NDANI YA NIPASHE LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akiweka jiwe la msingi la jengo la Utawala la kambi ya Boma Kichaka Miba, iliyopo wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga. Wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Martine Shigela, na watatu kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala. Picha: Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.