NDANI YA NIPASHE LEO

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

22Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Waziri Ummy alisema lengo la kuchukua jengo hilo ni kupunguza changamoto ya ufinyu wa jengo unaoikabili taasisi hiyo ambayo kwa sasa ina mahitaji makubwa kulingana na kazi inayofanyika katika taasisi...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango.

22Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Imesema barabara hiyo ni muhimu kwa kuwa inaunganisha ukanda Magharibi Kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, aliweka saini ya makubalinao jana jijini Dar...

Masogange.

22Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Taarifa hiyo ilitolea na upande wa Jamhuri jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, baada ya kesi hiyo kutajwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbroad Mashauri. Wakili wa...

Jakaya Kikwete.

22Mar 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Wapo wanaosema kuwa demokrasia ilistawi zaidi wakati wa utawala wa awamu ya nne kulinganisha na hali ilivyo sasa kwenye awamu hii ya tano, wakimaanisha kuwa hivi sasa demokrasia ni kama vile...

Rais Uhuru Kenyatta.

22Mar 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Kadri siku zinavyozidi kusonga joto la uchaguzi huo linazidi kupanda, na hivi sasa wanasiasa wameanza kujisogeza sogeza karibu na wananchi kwa kutoa maneno matamu. Rais Uhuru Kenyatta aliyeingia...
22Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa kawaida vyama vya siasa hapa nchini vimewahi kufukuza wanachama au makada kutokana na madai yanayotolewa kadharani, na siyo kwa kificho au kwa kudhaniwa kama ilivyo katika suala hilo. Ugomvi...

Mwenyekiti wa asasi ya Ulingo, Anna Abdallah.

22Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Baadhi ya mifumo hiyo inasababishwa na sheria zilizopo ikiwamo Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 sura ya 29 inayoruhusu mtoto wa kike aliye chini ya miaka 18 kuolewa jambo linalo kinzana na Sheria ya...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

22Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Hadi kufikia jana, madaktari 159 walikuwa tayari wameshaanza kujitokeza katika siku ya kwanza ya uombaji wa ajira za udaktari zilizotangazwa Kenya baada ya serikali ya nchi hiyo kutuma ombi maalumu...

MAREHEMU Erasto Msuya (43).

22Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Jamhuri iliwasilisha notisi ya kukata rufani jana baada ya Jaji Salma kukataa kupokea maelezo ya mdomo ya shahidi wa tisa wa upande wa mashtaka kuhusu kile alichokisikia kwa mshtakiwa wa tano, wa...
21Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakurugenzi wa kampuni hiyo, inayomilikiwa kwa pamoja na kampuni ya Sky Associate Ltd na Shirika la Madini la Taifa (Stamico), Faisal Shabhai na Hussein Gonga, walitangaza uamuzi huo wakati...
21Mar 2017
Rajabu Mmbughu
Nipashe
Alisema wafanyabiashra wengi waliokuwa wakisambaza vinjwaji hivyo, walikuwa na mikopo katika taasisi za kifedha, hivyo kutolewa kwa katazo hilo kwa kipindi kifupi, kumewaathiri kiuchumi. Alisema,...
21Mar 2017
Peter Mkwavila
Nipashe
Aidha, imesitisha utoaji wa leseni mpya kwa ajili ya mabasi hayo madogo (Hiace), badala yake itaanza kutoa kwa magari makubwa aina ya Tata na Eicher, kwa ajili ya usafiri wa katikati ya mji. Ofisa...
21Mar 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Said Mtanda, Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa wilayani humu Aprili 7, mwaka huu ukitokea mkoani Katavi. Taarifa ilisema...
21Mar 2017
Nathan Mtega
Nipashe
Aidha, wametakiwa kuhakikisha kwamba wanazalisha zao hilo katika ubora unaoweza kushindana na soko la ndani na nje ya nchi. Akizungumza kuhusu uzalishaji bora wa korosho na mazao mengine, Munge wa...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.

21Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwigulu amewataka warejee kwenye katiba zao badala ya kuendelea kung’ang’ania madaraka. Kadhalika, amesema wizara yake haitakuwa tayari kuvumilia migogoro isiyo na ukomo kwenye taasisi za kidini...
21Mar 2017
Joctan Ngelly
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma, Obadiah Nselu, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 7:00 mchana kijiji cha Changwe Kata ya Mubanga Tarafa ya Manyovu Wilaya ya Buhingwe. Kamanda Nselu...
21Mar 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Ni kweli taaluma iliyopo nchini katika masuala ya uokoaji wa wagonjwa mahututi, ipo chini ikilinganishwa na nchi zingine zilizopiga hatua. Madhara yake ni kwamba wagonjwa wengi wamekuwa wakifia...
21Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Hali hiyo inatokana na ukweli kuwa miundombinu iliyopo inashindwa kuhimili maji ya mvua na watu wanajenga jirani na mito au kwenye njia za maji, hivyo inazuia maji kupita na nyumba nazo zinaharibiwa...
21Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Mengi yamesemwa na uongozi wa Clouds Media ambayo kwa ujumla yanaonyesha dhahiri kuwa kitendo hicho hakikuwa cha kawaida na kilichowashtua mno hasa kwa kuwa uvamizi huo umefanywa na kiongozi wa juu...

RAIS John Magufuli akiwa na rais wa WB, Dk. Jim Yong Kim.

21Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Ujenzi huo utagharimu Sh. bilioni 188.71 zikiwa ni fedha za mkopo kutoka WB na unatarajia kukamilika Septemba 30,2019. Katika fedha hizo Sh. bilioni moja zimetolewa na Serikali ya Tanzania. Rais...

Pages