wakati wa ziara ya Kamati ya Bunge...

Pages