NDANI YA NIPASHE LEO

21Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Mwinyi alisema hayo wakati alipofanya mkutano na waandishi wa habari, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baada ya kukamilika kwa ziara yake ya siku tatu...
21Jan 2022
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, wameiomba serikali kumpa kazi hiyo mzabuni wa ndani kuliko kutumia wa nje ambaye fedha inayopatikana kwa kila stempu ni kwa ajili ya kugharamia mfumo huo. Wakizungumza na waandishi wa...
21Jan 2022
Kulwa Mzee
Nipashe
Mahakama hiyo, mbele ya Jaji Joackim Tiganga, jana ilimaliza kusikiliza ushahidi wa shahidi wa 10, Inspekta Innocent Ndowo, na leo inatarajiwa kuendelea na shahidi wa 11. Inspekta Ndowo ni...
21Jan 2022
Yasmine Protace
Nipashe
Nikirejea hoja yangu ya msingi, ni vyema inapokuwa walimu wanapeana mikakati pasipo kujali shule wanazofundisha, wanaweza kuleta ufaulu mkubwa katika matokeo ya darasa la saba, kidato cha pili, cha...
21Jan 2022
Mhariri
Nipashe
hasa wazee na watoto. Picha hiyo inaonyesha tabaka la juu ya barabara hiyo limeondolewa na maji, huku kalavati zikibaki na sasa jinsi ya kupita ni vigumu na hatari kwa watumiaji. Tunatambua...
21Jan 2022
Richard Makore
Nipashe
Hatua iliyosababisha wananchi wengi kwenda  huko kupata huduma badala ya kuanzia zahanati na vituo vya afya. Hayo yalibainishwa jana na Kaimu Mganga Mkuu Mfawidhi wa Mkoa wa Mwanza,  Dk. Silas...
21Jan 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Imeelezwa kuwa kutokana na hali hiyo, wakazi hao kwa sasa wamekosa makazi, huku diwani wa kata hiyo, Abedi Abedi, akisema kuwa tukio hilo lilitokea na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika...
21Jan 2022
Maulid Mmbaga
Nipashe
Rais Samia Suluhu Hassan, hivi karibuni alionyesha kukerwa na vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa na baadhi ya askari wa usalama barabarani kwa madereva na kuwataka kujiepusha na vitendo vya kuomba...
21Jan 2022
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya kikao hicho, Katibu wa NEC wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, alisema Dk. Tulia amepitishwa kwa ajili ya kwenda kupambana na wagombea wa vyama...
21Jan 2022
Asraji Mvungi
Nipashe
Ujasiri kama huo ambao huchukuliwa na baadhi ya makabila kama uchuro, kwa ‘Sabasita’ limekuwa la kustaajabisha kwa kuwa ameanza kufanya maandalizi ya mazishi yake na kulifunika kaburi, huku akitoa...
20Jan 2022
Yasmine Protace
Nipashe
Kuwapongeza wanafunzi hao, kumetokana na kuona katika mitihani yao ya mwaka jana mbali na kuwapo idadi kubwa ya wavulana waliofanya mitihani, lakini watoto wengi wa kike wamefanya vizuri na kupata...
20Jan 2022
Neema Emmanuel
Nipashe
Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Alhaji Sibtain Meghjee, amesema taasisi yake imeamua kutoa msaad huo baada ya kuguswa na changamoto ya wazazi kushindwa...

Wanawake wa Kijiji cha Wingi Mjananza wakiwa katika kikao na viongozi wao kuzungumzia mustakabali wa mashamba yao yaliyoathiriwa na maji ya bahari. PICHA ZOTE: JENIFER GILLA

20Jan 2022
Jenifer Gilla
Nipashe
Sura kamili ya ‘nusu kwa nusu’ tofauti yao ni wanaume wako ziada 12 pekee.Jicho la Nipashe linatua kijijini na kuvutiwa na mandhari yake iliyopambwa na mazao kila kona; migomba, minazi,...
20Jan 2022
Anjela Mhando
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu wa CCM wilayani, Ally Kidunda katika ziara ya Sekretarieti ya CCM ailiyofanyika katika Kata za Gararagua, Karansi Mitimirefu Sanya Juu , Ndumenti, Ngarenairobi...

Vyumba vya madarasa shule ya Msingi Makombe vilivyoezuliwa kwa mvua iliyoambatana na upepo.

20Jan 2022
Julieth Mkireri
Nipashe
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze, Hassan Mwinyikondo akiambatana na Mkurugenzi na Kamati ya Elimu, Afya na Maji wametembelea shule hiyo na kuona athari iliyotokea.Akiwa katika eneo hilo...
20Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Abbasi amesema hayo leo Januari 20, 2022 kwenye vyombo vya habari wakati alipokuwa akikagua maandalizi ya Tamasha la Utamaduni mkoani Kilimanjaro kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi, ambalo...
20Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amewataka wakuu wa taasisi za ustawi wa jamii na vyuo vya maendeleo ya jamii kuanzisha mpango maalum kwa ajili...
20Jan 2022
Dennis Fussi
Nipashe
***Yakiri wapinzani wao 'hawajalala', hivyo wanahitaji kupambana ili...
Yanga ina pointi 32 ikiwa imeshinda mechi 10 na kutoka sare michezo miwili wakati watani zao ambao ni mabingwa watetezi, Simba wako katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 24, lakini wana mechi moja...
20Jan 2022
Stephen Chidiye
Nipashe
Kwa mujibu wa wakulima hao, takribani shilingi 288 zinatozwa kwenye kila kilo moja  ya korosho inayouzwa sokoni kupitia mfumo huo. Rameck Mtuya ni miongoni mwa wananchi waliopaza sauti zao kwa...

Tanki la maji katika Stendi ya Mabasi Mbezi Mwisho, jijini Dar es Salaam, ilivyo hivi sasa. PICHA: SABATO KASIKA.

20Jan 2022
Sabato Kasika
Nipashe
Kabla ya kupanda daladala, nakumbuka misamiati na nadharia za maradhi Uviko 19 na tahadhari zake, ninaamua kuzunguka kidogo kituoni hapo kukagua namna abiria wanavyochukua hatua zinazoelekezwa na...

Pages